Uchimbaji wa visima mashambani kwa ajili ya umwagiliaji

Dec 29, 2023
8
1
Habari wana Jf

Tunajishughulisha na masuala ya UCHIMBAJI WA VISIMA NA KUFANYA UNDERGROUND WATER SURVEY

Tunatumia mashine za kisasa katika shughuli zetu

Ukichimba nasi uhakika wa kupata maji ni asilimia 99%

Tukikuchimbia sisi

•Bomba/uPvc
•pampu
•Water Test
•Tenki la maji bure kabisa

0689 150 968
0625 557 395
0764 418 248

TUPO DAR ES SALAAM ILA TUNAFIKA MIKOA YOTE TANZANIA.

c062383714724002a290ba95d091c647.jpg
 
Bei za Uchimbaji Visima zinatofautina kutokana na Nature of Rocks ya eneo husika
Kwa mfano;

Dar Es laam na baadhi ya maeno ya Pwani
Kuchimba ni Tshs 90,000/= kwa mita moja
Na Survey inafanyika kwa Tshs 350,000 hadi Tshs 500,000/=

Kwa mikoani kwa sababu maeneo mengi ni Hard rock formation uchimbaji wake ni watofauti na Wa Dar Es salaam na Pwani

Bei zake za Kuchimba kisima ni Tshs 145,000/= kwa mita moja

Na bei ya Survey ni kuanzia Tshs 500,000 hadi 1,500,000/= inategemea na eneo lilipo

Bei za Uchimbaji zinajumlisha
•Pipes (Bomba)
•Pampu
•Water test
•Tenk la maji
20230720_184622.jpg
20230720_184345.jpg
 
Kuna vipimo vya local vya kupima maji kwa 50000 tu naweza kupata mkuu . Niko ARUSHA
 
Kutokana na watu kususia Dola kisa BRICS . Mie juzi nimewalipa milioni 32 kunichimbia kisima hapo Mlndizi
Exchange rate brola (BRL ya BRICS) to dollar ni BRL = 0.2258 USD kwa rates za leo Kariakoo.
 
Kuna vipimo vya local vya kupima maji kwa 50000 tu naweza kupata mkuu . Niko ARUSHA
Vipimo vya local vipo ila sio vya kuamini asilimia ya kutowa dry borehole ni kubwa sana boss tumia hivi vya mzungu tu ijapokuwa ni hali ila accurate yake ni kubwa compared to local method
 
Huduma bado zinatolewa
Karibuni sana

•Pipes
•Pampu
•Water Test
•Tenk

Hivyo juu vyote tunakupa bure kama tutakuchimbia sisi kisima
IMG-20230523-WA0001.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom