dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,189
- 2,219
- Thread starter
- #941
Ukiwa unaelekea usalama ni mkono wa kushoto na ni mtaa wa pili kutoka kwenye lami.Mkuu mbweni ubungo upande upi? Wa polisi au upande wa kuelekea shuleni?
Nakushauri ungewaeleza watu pale mbweni kuna sehemu inaitwa ubungo kabsa na si wilaya ya ubungo....
By the way kwa sasa mbweni kiwanja tu si chini ya 50m
Yeah kweli kabisa mkuu mengine nitayatolea ufafanuzi kwa kadri nitakavyoulizwa na wadau