Tunataka Mdahalo Live wa Magufuli na Lowassa

Janaba la mwanamke mpumbavu kama wewe halitoki hata uogee sabuni ya chuma

Janaba litoke liende wapi?

Unaijuwa maana ya janaba au unajisemea tu? Au nikupe darsa kuhusu janaba?

Kwa kuanzia, nnaomba muulize mama'ko "nini maana ya janaba?" akueleze kama anaelewa, uje kutujuza hapa.
 
Wale waandaaji wa midahalo ya wanasiasa, sasa ni wakati muafaka wa kuandaa mdahalo kati ya Mgufuli na Lowassa.

Tujionee wenyewe na tuamuwe nani anaefaa kuiongoza Tanzania.

Tuna omba mdahalo uwe si chini ya masaa matatu kama ifatavyo...

1) Kila mmoja aelezee sera zake kwa dakika 45.

2) Kila mmoja ajibu hoja za mwenzake dakika 15

3) Muda uliobaki ni maswali na majibu ya papo kwa papo kutoka kwa msimamizi wa mdahalo na waliohudhuria mdahalo.

Nnaanza kucheka kabla sijayaona majibu ya "wapumbavu na malofa".

My take: Nnaamini Lowassa atapigwa knockout kabla mdahalo haujafikia robo.

Kwi kwi kwi teh teh teh!

Toka lini CCM mnataka midahalo? Nyie si mmekuwa mkikacha siku zote na hata kupiga marufuku? Kwanza midahalo ya nini kwa sera walizoandikiwa na vyama vyao? Ingekuwa kila mtu kaja na sera zake sawa.
 
Hivi chadomo wana sera?
 
Wale waandaaji wa midahalo ya wanasiasa, sasa ni wakati muafaka wa kuandaa mdahalo kati ya Mgufuli na Lowassa.

Tujionee wenyewe na tuamuwe nani anaefaa kuiongoza Tanzania.

Tuna omba mdahalo uwe si chini ya masaa matatu kama ifatavyo...

1) Kila mmoja aelezee sera zake kwa dakika 45.

2) Kila mmoja ajibu hoja za mwenzake dakika 15

3) Muda uliobaki ni maswali na majibu ya papo kwa papo kutoka kwa msimamizi wa mdahalo na waliohudhuria mdahalo.

Nnaanza kucheka kabla sijayaona majibu ya "wapumbavu na malofa".

My take: Nnaamini Lowassa atapigwa knockout kabla mdahalo haujafikia robo.

Kwi kwi kwi teh teh teh!

FaizaFoxy tangu nije humu jf hii hoja yako ndiyo imenivutia. Nyingine zote ni kashfa tupu. Kumbe ukitulia una busara!
 
Hoja yako nzuri, ila nina Mashaka utamaduni huu upo ndani ya CCM? Na je umesharuhusiwe kwa wagombea wote pamoja na wabunge?
 
Wale waandaaji wa midahalo ya wanasiasa, sasa ni wakati muafaka wa kuandaa mdahalo kati ya Mgufuli na Lowassa.

Tujionee wenyewe na tuamuwe nani anaefaa kuiongoza Tanzania.

Tuna omba mdahalo uwe si chini ya masaa matatu kama ifatavyo...

1) Kila mmoja aelezee sera zake kwa dakika 45.

2) Kila mmoja ajibu hoja za mwenzake dakika 15

3) Muda uliobaki ni maswali na majibu ya papo kwa papo kutoka kwa msimamizi wa mdahalo na waliohudhuria mdahalo.

Nnaanza kucheka kabla sijayaona majibu ya "wapumbavu na malofa".

My take: Nnaamini Lowassa atapigwa knockout kabla mdahalo haujafikia robo.

Kwi kwi kwi teh teh teh!

UNAFIKI NI SHIDA KUBWA SANA....unakumbuka uchaguzi wa 2010 mlivyo mkwepesha Kikwete na midahalo yote akakimbia..unakumbuka Tido muhando alivyotolewa TBCCM kwa kosa la kuanzisha kipindi cha mchakato majimboni ambacho wagombea wengi wa ccm waliingia mitini kwenye midahalo. CCM NA MIDAHALO WAPI NA WAPI.
 
Wale waandaaji wa midahalo ya wanasiasa, sasa ni wakati muafaka wa kuandaa mdahalo kati ya Mgufuli na Lowassa.

Tujionee wenyewe na tuamuwe nani anaefaa kuiongoza Tanzania.

Tuna omba mdahalo uwe si chini ya masaa matatu kama ifatavyo...

1) Kila mmoja aelezee sera zake kwa dakika 45.

2) Kila mmoja ajibu hoja za mwenzake dakika 15

3) Muda uliobaki ni maswali na majibu ya papo kwa papo kutoka kwa msimamizi wa mdahalo na waliohudhuria mdahalo.

Nnaanza kucheka kabla sijayaona majibu ya "wapumbavu na malofa".

My take: Nnaamini Lowassa atapigwa knockout kabla mdahalo haujafikia robo.

Kwi kwi kwi teh teh teh!
Hawezi huzuria, Lowasa kwani anajuwa kuongea si mpaka asome
 
Lowassa akikubali kufanya mdahalo huo nakunya dar to cairo na hadi cape town.
 
MAFURIKO YA MGOMBEA MWENZA WA CCM JANA......................teh teh teh teh

MGOMBEA MWENZA CCM NDANI YA MOSHI.jpg
 
Wale waandaaji wa midahalo ya wanasiasa, sasa ni wakati muafaka wa kuandaa mdahalo kati ya Mgufuli na Lowassa.

Tujionee wenyewe na tuamuwe nani anaefaa kuiongoza Tanzania.

Tuna omba mdahalo uwe si chini ya masaa matatu kama ifatavyo...

1) Kila mmoja aelezee sera zake kwa dakika 45.

2) Kila mmoja ajibu hoja za mwenzake dakika 15

3) Muda uliobaki ni maswali na majibu ya papo kwa papo kutoka kwa msimamizi wa mdahalo na waliohudhuria mdahalo.

Nnaanza kucheka kabla sijayaona majibu ya "wapumbavu na malofa".

My take: Nnaamini Lowassa atapigwa knockout kabla mdahalo haujafikia robo.

Kwi kwi kwi teh teh teh!

hii itamfaa Makufuli

attachment.php
 
Kweli JU HA hujulikana hata kwa rangi ya nguo zake. Hivi umekuwa punguani kiasi gani usahau kuwa midahalo ikiandaliwa kuna upande mmoja huwa unalala mbele?

Unaongea tofauti na unachoombea
 
Wale waandaaji wa midahalo ya wanasiasa, sasa ni wakati muafaka wa kuandaa mdahalo kati ya Mgufuli na Lowassa.

Tujionee wenyewe na tuamuwe nani anaefaa kuiongoza Tanzania.

Tuna omba mdahalo uwe si chini ya masaa matatu kama ifatavyo...

1) Kila mmoja aelezee sera zake kwa dakika 45.

2) Kila mmoja ajibu hoja za mwenzake dakika 15

3) Muda uliobaki ni maswali na majibu ya papo kwa papo kutoka kwa msimamizi wa mdahalo na waliohudhuria mdahalo.

Nnaanza kucheka kabla sijayaona majibu ya "wapumbavu na malofa".

My take: Nnaamini Lowassa atapigwa knockout kabla mdahalo haujafikia robo.

Kwi kwi kwi teh teh teh!
Mdahalo mlishakimbia tokea 2010 mkaishia kuanguka kwenye majukwaa mkamtimua mpaka Tido sasa ndio mnataka kuyarudia matapishi yenu?
 
Leo hii mnataka mdahalo, masikiini Tido Muhando SISIEM walimfukuza kazi kwa kuanzisha kipindi cha midahalo
 
Tizama wachangiaji wa ccm wasivyojielewa, kwa hiyo nyie furaha yenu ipo kwenye kushindwa kusimama kwa mgombea wa ukawa! Mi nafikiri cha muhimu sana ni ile presentation ya kila mmoja na majibu ya maswali. Mbona mnajidanganya sana kuwa magfl ni msafi, kivipi?!
 
Tunataka mdahalo.
 
Wale waandaaji wa midahalo ya wanasiasa, sasa ni wakati muafaka wa kuandaa mdahalo kati ya Mgufuli na Lowassa.

Tujionee wenyewe na tuamuwe nani anaefaa kuiongoza Tanzania.

Tuna omba mdahalo uwe si chini ya masaa matatu kama ifatavyo...

1) Kila mmoja aelezee sera zake kwa dakika 45.

2) Kila mmoja ajibu hoja za mwenzake dakika 15

3) Muda uliobaki ni maswali na majibu ya papo kwa papo kutoka kwa msimamizi wa mdahalo na waliohudhuria mdahalo.

Nnaanza kucheka kabla sijayaona majibu ya "wapumbavu na malofa".

My take: Nnaamini Lowassa atapigwa knockout kabla mdahalo haujafikia robo.

Kwi kwi kwi teh teh teh!
Mkuu unahangaika bure kabisa tena kabisa. Ni kwamba Mgombea Urais wa CHADEMA hawezi kushiriki mdahalo wowote hata ukimuwekea kombora mgongoni na kumwambia kwamba usiposhiriki mdahalo nafyatua! Na hizo saa tatu sasa ndio kabisaaa. Sena mdahalo wa dakika 20 tu hawezi kushiriki. Naona mikikimikiki wanaleta mdahalo wa vyama, watu tunataka mdahalo wa wagombea Urais siyo makatibu/wenyeviti au wanasheria wa vyama.
 
Back
Top Bottom