Huduma za visima vya maji imeboreshwa

EVIGT

JF-Expert Member
Jul 9, 2014
496
367
Habari Jf .

Tumekuwa tukitoa huduma za uchimbaji wa visima, pampu za maji na bomba kwa muda mrefu sasa.
Huduma tumeboresha ili kuwafikia watu wengi zaidi.

Gharama za kufanya underground water survey zitafidiwa kwenye gharama ya kuchimba kisima.
Gharama ya kufunga pump( installation cost) itafidiwa kwenye gharama ya kuchimba kisima, hii ni kwa pump ya umeme tu, kwa pump ya solar , installation cost atalipia mteja.

Gharama za kuchimba inategemea na mkoa;
DSM: Chini ya mita 50 ni 3.5M
Juu ya mita 60 ni 60k - 70k kwa mita moja. Contact 0699494659
Pwani, Morogoro: 90k - 100k kwa mita moja: Contact 0759600809
Iringa,Mbeya: 130k - 160k kwa mita moja: Contact 0734 660 368
Tanga, Arusha: 140k - 160k kwa mita moja: Contact 0693910388

Huduma ya water fittings, yaani kuunganisha tank za maji na mfumo wa maji kwa jumla gharama zake ni maelewano baada ya kufika site (site visiting)

Bila kusahau pump za maji kwa ajili ya kisima zinapatikana, zipo za umeme na solar kwa gharama nafuu zaidi, ( hizi zipo ofisi ya DSM, mikoani zinatumwa)

Karibu tukuhudumie.
Dsm tupo Gerezani 0699494650
Lindi street.
👇Picha na video zinakuja
 
Pump ya solar bei gani na mnafunga kwa bei gani Dar - Tegeta
 
Bei ya hizi solar pump inategemea na urefu wa kisima;
0.5 hp , maximum mita 44. Bei ni 1.2M
0.75 hp, maximum mita 65. Bei 1.6 M
1 hp, maximum mita 80,bei 1.8 M
1.5 hp, maximum mita 120, bei 2 M
Pump zinakuja na control box yake na solar panels zake.
images (13) (1).jpeg
 
Bei ya hizi solar pump inategemea na urefu wa kisima;
0.5 hp , maximum mita 44. Bei ni 1.2M
0.75 hp, maximum mita 65. Bei 1.4 M
1 hp, maximum mita 80,bei 1.6 M
1.5 hp, maximum mita 120, bei 1.8 M
Pump zinakuja na control box yake na solar panels zake.
View attachment 2511809
Hivi bei ni inclusive ya kila kitu pamoja na ufungaji?
 
Habari Jf .
Mods hii ni update 2023,msiunganishe na miaka ya nyuma.
Tumekuwa tukitoa huduma za uchimbaji wa visima, pampu za maji na bomba kwa muda mrefu sasa.
Huduma tumeboresha ili kuwafikia watu wengi zaidi.
Gharama za kufanya underground water survey zitafidiwa kwenye gharama ya kuchimba kisima.
Gharama ya kufunga pump( installation cost) itafidiwa kwenye gharama ya kuchimba kisima, hii ni kwa pump ya umeme tu, kwa pump ya solar , installation cost atalipia mteja.

Gharama za kuchimba inategemea na mkoa;
DSM: Chini ya mita 50 ni 3.5M
Juu ya mita 60 ni 60k - 70k kwa mita moja. Contact 0699494659
Pwani, Morogoro: 90k - 100k kwa mita moja: Contact 0759600809
Iringa,Mbeya: 130k - 160k kwa mita moja: Contact 0734 660 368
Tanga, Arusha: 140k - 160k kwa mita moja: Contact 0693910388

Huduma ya water fittings, yaani kuunganisha tank za maji na mfumo wa maji kwa jumla gharama zake ni maelewano baada ya kufika site (site visiting)

Bila kusahau pump za maji kwa ajili ya kisima zinapatikana, zipo za umeme na solar kwa gharama nafuu zaidi, ( hizi zipo ofisi ya DSM, mikoani zinatumwa)

Karibu tukuhudumie.
Dsm tupo Gerezani 0699494650
Lindi street.
Picha na video zinakuja

Kenya na Uganda mnafika?
 
Hivi bei ni inclusive ya kila kitu pamoja na ufungaji?
Hizo bei ni pump na solar panels zake.
Vitu vingine itakupasa kununua kuna accessories kadhaa zinazoitajika katika kufunga pump za maji, ( waya, kamba, connectors, poly pipe, well cap, seal tape, high voltage tape, cable tie,)
 
Hivi bei ni inclusive ya kila kitu pamoja na ufungaji?
Bei ya kufunga pump itazingatiwa na pump uliyochagua mkuu,, labda twende kwenye real business, tupige hesabu zote vizuri.
Nijulishe kisima kina mita ngapi? Umbali kilipo kisima hadi kwenye water tank ni mita ngapi?
Umbali wa kisima hadi kwenye switch ya umeme ni mita ngapi?
 
1. Pump ni 0.75 hp
2. Umbali kutoka kisima hadi water tank ni 30m
3. Umbali kutoka kisima hadi switch ya umeme ni 6m
4. Kisima ni 60m
 
Solar pump + panels = 1.4 M
Poly pipe itatakiwa mita 100- 2k/m= 200k
Waya mita 70- 4500/m= 315k
Bush, male connector, well cap, cable tie , seal tape, high voltage tape = 100k
Installation = 150k
Total= 2,065,000/=
( Ila kwa mita hizo 60 + 30, nakushauri uchukue 1 hp)
 
Mnafanya flushing?
 
Mkuu kama unania ya kupata huduma zote kwetu, flushing tutakufanyia 170k. Ila kama utafanya tu flushing bila huduma zingine tutakufanyia 200k.
Nahitaji huduma zote (Flushing + kufunga solar pump)

Kwa hapa tulipofika naomba twende pm sasa nikiamini Kuna discount na ili tuone the way forward.
 
Sombetini ,Arusha ,45 M
 
Back
Top Bottom