Tunataka Mdahalo Live wa Magufuli na Lowassa

Tunataka Mdahalo Live wa Magufuli na Lowassa

That kind of politics is not available in Africa . You can find debates of presidential aspirants in developed country only.
Kwa hiyo Kenyatta na Raila walipofanya mdahalo walitoka developed country? Mkuu angalia maneno yako yasikose mashiko!
 
Miaka yote ccm ndio huwa wanakimbia midahalo, ila kwa mwaka huu naimani kwa asilimia mia wapinzani ndio watalala mbele.

Yaani Lowassa aongee dakika 45 bila kupumzika?
 
  • Thanks
Reactions: nao
NYANI NGABU huna nia njema na lowassa wewe mdaharo huo omba waweke viti vya wagombea maana lowasa nasikia hawezi simama mda mrefu
 
That kind of politics is not available in Africa . You can find debates of presidential aspirants in developed country only.

Niliwahi shuhudia midahalo miwili tofauti ya wagombea urais baina ya Mkapa, Lipumba, Mrema na Cheyo, enzi hizo.

Sijuwi kama ulikuwa umeshazaliwa.
 
NYANI NGABU huna nia njema na lowassa wewe mdaharo huo omba waweke viti vya wagombea maana lowasa nasikia hawezi simama mda mrefu

Nnauhakika hata kukaa muda mrefu hawezi.
 
Miaka yote ccm ndio huwa wanakimbia midahalo, ila kwa mwaka huu naimani kwa asilimia mia wapinzani ndio watalala mbele.

Yaani Lowassa aongee dakika 45 bila kupumzika?

tunataka wewe na nani?kama ni wewe na mumeo si muwapigie simu wahusika au tido mhando,sasa huku utawapataje
 
Niliwahi shuhudia midahalo miwili tofauti ya wagombea urais baina ya Mkapa, Lipumba, Mrema na Cheyo, enzi hizo.

Sijuwi kama ulikuwa umeshazaliwa.
.. Na mdahalo huu ulikuwa bomba tu pale Kilimanjaro Hotel nadhani, wagombea wakabonga sera zao na wananchi wakajionea afya zao, ufahamu na mantiki za sera zao... na Mkapa akashinda uraisi kwa hoja na uwezo!!! #BringItOn
 
Tunataka Mdahalo Live wa Magufuli na Lowassa
Ha ha haa...there are things you had better not wish for, you just might get them. Huo mdahalo unaoutamani si ajabu ukaupata na baada ya kuupata ukatamani heri hata usingekuwepo. Mpaka sasa Lowassa hajajinadi lakini Magufuli tumemsikia, sasa subiri Jumamosi ifike kama bado utakuwa na hamu na huo mdahalo. Kwa kukudokeza tu, Lowassa has done his homework unlike Magufuli aliyeteuliwa kwa kushtukiza na hadi sasa haamini kwamba ndiye mgombea. Katika hotuba zake anatumia muda mreefu kumsifia aliyembeba akisahau kwamba huyo anayemsifia ndiye ambaye, bila kujua, kaiua CCM na kinachosubiriwa kwa sasa ni arobaini ifike tung'oe matanga. Endeleeni tu kulikoroga, kuna siku mtalazimika kulinywa pamoja na machungu yake...hii ni tahadhari tu.
 
Wale waandaaji wa midahalo ya wanasiasa, sasa ni wakati muafaka wa kuandaa mdahalo kati ya Mgufuli na Lowassa.

Tujionee wenyewe na tuamuwe nani anaefaa kuiongoza Tanzania.

Tuna omba mdahalo uwe si chini ya masaa matatu kama ifatavyo...

1) Kila mmoja aelezee sera zake kwa dakika 45.

2) Kila mmoja ajibu hoja za mwenzake dakika 15

3) Muda uliobaki ni maswali na majibu ya papo kwa papo kutoka kwa msimamizi wa mdahalo na waliohudhuria mdahalo.

Nnaanza kucheka kabla sijayaona majibu ya "wapumbavu na malofa".

My take: Nnaamini Lowassa atapigwa knockout kabla mdahalo haujafikia robo.

Kwi kwi kwi teh teh teh!



Tatizo watanzania walilemazwa sana na Marehemu Nyerere.
Mpaka leo Watu wanafikiri kiongozi bora ni yule anayepiga porojo na kujisifu majukwaani.

Hivi chini ya mfumo wa CCM chama cha kishetani kuna mlalahoi anayetegemea kupata maisha bora kimfumo?
Maisha bora chini ya ccm sio sera na uwezo wa kujieleza bali ni ujanja wa mtu mwenyewe na kufungamana na familia viongozi au kuwa na imani potofu za kishirikina.
Mfumo wa CCM na sera zake za kinafiki haziwezi kutekelezwa na mtu yeyote hata Malaika sembuse Magufuli aliyewekwa na Mafisadi yaliyouza nchi yote tangu mwaka 1985.
Wakahitimisha kwa kuuza nyumba zote za umma kwa maana ya kuwa tayari kuhama nchi. Nyumba iliyobaki ni ikulu tu ambayo wakitoka ofisini wanaenda kupumzika hotelini na kupanda ndege kwenda ulaya maana nyumba wameshauza.

Kama CCM watahitaji midahalo basi iwe ni kwa madiwani wote na wabunge wote ili tujue nani ana timu nzuri ya kiutendaji mana rais ni kama kiongozi wa hao watendaji wakuu.
CCM imerudisha wabunge wale wale wa kupiga makofi tu;Mawaziri atawapata toka kwa wabunge walewale na mawaziri mizigo wale wale wa kupiga dili zao na wawekezaji kisha kukimbilia kuomba misaada ulaya na kuwaweka sawa wabunge wa CCM ili bajeti zao zipite kama mazoea.

Magufuli ametumika tu kama boti ya kuvusha mafisadi waendelee na safari zao na hana ubavu wa kumzuia mtu yeyote ndani ya familia za watu wa kitengo.
Yalimshinda Kanali wa Jeshi ataweza raia Magufuli?
 
hizi tuhuma za hapa na pale japo wengi wetu hatujui ukweli wake ila hazitakiwi kupuuzwa au kutolewa majibu mepesi. watanzania hatuhitaji kufanya majaribio, tunataka kusonga mbele zaidi. uraisi ni nafasi ya juu kabisa ya uongozi, mambo mengi ya taifa hili yataamuliwa na taasisi hii kwa niaba ya watz wote. TUNAOMBA MIDAHALO KWA UFAFANUZI WA FUNUNU ZILIZO ZAGAA MITAANI. tuache majibu mepesi TANZANIA ni yetu sote na vizaz vijavyo.
 
UKAWA hatuendi kwenye mdahalo kama nyinyi mlivyokataa mdahalo 2010! Wala usilalamike.
 
"[mafisadi] sitawaangusha"!
 
Niliwahi shuhudia midahalo miwili tofauti ya wagombea urais baina ya Mkapa, Lipumba, Mrema na Cheyo, enzi hizo.

Sijuwi kama ulikuwa umeshazaliwa.

Jk ndio alifundisha watu kukimbia midahalo na baadaye kupiga marufuku wagombea wa ccm kufanya hiyo midahalo!
Alikimbia mdahalo na Dr slaa mwaka 2010!

Mimi nashauri wagombea wote wakapimwe afya,wapimwe magonjwa yoooooooteeee hadi yale yanayopatikana kitandani!
 
Back
Top Bottom