mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,019
- 1,945
Hiyo nyumba ingekuwa na uzio ingekuwa safi sana ili mpangaji anapate pa kulazia kagali kake
Mkuu simu yako haioneshi uzio?Hiyo nyumba ingekuwa na uzio ingekuwa safi sana ili mpangaji anapate pa kulazia kagali kake
Uzio upo mkuu na geti. KaribuHiyo nyumba ingekuwa na uzio ingekuwa safi sana ili mpangaji anapate pa kulazia kagali kake
Atakuwa hajaangalia vizrMkuu simu yako haioneshi uzio?
Dear ex hii ingekuwa yetu sema tumeachana
😍😍 tuichuke tulee mtoto wetu🤰🏾Ndio baba kijacho
Tutapigwa ban mda si mrefu 🤷🏼♀️😍😍 tuichuke tulee mtoto wetu
Hujui kiongozi wa moderator wote ni mimi, wanajua mipango yetu sasa ? Nyumba lazima tukubaliane kama inafaa au haifai 😅😅Tutapigwa ban mda si mrefu 🤷🏼♀️
Karibu sana mkuu
Inafaa baba kijacho wanguHujui kiongozi wa moderator wote ni mimi, wanajua mipango yetu sasa ? Nyumba lazima tukubaliane kama inafaa au haifai 😅😅
Tutajadili hili tumcheki dalali 😊😊Inafaa baba kijacho wangu
Ila sasa una mtoto wangu, tufanye utaratibu mtoto tumtunze pamoja akikuaa tutaachana sasa official kama nyumba nzuri tufanye namna 😅😅Dear ex hii ingekuwa yetu sema tumeachana