Walinzi wa Kimakonde mnaolinda Nyumba na Viwanja vya Watu Mkoani Dar es Salaam hii Dhambi Kubwa mnayosifika nayo mtaiacha lini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,690
109,104
Ni kwamba 65% ya Matajiri na Watanzania waishio ng'ambo (Ulaya na Marekani) wamesahau Nyumba zao Walizojenga Tanzania na Viwanja Vyao baada ya Kurogwa (Kupigwa Fusho) vibaya na Wamakonde ambao waliwaachia Wawalindie.

Kwa masikitiko makubwa GENTAMYCINE leo nimetembelewa na Rafiki yangu aliyekuwa Majuu (Mamtoni) na nikamkumbusha aende Kuutembelea Uwanja wake ambao kwa bahati nzuri alipoununua tulikuwa sote, ila cha Kushangaza akaniambia hana Uwanja wowote Dar es Salaam.

Baada ya kuniambia hivyo nikaamua kujiridhisha zaidi kwa kwenda uliko huo Uwanja wake unaolindwa na huyo Mmakonde na nilichokikuta ni Mmakonde ameshajimilikisha huo Uwanja, Mkewe ameshazaa Watoto tena Mapacha, Ndugu zake Kawaleta, Banda la Kuku Kubwa likinikaribisha kwa Kelele za Kuku wa Nyama na Mayai na kukiwa na Tangazo Dogo la Kiwanja Kuuzwa huku Muuzaji akiwa ni Yeye Mwenyewe Mmakonde.

Hii si mara yangu ya Kwanza kwa GENTAMYCINE kusikia hizi Lawama dhidi ya Walinzi wa Kimakonde kwa Kuwasahaulisha wenye Nyumba na Viwanja Watu (Matajiri) kwa Kuwaroga Kunakotukuka.

Na maeneo ambayo Wahanga wa Kulizwa Nyumba zao na Maeneo yao kwa Kurogwa na Walinzi wa Kimakonde ni ya Msasani, Mikocheni, Kawe Beqch, Mbezi Beach, Kunduchi, Ununio, Tegeta Masaiti, Mbweni na Bunju.

Kama hawa Walinzi wa Kimakonde wana Uchawi huu Mkali (Kabambe) wa Kuroga Matajiri wasahau Nyumba zao na Viwanja Vyao ngoja nami GENTAMYCINE nijenge ukaribu nao ili Wanitengenezee Dawa ya Kuwatia Vishipa Watanzania Wote ambao walikuwa na Hayati Dkt. Magufuli (tena kwa Ukaribu kabisa) katika Serikali yake na Maamuzi walifanya nae pamoja ila leo Kafa (Hatunae) tena duniani wanaanza Kumsimanga, Kumchafua na kumuona alikuwa ni Mwendawazimu wakati wenye Akili tunaona ndiyo alikuwa Rais wa Pili Bora kuwahi kutokea nchini Tanzania akitanguliwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
 
Ni kwamba 65% ya Matajiri na Watanzania waishio ng'ambo ( Ulaya na Marekani ) wamesahau Nyumba zao Walizojenga Tanzania na Viwanja Vyao baada ya Kurogwa ( Kupigwa Fusho ) vibaya na Wamakonde ambao waliwaachia Wawalindie...
Miaka ya 2000 mpka 2010 hivi nimeona hiyo michezo... Zaidi mapedeshee wa mjini huwa wanaenda kwa walinzi Wamakonde na kuwapa pesa halafu walinzi wanaacha viwanja.

Utashangaa ndani ya siku moja kiwanja chote kimewekwa fance haraka.

Pedeshee anakwambia chukua pesa tembea zako msala wowote niachie mimi hapo pedeshee hana karatasi yoyote zaidi ya pesa zake tu..

Vitengo vya ardhi kuanzia kata mpka wizarani pedeshee humwambii kitu
 
@GENTAMYCIME kuna mmakonde anaitwa Beka, amempeperusha bosi hapa Mbezi kwa Zena,
Nimemwoshesha huu uzi, kasema unachotafuta utakipata, atakushusha nshipa,
Kaachiwa gofu la gorofa toka 1990, hadi leo bosi hajulikani alipo,
Amegawa vyumba kapangishia wanyasa,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Mwambie Tanzania nzima kuna Wachawi na Watu wanaojua Dawa na wenye Kinga Kali dhidi ya Watu Wabaya ( Wachawi ) kama Wazanaki kutoka Mkoani Mara?
 
Mwambie Tanzania nzima kuna Wachawi na Watu wanaojua Dawa na wenye Kinga Kali dhidi ya Watu Wabaya ( Wachawi ) kama Wazanaki kutoka Mkoani Mara?
Mkuu jamaa anaogopeka, wanaomjua wanasema anaua ndugu zake, pia alimshusha mdeni wake mshipa mgumu kama dafu,
Fikiria mkuu unakatikaza Kawe, unakutana na marafiki zako wa Lugalo, huku una mzigo wa shipa 'lililotukuka' kama dafu.

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom