Tunataka Mdahalo Live wa Magufuli na Lowassa

Tunataka Mdahalo Live wa Magufuli na Lowassa

Kwa hali hii mtamuonea baba Wa watu. Muacheni ajiuguze midahalo uchaguzi ujao
 

Attachments

  • 1440441064929.jpg
    1440441064929.jpg
    35.8 KB · Views: 155
Midahalo kafanyieni Msoga kati ya Magufuli na anaye toka ili muone kama anafaa kuwa mwenyekiti wa chama chenu. Watanzania wanataka maendeleo na sio midahalo ya kijinga. Tulisha sikia maneno mazuri mengi tokea awamu ya pili na hakuna maendeleo yoyote zaidi ya kutuongezea umaskini tu.

Umepanic
 
I welcome that!

Na wafanye mitatu kabisa.

Wa kwanza uwe kwa Kiswahili.

Wa pili uwe kwa Kiingereza.

Na wa mwisho uwe wa Kiswahili.

Na iwepo miwili wa wagombea wenza pia.

Mmoja uwe wa Kiswahili na wa pili uwe wa Kiingereza.

*Nina uhakika wagombea wa Mafisiemu lazima wachomoe hapo kwenye hiyo ya Kiingereza*

*Mshakisikia Kiingereza cha Magufuli?*

Teh teh teh.....kinachekesha hicho....hahahaaaa.

Hapo ninaamini lazima atachomoa. Atajidai yuko bize anakampeni....
 
Kitumbua kilichopikwa miaka ishirini na nne na wapishi wazuri waliovumilia kuwasha jiko huku wakipuliza kwa shida mkaa ili uwake sasa kimeingiliwa mchanga
 
I welcome that!

Na wafanye mitatu kabisa.

Wa kwanza uwe kwa Kiswahili.

Wa pili uwe kwa Kiingereza.

Na wa mwisho uwe wa Kiswahili.

Na iwepo miwili wa wagombea wenza pia.

Mmoja uwe wa Kiswahili na wa pili uwe wa Kiingereza.

*Nina uhakika wagombea wa Mafisiemu lazima wachomoe hapo kwenye hiyo ya Kiingereza*

*Mshakisikia Kiingereza cha Magufuli?*

Teh teh teh.....kinachekesha hicho....hahahaaaa.

Hapo ninaamini lazima atachomoa. Atajidai yuko bize anakampeni....

Mgombea wako atashindwa kuhudhuria mdahalo.

Hata akihudhuria mdahalo hataongea zaidi ya dakika 5.
 
I welcome that!

Na wafanye mitatu kabisa.

Wa kwanza uwe kwa Kiswahili.

Wa pili uwe kwa Kiingereza.

Na wa mwisho uwe wa Kiswahili.

Na iwepo miwili wa wagombea wenza pia.

Mmoja uwe wa Kiswahili na wa pili uwe wa Kiingereza.

*Nina uhakika wagombea wa Mafisiemu lazima wachomoe hapo kwenye hiyo ya Kiingereza*

*Mshakisikia Kiingereza cha Magufuli?*

Teh teh teh.....kinachekesha hicho....hahahaaaa.

Hapo ninaamini lazima atachomoa. Atajidai yuko bize anakampeni....
..wala usiende mbali sana kuwaumiza hao wazee wakazidi kupandwa pressure ya kuongea kidhungu, swali ni je,umetafakari kama huo mdahalo mzee Lowasa anauweza walau kwa dakika 15? The man can barely read or even stand for 15mins, nyie mnamshindanisha aongee masaa matatu...nyie haya tu..!
 
I welcome that!

Na wafanye mitatu kabisa.

Wa kwanza uwe kwa Kiswahili.

Wa pili uwe kwa Kiingereza.

Na wa mwisho uwe wa Kiswahili.

Na iwepo miwili wa wagombea wenza pia.

Mmoja uwe wa Kiswahili na wa pili uwe wa Kiingereza.

*Nina uhakika wagombea wa Mafisiemu lazima wachomoe hapo kwenye hiyo ya Kiingereza*

*Mshakisikia Kiingereza cha Magufuli?*

Teh teh teh.....kinachekesha hicho....hahahaaaa.

Hapo ninaamini lazima atachomoa. Atajidai yuko bize anakampeni....

kweli upo out of touch,mdahalo wa kiingereza?kwani Waingereza watapiga kura?by the way naamin unakifahamu Kiingereza cha ugoko cha Lowassa.
Mtamuongezea mtihani usio wa lazima.

Huo wa Kiingereza tayarisheni wafanyie Washington,hii ya huku tunataka kwa kiswahili ili wananchi wote wawasikilize na kuwaelewa.

Nakuunga mkono kwenye midahalo mitatu,ila yule Bubu na Mgonjwa lazima akimbie,maana ata wakimpa kiti cha kukaa laziki mdomo una breki pia,akizidisha dk 20 ataishia Muhimbili.
 
Lowasa ana nyota ya Mkasi, kila aendako atakatwa tu. Hata katika huo mdahalo "atakatwa" tu.
 
Uzi unakimbiwa au inakimbiwa harufu ya janaba?

Unaijuwa maana ya janaba au unajisemea tu? Au nikupe darsa kuhusu janaba?

Kwa kuanzia, nnaomba muulize mama'ko "nini maana ya janaba?" akueleze kama anaelewa, uje kutujuza hapa.
 
That kind of politics is not available in Africa . You can find debates of presidential aspirants in developed country only.

Nnaomba kwa Kiswahili chake. Maana hicho Kingereza chako sijakuelewa.
 
I welcome that!

Na wafanye mitatu kabisa.

Wa kwanza uwe kwa Kiswahili.

Wa pili uwe kwa Kiingereza.

Na wa mwisho uwe wa Kiswahili.

Na iwepo miwili wa wagombea wenza pia.

Mmoja uwe wa Kiswahili na wa pili uwe wa Kiingereza.

*Nina uhakika wagombea wa Mafisiemu lazima wachomoe hapo kwenye hiyo ya Kiingereza*

*Mshakisikia Kiingereza cha Magufuli?*

Teh teh teh.....kinachekesha hicho....hahahaaaa.

Hapo ninaamini lazima atachomoa. Atajidai yuko bize anakampeni....

Kiingereza cha nini sasa.!?
 
Unaijuwa maana ya janaba au unajisemea tu? Au nikupe darsa kuhusu janaba?

Kwa kuanzia, nnaomba muulize mama'ko "nini maana ya janaba?" akueleze kama anaelewa, uje kutujuza hapa.

Janaba la mwanamke mpumbavu kama wewe halitoki hata uogee sabuni ya chuma
 
Back
Top Bottom