Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

PLOT FOR SALE AT TEGETA
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Kiwanja kinauzwa Tegeta - Kibaoni near Tanesco branch

Very near to the main road

Size plot 1,782 sqm

Kimepimwa na kuna Hati Miliki (Clean Title deed)

- used to be a BAR and guess house.

Bei: Tsh 250m (negotiation)
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Call or WhatsApp for more details. 0756060183

IMG-20210320-WA0012.jpg
IMG-20210320-WA0011.jpg
IMG-20210320-WA0010.jpg
IMG-20210320-WA0009.jpg
IMG-20210320-WA0008.jpg
IMG-20210320-WA0005.jpg
IMG-20210320-WA0006.jpg
IMG-20210320-WA0007.jpg
IMG-20210320-WA0004.jpg
 
HOUSE FOR SALE
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Located at Kijichi - Mbagala Kuu
--- 4 Bedrooms House (2 Self)
--- Big windows
--- Kitchen
--- Sitting room
--- Dining room
--- Common toilet ( public toilet)
--- Water --- Fenced
--- An ideal for Residence
--- Price: Tsh. 120 Mil (Negotiated)
--- Plot size. 900 Sqm.
--- Documents: Surveyed - Clean Title deed
--- Inagusa barabara kubwa ya lami - Mbagala Kuu
0756060183
 
HOUSE FOR SALE
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Located at Kijichi - Mbagala Kuu
--- 4 Bedrooms House (2 Self)
Kwa wenyeji wa kule, wanajua kutofautisha kati ya Kijichi, Mbagala Kuu, na Mbagala! Mbagala Kuu ina-play parts 2; moja kama Kata na pili kama Kitongoji! Kwahiyo ni sahihi kusema Kijichi Mbagala Kuu, kwa maana ya Kijichi ipo Kata ya Mbagala Kuu! Lakini kama nyumba ipo exclusively eneo la Kijichi na sio Mbagala Kuu, basi hilo neno Mbagala Kuu achana nalo kwa sababu ni watu wachache sana Dar es salaam wanaoweza kutofautisha kati ya Mbagala na Mbagala Kuu! Majority wakisikia Mbagala Kuu, akili moja kwa moja ItaWApeleka Mbagala ambayo kwa kawaida,hususani linapokuja suala la real estate, Mbagala HAIUZI vizuri hususani kwa hizo milion 100 na ushehe! Kwa wanaofahamu, Mbagala Kuu ni kuzuri sana!
 
Hata Mil 80 ni nyingi mno kwa hilo pagale. Madalali Wa siku hizi bwana!

Focus kwenye long term! Sasa wewe unataka kutajirikia kwenye nyumba moja! Nonsense!!
 
Asant sana kwa ufafanuzi na ushauri wako mkuu..nitaufanyia kazi
 
Hata Mil 80 ni nyingi mno kwa hilo pagale. Madalali Wa siku hizi bwana!

Focus kwenye long term! Sasa wewe unataka kutajirikia kwenye nyumba moja! Nonsense!!
Mkuu hiyo ni bei ya kuanzia ila maongezi yapo,,karibu uone nyumba na utoe ofa yako yamkini mwenyewe akakusikiliza
 
Kwa wenyeji wa kule, wanajua kutofautisha kati ya Kijichi, Mbagala Kuu, na Mbagala! Mbagala Kuu ina-play parts 2; moja kama Kata na pili kama Kitongoji! Kwahiyo ni sahihi kusema Kijichi Mbagala Kuu, kwa maana ya Kijichi ipo Kata ya Mbagala Kuu! Lakini kama nyumba ipo exclusively eneo la Kijichi na sio Mbagala Kuu, basi hilo neno Mbagala Kuu achana nalo kwa sababu ni watu wachache sana Dar es salaam wanaoweza kutofautisha kati ya Mbagala na Mbagala Kuu! Majority wakisikia Mbagala Kuu, akili moja kwa moja ItaWApeleka Mbagala ambayo kwa kawaida,hususani linapokuja suala la real estate, Mbagala HAIUZI vizuri hususani kwa hizo milion 100 na ushehe! Kwa wanaofahamu, Mbagala Kuu ni kuzuri sana!
Umekosea pia japo umejitahidi iko hivi KIJICHI inajitegemea kwa Sasa ni kata kamili ambayo ina diwani wake,na MBAGALA KUU inajitegemea na ina diwani wake

KATA YA KIJICHI
ina mitaa
-MTONI KIJICHI
-BUTIAMA
-MISHENI
-MWANAMTOTI
-MGENI NANI
-MIANDE
-NELUKA

MBAGALA KUU
-KIBONDE MAJI
-KICHEMCHEM
-NJIA YA NG'OMBE
-VIKUNAI
N.K

Hivyo hiyo nyumba ipo kata Ya MBAGALA KUU KARIBU NA MTAA WA KICHEMCHEM na ipo opposite na msikiti kwa mbele kidogo panaitwa kwa Damdam haipo KIJICHI.
 
Asante kwa ufafanuzi mkuu
 
Kiwanja kipo bahari beach njia ya fedha/nyuki road kama unaelekea tegeta
Kiwanja kina ukubwa wa 1000 SQM
Bei Tsh 120m
Kimezunguushiwa fence na kuna hati
Maongezi zaidi 0756060183

20210330_155649.jpg
20210330_155647.jpg
20210330_155517.jpg
 
Back
Top Bottom