miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
- Thread starter
- #61
duh mnahatariNdo ukweli huo dadangu we ulizia popote eti akina ndanyelakakomu wanapenda nn
duh mnahatariNdo ukweli huo dadangu we ulizia popote eti akina ndanyelakakomu wanapenda nn
Haya bwanasiwezi kuwa mzembe hivyo
Kawaida sana usiogopeduh mnahatari
Ndo tabia yenu kumbe!halafu huko kuzalishana tunawageuza chuma ulete
ndiyo hivyoNdo tabia yenu kumbe!
sawa mkuuKawaida sana usiogope
hapana kwa kweliHaya bwana
Hongera kwa hilo maana nilishaanza kumuonea huruma mwanaume mwenzangu kutokana na itikadi zako.mume wangu ni story ndefu ...
hawezi kufilisika sababu nipo nyuma yake na anafuata maelekezo na anajua kuwa pesa inanivuta so huwa tukaa pamoja na kuweka mikakati ya pesa mezani,, hakuna utani kwenye mambo ya pesa
Hahahaha,i can't imagine kumuona miss chaga katika kundi la single mothers, nafikiri JF itasimama kwa muda.hapana kwa kweli
amina mkuu .. ila tu angekuwa hafuati maelekezo ningemuachaHongera kwa hilo maana nilishaanza kumuonea huruma mwanaume mwenzangu kutokana na itikadi zako.
Ila mkuu mtangulize Mungu mbele zaidi kuliko pesa maana yy ndio kila kitu.
nitaanza kampeni ya single mother kuwageuza chuma ulete .. na ile sheria ya itaanza kufanya kazi kihalaliHahahaha,i can't imagine kumuona miss chaga katika kundi la single mothers, nafikiri JF itasimama kwa muda.
Hahahaha,hiyo itakuwa ni hatari.nitaanza kampeni ya single mother kuwageuza chuma ulete .. na ile sheria ya itaanza kufanya kazi kihalali
niombeeni mema tu sababu wakaka mliozalisha bila kuisha na wenzi wenu mtaimba haleluyaHahahaha,hiyo itakuwa ni hatari.
Naomba mungu hilo lisifanikiwe sbababu najua idadi kubwa sana ya vidume humu JF wanaowaponda single mothers ndiyo wahusika wakuu.niombeeni mema tu sababu wakaka mliozalisha bila kuisha na wenzi wenu mtaimba haleluya
Ukute huyo baba wa mtoto ni bodaboda alafu kutwa yupo na karatasi za muhindi anabet mkeka wa timu 17 kwa sh. 500 itoke milioni 20 na kipensi chake..sijui nani ahapo atakuwa chuma ulete mama mtoto au baba mtoto!nitaanza kampeni ya single mother kuwageuza chuma ulete .. na ile sheria ya itaanza kufanya kazi kihalali
hahaha acha hizoBora kununua tu haina longo longo tatizo tu ni kondom utamu nusu ila unasogeza siku vizuri.
mama mtoto hivianay way naweza onekana nadharau .. wanasemaga eti mapenzi upofuUkute huyo baba wa mtoto ni bodaboda alafu kutwa yupo na karatasi za muhindi anabet mkeka wa timu 17 kwa sh. 500 itoke milioni 20 na kipensi chake..sijui nani ahapo atakuwa chuma ulete mama mtoto au baba mtoto!
Mademu hawajuagi nini wanataka, kile unachohisi ukimpa kitamfanya akupende daima ipo siku utashangaa na dunia atapokugeuka ukawa fwala na mbaya zaidi kukusaliti juu.
Wanawake ni viumbe wa hovyo sana kuwahi kutokea ulimwenguni. Mazee tusipoteze muda kuwekeza kwa mapenzi na hawa wadudu. Hawaridhikagi hataaa umpe dunia.