hakika tena ukitaka kulikomoa jua unachukua solar water pump.Dawa ya jua ni maji ya kutosha
Muhimu saanahakika tena ukitaka kulikomoa jua unachukua solar water pump.
View attachment 1871048
Imawezekana lakin kwenye suala la umeme inabidi ufungiwe kitaalam saana lasivo mtaunguza pump...... Kam vip mtumie umeme wa sehem moja lakin maji haya zaid ya nyumba mbili inawezekenaMkuu kivike kuna uwezekano wa kutumia kisima kimoja pump moja kwa nyumba mbili tofauti.... Yaan kila mtu akitaka kuvuta maji anawasha pump na umeme unatumika wake
Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
Hii haijakaa sawa,kwa hiyo ukichimba mita 100 maji yakawa na chumvi ,hapo gharama zitakuwaje kwa upande wenu?hamoni kama hiyo ni pata poteaHakuna kipimo hapa kwetu nchini kinachoonesha dhahiri kiasi cha chumvi (madini) yaliyopo kwenye maji. Mtu akikuambia hvo ujue anadanganya nawe pia usikubali kudanganyika.
Ingawa kuna baadhi ya watu hupenda taarifa zinazovutia hata kama hazina ukweli.
Kiasi chumvi/madini kwenye maji huonekana baada ya maji kupatikana.
Hili suala umeliongea kwa hisia, lakini mimi naongelea uhalisia. Kama mtu anataka kudanganywa sawa.Hii haijakaa sawa,kwa hiyo ukichimba mita 100 maji yakawa na chumvi ,hapo gharama zitakuwaje kwa upande wenu?hamoni kama hiyo ni pata potea