Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

dovillenproperty

JF-Expert Member
Nov 24, 2014
2,941
2,000
BANGALORE LINAUZWA
LIKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-SALASALA
_____________________
UMBALI SEKUNDE 37 TOKA BARABARA KUU YA LAMI
__________________
UKUBWA WA ENEO LAKE #LIMEPIMWA-#SQM_5535
______________
NYARAKA ZA UMILIKI INA-#HATI SAFI
__________
MANSION LA KIFAHARI
______
LENYE:-
Vyumba 7 vya kulala vyenye Makabati full AC vyote ni Master, Changing room, Library, Dinning, Sebule 2 juu/chini zote full AC, Jiko zuri lenye Makabati, Stoo, Laundry
Choo/Bafu vya ndani public
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme upo wa luku yake
Maji yapo ya bomba
Garden , Gym , Pitch , Swimming pool 2 ya wakubwa/watoto
Vyoo/Mabafu ya nje
Cars Parking space
Pavingblocks
_______
#NOTE:-
NDANI YA ENEO HILI MOJA HILI PIA KUNA BOYCOTT INAYOJITEGEMEA
YENYE:-
Vyumba viwili vya kulala kimojawapo ni Master, Dinning, Sebule, Jiko plus Public Toilet ya ndani/nje pia ipo

AMBAPO PIA NDANI YA ENEO HILI HILI LOTE LA BANGALORE LENYE UKUBWA WA 5,535 Sqm KWA PEMBENI YAKE KUNA SHAMBA KUBWA

LENYE MAZAO YAFUATAYO:-
Mahindi, Miembe, Michungwa, Mipapai, Migomba, Matikiti , Mipera , Minazi , Mbogamboga aina zote, Visima vya maji nk.______________
BEI TSHS 550,000$ Price

AMBAYO IMEINCLUDE #BANGALORE x #APARTMENT + #SHAMBA AMBAVYO VYOTE VIKO NDANI YA SQM HIZO 5535 ACCORDING TO TITLE DEED AU HATI KWA KISWAHILI KWA MSAADA WA WALIOISHIA LA 2 f, BUT PHYSICALLY NI SQM 7000 POINT SOMETHING

IMG-20200402-WA0022.jpeg

IMG-20200402-WA0016.jpeg
 

KIKAZI

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
1,323
2,000
Inabidi watu wafundishwe masuala ya Valuation kujua thaman ya kitu ulichonacho kuepuka kuibuk na kutaja taja mabei ya ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema kweli hapo mpaka nyumba iliposimama kujenga inacheza kwenye 10-18 ukisimamia manunuzi ya vifaa na mahitaji yote kwa umakini kabisa, ila watu kutokujua masuala ya Valuation kama ulivyosema wanapigwa bei kubwa na Madalali.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom