Tunataka Mdahalo Live wa Magufuli na Lowassa

Wale viherehere wa kudai midahalo mpaka sasa wameufyata. Wanajua kuwa mtu wao ni mwepesi mbele ya Magufuli.
 
Ni kweli kabisa...waje watuuzie sera zao. Tuache siasa za kutafutana...tutafute Rais atakayeweza kutuletea maendeleo kwa kuongoza vema jahazi.
 
Wale waandaaji wa midahalo ya wanasiasa, sasa ni wakati muafaka wa kuandaa mdahalo kati ya Mgufuli na Lowassa.

Tujionee wenyewe na tuamuwe nani anaefaa kuiongoza Tanzania.

Tuna omba mdahalo uwe si chini ya masaa matatu kama ifatavyo...

1) Kila mmoja aelezee sera zake kwa dakika 45.

2) Kila mmoja ajibu hoja za mwenzake dakika 15

3) Muda uliobaki ni maswali na majibu ya papo kwa papo kutoka kwa msimamizi wa mdahalo na waliohudhuria mdahalo.

Nnaanza kucheka kabla sijayaona majibu ya "wapumbavu na malofa".

My take: Nnaamini Lowassa atapigwa knockout kabla mdahalo haujafikia robo.

Kwi kwi kwi teh teh teh!

Samani ww ni.ke ama me ili.ndio.nijb
 
Faiza kumbuka Makamba alimzuia JK kushiriki mdahalo!!!
 
wale waandaaji wa midahalo ya wanasiasa, sasa ni wakati muafaka wa kuandaa mdahalo kati ya mgufuli na lowassa.

Tujionee wenyewe na tuamuwe nani anaefaa kuiongoza tanzania.

Tuna omba mdahalo uwe si chini ya masaa matatu kama ifatavyo...

1) kila mmoja aelezee sera zake kwa dakika 45.

2) kila mmoja ajibu hoja za mwenzake dakika 15

3) muda uliobaki ni maswali na majibu ya papo kwa papo kutoka kwa msimamizi wa mdahalo na waliohudhuria mdahalo.

Nnaanza kucheka kabla sijayaona majibu ya "wapumbavu na malofa".

My take: Nnaamini lowassa atapigwa knockout kabla mdahalo haujafikia robo.

Kwi kwi kwi teh teh teh!

kama sikosei jambo hili mwaka 2010.shujaa wenu alimkimbia dr.slaa.leo tena mnaitaka hii stuff?.
 
Yaani kama akifanikiwa kueleza sera zake hata kwa dakika ishirini tu atapelekwa ICU

Ukitaka kujuwa kuwa hata mashabiki wa ukawa wanaamini kuwa makapi aka mamvi hauwezi urais, tazama huu uzi wanavyoukimbia.
 
Midahalo kafanyieni Msoga kati ya Magufuli na anaye toka ili muone kama anafaa kuwa mwenyekiti wa chama chenu. Watanzania wanataka maendeleo na sio midahalo ya kijinga. Tulisha sikia maneno mazuri mengi tokea awamu ya pili na hakuna maendeleo yoyote zaidi ya kutuongezea umaskini tu.
 
Wale waandaaji wa midahalo ya wanasiasa, sasa ni wakati muafaka wa kuandaa mdahalo kati ya Mgufuli na Lowassa.

Tujionee wenyewe na tuamuwe nani anaefaa kuiongoza Tanzania.

Tuna omba mdahalo uwe si chini ya masaa matatu kama ifatavyo...

1) Kila mmoja aelezee sera zake kwa dakika 45.

2) Kila mmoja ajibu hoja za mwenzake dakika 15

3) Muda uliobaki ni maswali na majibu ya papo kwa papo kutoka kwa msimamizi wa mdahalo na waliohudhuria mdahalo.

Nnaanza kucheka kabla sijayaona majibu ya "wapumbavu na malofa".

My take: Nnaamini Lowassa atapigwa knockout kabla mdahalo haujafikia robo.

Kwi kwi kwi teh teh teh!
Bi mkubwa, tangu lini CCM walikubali kushiriki midahalo?
 
Back
Top Bottom