Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

kivike9

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
285
250
Habari za asubuh... Tushukuru Mungu kwa kuamka salama.... Karibu tuchimbe kisima kwa ustawi wa kilimo na mifugo
 
Blessed

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
3,454
2,000
Boss ninakusalimia. Hongerah kwa kazi njema. Nina ki-plot nje kidogo ya Mji wa Dodoma barabara ya Mvumi baada tu ya kutoka Ntyuka. Nipe makisio complete kuanzia survey, kuchimba na kuweka pump(pump ya jua, preferably) eneo hilo halina umeme. I will be waiting.
 
Karibu... Anyway ok

Kuchimba +Upvc 80,000/=
Kupima maji 600,000=

Kibali cha kuchimba 300000/=

Pump(bila solar system) na vifaa vyake 1,670,000/=

Mobilization 500000/=

Kufunga pump 300000/=

NB: KAMA ITAKUWA NI MITA MIA ... JUMLA ITAKUWA 11,370,000/=

Tunakuachia maji yanatiririka mlangoni kwako
 
kivike9

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
285
250
Lengo letu mtu asinyanyaswe kisa hana maji... Njoo tutatue suala la maji pamoja
 
kivike9

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
285
250
Tumshukuru Mungu kwa kuamka salama . Nami kipekee namshukuru Mungu kwa kunipa zawadi ya uhai... Nakutakia weekend njema huku ukitafakari namna ya kupata suluhu ya tatzo la maji katik shughuli zako
 
evigt

Senior Member
Jul 9, 2014
152
225
Dawa ya jua ni maji ya kutosha
hakika tena ukitaka kulikomoa jua unachukua solar water pump.
solarpump.jpg
 
Old - Hand

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
1,712
2,000
Mkuu kivike kuna uwezekano wa kutumia kisima kimoja pump moja kwa nyumba mbili tofauti.... Yaan kila mtu akitaka kuvuta maji anawasha pump na umeme unatumika wake

Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
 
Imawezekana lakin kwenye suala la umeme inabidi ufungiwe kitaalam saana lasivo mtaunguza pump...... Kam vip mtumie umeme wa sehem moja lakin maji haya zaid ya nyumba mbili inawezekena
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom