FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Wale waandaaji wa midahalo ya wanasiasa, sasa ni wakati muafaka wa kuandaa mdahalo kati ya Mgufuli na Lowassa.
Tujionee wenyewe na tuamuwe nani anaefaa kuiongoza Tanzania.
Tuna omba mdahalo uwe si chini ya masaa matatu kama ifatavyo...
1) Kila mmoja aelezee sera zake kwa dakika 45.
2) Kila mmoja ajibu hoja za mwenzake dakika 15
3) Muda uliobaki ni maswali na majibu ya papo kwa papo kutoka kwa msimamizi wa mdahalo na waliohudhuria mdahalo.
Nnaanza kucheka kabla sijayaona majibu ya "wapumbavu na malofa".
My take: Nnaamini Lowassa atapigwa knockout kabla mdahalo haujafikia robo.
Kwi kwi kwi teh teh teh!