miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
- Thread starter
- #101
salama mkuuMiss miss umeamkaje Leo?
salama mkuuMiss miss umeamkaje Leo?
Hahaha ukipata ufafanuzi zaidi. Utanisimulia kidogoHahahaha,si unajua hawa ndugu zetu hawajui wanachokitaka.!!
Nataka ufafanuzi zaidi.
Usiwaze kabisa kuhusu hilo.Hahaha ukipata ufafanuzi zaidi. Utanisimulia kidogo
Pamoja sana. BrotherUsiwaze kabisa kuhusu hilo.
Poa brother.Pamoja sana. Brother
"Longthroat is a thief of fulfillment". Ridhika na cha kwako, be busy count your own blessings. Unakuta umehangaika wee kutafuta kitu fulani, siku ukikipata unaanza kukichukulia for granted tena, unaanza kuvitafuta usivyokuwa navyo, thinking that ukikipata hicho usichokuwa nacho ndo maisha yako yatakuwa fulfilled, ukishakipata hiko kingine tena unaanza kukiona cha kawaida. At the end of the day unagundua, you had a lot but couldn't enjoy or kufeel kuwa fulfilled coz ulikuwa busy kutafuta usivyokuwa nayo. "When he was busy stretching his hands to catch the stars, he forgets the flower at his feet".Ni kweli kila mtu hutamani kile asichokuwa nacho na akishakuwa nacho atatamani kile kisichokuwepo.
Cha msingi ni kuridhika na kile ulichonacho as you cant have it all. Penda na thamini cha kwako.
Hapana nakataa. Nitakueleza sababu muda mfupi.ujao.mkuu ni ukweli mchungu bora uweke hiyo akilini kuliko kujidanganya ni yako peke yako
Habari zenu wana jf
….kuna swali huwa wengi wetu tunapenda kujiuliza au kuwauliza wapenzi wetu au hata marafiki hivi wanawake wanataka nini ? au hivi wanaume wanataka nini?
Hili swali huwa halina majibu ambayo ni ya moja kwa moja ila unaweza kuweka akilini mambo yafuatayo kuchoka, kukinai mazoea na pia kila jambo lina kupanda na kushuka..
Binadamu tuna kawaida ya kupenda kitu kiwe kinaenda katika mstari mzuri na kusahau kila kitu duniani kina pande mbili uzuri na ubaya. Matokeo ya ubaya hapo ndiyo wengi hatupo tayari..
Kwa upande wetu sisi wanawake tupo tunaopenda PESA, MAPENZI YA KWELI, MUONEKANO MZURI WA MWANAUME na wengine vyote .
Ni rahisi sana mwanaume kupata mwanamke amtakaye na asiye kuwa na mapenzi ya kweli akiwa na pesa na anayejua kutumia pesa ukiona unataka wanawake wanakukimbia unatatizo lingine. Viashiria vya pesa kwetu sisi wa dada anaenda kazini, gari,maeneo unayopenda kukaa, nyumba uanyoishi kama akibahatika kuona na hata mwonekano wako ….
Sasa ukinipata kwa njia hizi na mi nitakupenda kwa namna hiyo hiyo ukiishiwa baba niliyoyafuata hayapo kwa nini nisiojiondokee zangu nakukuacha sababu wakati we unaishiwa kuna mwingine anazipata na bahati mbaya labda ananifukuzia …
Wanaume wengi mna tabia mbaya ya kuanza na mabinti wa kawaida tu wakati hamna pesa mkishazipata mnaanza kufukuzana na siye wachunaji na kumuacha Yule aliyekuvumilia unamapeleka kagest cha 3000 na bado yupo na wewe .. unakuja kukimbizana na kina sampuli ya miss thubutu unitoe kwenye hotel ya dola kadhaa unipeleke ya ya 35,000 nasubiri nini kwako labda?
Pendeni wanawake waliowavumilia mkiwa hamnacho wajali waheshimuni labda kama hayupo hapo sawa ila analia wewe huku wewe unajilia bata subiri ufilisike tutoke nduki….. wekeni akilini baadhi ya wanawake huamini mwanaume wenye pesa wengi ni maplayer japo wapo ambao siyo maplayer kabisa huwa atuweki roho na mioyo yetu yote kwenu …kwa hiyo ukipata demu kwenye hali hiyo possibility kubwa ya kuachwa uatakaposhuka ni kubwa japo wapo mademu wanaowapenda kweli..
Mapenzi ya kweli mimi sina maana sana ya mapenzi ya kweli huwa sijui ipoje ila nitaelezea namna navyoona mimi mwanume kunijali na kunipa pesa … sasa jamani tuwe wa kweli tu siku zinavyozidi kwenda binadamu huwa tunachoka kukinai na hata kumzoea mwenzio ikishafika hatua hii lazima kuna vitu hupunguza pole pole sasa hapo mtu anaanza ooh au kapata mwingine kumbe wala..
Mnajua mapenzi mapya siku zote ni matamu sababu ya kubembelezwa kujaliwa najua mnajua yanavyonoga .. katika kipindi hiki huwa hatujiandai kisaikolojia kuwa ipo siku mambo yatabadilika wala huwa tunataka vile vile na tulivyo wabinafsi tunaanza kunyoosheana vidole badala ya kila mmoja wetu kujichunguza kaacha gape wapi ili mrekebishe ..
Mnalaumiana mwisho na kutegeana hata kutumiana salamu kwa kuendekeza mahisia yetu ooh kwa nini mi kila siku nianze .. mbona wakati uanaitongoza ulikuwa uanatuma salamu mia mia … any way tutumie nafasi zetu vizuri bwana na mjue hatuwezi kuwa sawa ukilegeza jua inakula kwako..
Nina roommate wangu hosteli moja hapa mjini ni mzanzibar Yule mwanaume wakati anamfukuzia huyu demu alikuwa anapanda boti kutoka Zanzibar na urojo sijui wa kwa babu nani mpaka external pale anamletea demu urojo na hapo analala na mzigo hapati… baada ya miezi kufukuzia demu akaiingia kingi akaliwa wacha jamaa akate hakuna cha urojo wala ice cream..
Mbona alipigwa chini kwa nini siku hizi uniletei urojo na ice cream hapo watu wa nje watalaumu mbona kamuacha mademu hawajui wanataka nini? kumbe jamaa haleti tena urojo na ice cream.. tufanye yale tunayoweza kuendeleza,,..
Muonekano mzuri mwanaume kama huna pesaa mmhh sijui inakuwaje Mario hawa ni wengi… hahahaha hata jogoo kabla ya kugonga huwa anawaitia vimtetea vivyakula vyakula wakati wanadonoa yeye ndiyo anakamata mmoja anapiga .. sasa wewe kama huna vitu vya kuita mademu duh utakuwa unaachika kila uchao na mwonekano wako huo,,…
Kwa maelezo hayo hapo juu tunatakiwa kukubaliana na mabadiliko binadamu haturidhiki na huwezi kuturidhisha ,, binadamu tuna hulka ya kutafuta kile ambacho hatuna na si kile ulichonacho.. ila jambo jema kujifunza kurekebisha kile ulichonacho tayari sababu vile unavyovitafuta probably havipo.
“Absence makes the heart grow fonder”
karibu tenaNimekuelewa
nakusubiria mkuuHapana nakataa. Nitakueleza sababu muda mfupi.ujao.
"Longthroat is a thief of fulfillment". Ridhika na cha kwako, be busy count your own blessings. Unakuta umehangaika wee kutafuta kitu fulani, siku ukikipata unaanza kukichukulia for granted tena, unaanza kuvitafuta usivyokuwa navyo, thinking that ukikipata hicho usichokuwa nacho ndo maisha yako yatakuwa fulfilled, ukishakipata hiko kingine tena unaanza kukiona cha kawaida. At the end of the day unagundua, you had a lot but couldn't enjoy or kuwa fulfilled coz ulikuwa busy kutafuta usivyokuwa nayo. "When he was busy stretching his hands to catch the stars, he forgets the flower at his feet".

Mimi niambie tu unataka kiasi gani kama hakipo kwenye uwezo wangu nakupa live upunguze tukikubaliana kifuatacho ITV na hapo inakuwa ndio mkataba nikijisikia tu nakustua mwendo ndio huo huo mambo ya sijui baby hunitakii usiku mwema hunitumii SMS oh sijui nini... Hayo ni mambo ya Mke na mume... Au we unasemajehahaha acha hizo
hapana hata wapenzi bwanaMimi niambie tu unataka kiasi gani kama hakipo kwenye uwezo wangu nakupa live upunguze tukikubaliana kifuatacho ITV na hapo inakuwa ndio mkataba nikijisikia tu nakustua mwendo ndio huo huo mambo ya sijui baby hunitakii usiku mwema hunitumii SMS oh sijui nini... Hayo ni mambo ya Mke na mume... Au we unasemaje
Hee maelekezo tena kutoka kwako? Au unamaanisha ushauri?amina mkuu .. ila tu angekuwa hafuati maelekezo ningemuacha
ushauri mkuuHee maelekezo tena kutoka kwako? Au unamaanisha ushauri?
Hapo nimekuelewa vizuri mkuu, mwanzo nikafikiri ww ndie mwenye sauti zaidi ndio maana unatoa maelekezo tu na Mr. anayafuata.ushauri mkuu
hapana tunashaurianaHapo nimekuelewa vizuri mkuu, mwanzo nikafikiri ww ndie mwenye sauti zaidi ndio maana unatoa maelekezo tu na Mr. anayafuata.
Hahaaaaaaa.
Mdogo wangu ukimuuliza mtu yeyote(haina jinsia) unataka nini? Atakuambia nataka ABC, lakini akishafanikiwa kuvipata hivyo atataka kile asichokuwa nacho, na kwakuwa huwezi kuwa na vyote inabidi tu uridhike na kile ulichonacho. Na usipokuwa na moyo wa kuridhika na ulichonacho ndipo hapo taabu ya 'hajui akitakacho' inaanzia.Hahaha ukipata ufafanuzi zaidi. Utanisimulia kidogo
Nimekuelewa sana Dada yangu. Hilo swali kila mtu ana jibu lake. Ndio maana watu kutwa wanahangaika maana hatujui nini hasa tunataka.Mdogo wangu ukimuuliza mtu yeyote(haina jinsia) unataka nini? Atakuambia nataka ABC, lakini akishafanikiwa kuvipata hivyo atataka kile asichokuwa nacho, na kwakuwa huwezi kuwa na vyote inabidi tu uridhike na kile ulichonacho.
Kwahiyo hili suala la wanawake hawajui wanataka nini hata sisi huwa tunasema wanaume hawajui wanataka nini, maana atataka mwenye chura ila utamkuta anachepuka na flat screen, kwahiyo usitegemee kupata jibu la hilo swali.
Binadamu tunataka vyote,na kwakuwa hatuwezi kupata vyote ndipo taabu inapokuja.