Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Lengo letu mtu asinyanyaswe kisa hana maji... Njoo tutatue suala la maji pamoja
 
Tumshukuru Mungu kwa kuamka salama . Nami kipekee namshukuru Mungu kwa kunipa zawadi ya uhai... Nakutakia weekend njema huku ukitafakari namna ya kupata suluhu ya tatzo la maji katik shughuli zako
 
Dawa ya jua ni maji ya kutosha
hakika tena ukitaka kulikomoa jua unachukua solar water pump.
solarpump.jpg
 
Mkuu kivike kuna uwezekano wa kutumia kisima kimoja pump moja kwa nyumba mbili tofauti.... Yaan kila mtu akitaka kuvuta maji anawasha pump na umeme unatumika wake

Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
Imawezekana lakin kwenye suala la umeme inabidi ufungiwe kitaalam saana lasivo mtaunguza pump...... Kam vip mtumie umeme wa sehem moja lakin maji haya zaid ya nyumba mbili inawezekena
 
Hakuna kipimo hapa kwetu nchini kinachoonesha dhahiri kiasi cha chumvi (madini) yaliyopo kwenye maji. Mtu akikuambia hvo ujue anadanganya nawe pia usikubali kudanganyika.

Ingawa kuna baadhi ya watu hupenda taarifa zinazovutia hata kama hazina ukweli.

Kiasi chumvi/madini kwenye maji huonekana baada ya maji kupatikana.
Hii haijakaa sawa,kwa hiyo ukichimba mita 100 maji yakawa na chumvi ,hapo gharama zitakuwaje kwa upande wenu?hamoni kama hiyo ni pata potea
 
Hii haijakaa sawa,kwa hiyo ukichimba mita 100 maji yakawa na chumvi ,hapo gharama zitakuwaje kwa upande wenu?hamoni kama hiyo ni pata potea
Hili suala umeliongea kwa hisia, lakini mimi naongelea uhalisia. Kama mtu anataka kudanganywa sawa.

Wachimbaji wenye tamaa humwaminisha mteja 100% kwamba maji lazima yatakuwa hayana/yana chumvi. Lakin kwa upande wangu mimi nitakuelewa uwezekano na sio uhakika.

Pia nitakueleza tabia za mazingira, mfano Dsm kupata maji baridi kabisa ni mara chache saana lakin maji chumvi ni kawaida.

Ingawa pia kuna chumvi inayovumilika na chumvi kali
 
Ijumaa ya mwisho wa mwezi huu wa saba.. karibu tusaidiane kuongeza ufanisi na uzalishaji shamban kwako na nyumban kwako kwa kupata kisima cha uhakika....

Karibu
IMG_20210729_094023_543.jpg
 
Jumapili njema maisha. Maji ni uhai.

Karibu ujipatie huduma za kuchimba kisima kwa ubora wa hali ya juu
 
Back
Top Bottom