Tunataka kile usichokuwa nacho

Tunataka kile usichokuwa nacho

Muonekano mzuri mwanaume kama huna pesaa mmhh sijui inakuwaje Mario hawa ni wengi… hahahaha hata jogoo kabla ya kugonga huwa anawaitia vimtetea vivyakula vyakula wakati wanadonoa yeye ndiyo anakamata mmoja anapiga .. sasa wewe kama huna vitu vya kuita mademu duh utakuwa unaachika kila uchao na mwonekano wako huo,,…
Sasa sisi ambao pesa hatuna na muonekano mbaya si ndio twafaaaa! Msitufanyie hivyo jamani.....!
 
Back
Top Bottom