miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
- Thread starter
- #141
nilipita hapo jmosi kuku wa kienyeji mzima chupa mbili za wineHahah najua lazima kinablink, pesa ndefu kiasi gani mkuu? siyo mbaya kuteketeza mara mojamoja
nilipita hapo jmosi kuku wa kienyeji mzima chupa mbili za wineHahah najua lazima kinablink, pesa ndefu kiasi gani mkuu? siyo mbaya kuteketeza mara mojamoja
Kuku wa kienyeji saafi hiyo, wine chupa mbili asee nitasimamia saana kucha, lazima tukosane mkuunilipita hapo jmosi kuku wa kienyeji mzima chupa mbili za wine
eti wadudu, nimecheka sana. Hivi mama na ndugu zako wa kike ni wadudu eeehMademu hawajuagi nini wanataka, kile unachohisi ukimpa kitamfanya akupende daima ipo siku utashangaa na dunia atapokugeuka ukawa fwala na mbaya zaidi kukusaliti juu.
Wanawake ni viumbe wa hovyo sana kuwahi kutokea ulimwenguni. Mazee tusipoteze muda kuwekeza kwa mapenzi na hawa wadudu. Hawaridhikagi hataaa umpe dunia.
Ulivoandika hapa utasema papuchi yako ikitumiwa inaota nyingine, ukute mwengine maziwa yameshakuwa ndala sasa,na mwengine kaingiliwa hadi kinyume na maumbile, kuna kitu kinaitwa value for money yaani uishi na men miaka 3 aishiwe pesa uende kwa mwengine mwenye pesa akununue kwa pesa ile ile, nonsense.......wakati mashine nyingine kila mwaka zinaanza first year.Habari zenu wana jf
….kuna swali huwa wengi wetu tunapenda kujiuliza au kuwauliza wapenzi wetu au hata marafiki hivi wanawake wanataka nini ? au hivi wanaume wanataka nini?
Hili swali huwa halina majibu ambayo ni ya moja kwa moja ila unaweza kuweka akilini mambo yafuatayo kuchoka, kukinai mazoea na pia kila jambo lina kupanda na kushuka..
Binadamu tuna kawaida ya kupenda kitu kiwe kinaenda katika mstari mzuri na kusahau kila kitu duniani kina pande mbili uzuri na ubaya. Matokeo ya ubaya hapo ndiyo wengi hatupo tayari..
Kwa upande wetu sisi wanawake tupo tunaopenda PESA, MAPENZI YA KWELI, MUONEKANO MZURI WA MWANAUME na wengine vyote .
Ni rahisi sana mwanaume kupata mwanamke amtakaye na asiye kuwa na mapenzi ya kweli akiwa na pesa na anayejua kutumia pesa ukiona unataka wanawake wanakukimbia unatatizo lingine. Viashiria vya pesa kwetu sisi wa dada anaenda kazini, gari,maeneo unayopenda kukaa, nyumba uanyoishi kama akibahatika kuona na hata mwonekano wako ….
Sasa ukinipata kwa njia hizi na mi nitakupenda kwa namna hiyo hiyo ukiishiwa baba niliyoyafuata hayapo kwa nini nisiojiondokee zangu nakukuacha sababu wakati we unaishiwa kuna mwingine anazipata na bahati mbaya labda ananifukuzia …
Wanaume wengi mna tabia mbaya ya kuanza na mabinti wa kawaida tu wakati hamna pesa mkishazipata mnaanza kufukuzana na siye wachunaji na kumuacha Yule aliyekuvumilia unamapeleka kagest cha 3000 na bado yupo na wewe .. unakuja kukimbizana na kina sampuli ya miss thubutu unitoe kwenye hotel ya dola kadhaa unipeleke ya ya 35,000 nasubiri nini kwako labda?
Pendeni wanawake waliowavumilia mkiwa hamnacho wajali waheshimuni labda kama hayupo hapo sawa ila analia wewe huku wewe unajilia bata subiri ufilisike tutoke nduki….. wekeni akilini baadhi ya wanawake huamini mwanaume wenye pesa wengi ni maplayer japo wapo ambao siyo maplayer kabisa huwa atuweki roho na mioyo yetu yote kwenu …kwa hiyo ukipata demu kwenye hali hiyo possibility kubwa ya kuachwa uatakaposhuka ni kubwa japo wapo mademu wanaowapenda kweli..
Mapenzi ya kweli mimi sina maana sana ya mapenzi ya kweli huwa sijui ipoje ila nitaelezea namna navyoona mimi mwanume kunijali na kunipa pesa … sasa jamani tuwe wa kweli tu siku zinavyozidi kwenda binadamu huwa tunachoka kukinai na hata kumzoea mwenzio ikishafika hatua hii lazima kuna vitu hupunguza pole pole sasa hapo mtu anaanza ooh au kapata mwingine kumbe wala..
Mnajua mapenzi mapya siku zote ni matamu sababu ya kubembelezwa kujaliwa najua mnajua yanavyonoga .. katika kipindi hiki huwa hatujiandai kisaikolojia kuwa ipo siku mambo yatabadilika wala huwa tunataka vile vile na tulivyo wabinafsi tunaanza kunyoosheana vidole badala ya kila mmoja wetu kujichunguza kaacha gape wapi ili mrekebishe ..
Mnalaumiana mwisho na kutegeana hata kutumiana salamu kwa kuendekeza mahisia yetu ooh kwa nini mi kila siku nianze .. mbona wakati uanaitongoza ulikuwa uanatuma salamu mia mia … any way tutumie nafasi zetu vizuri bwana na mjue hatuwezi kuwa sawa ukilegeza jua inakula kwako..
Nina roommate wangu hosteli moja hapa mjini ni mzanzibar Yule mwanaume wakati anamfukuzia huyu demu alikuwa anapanda boti kutoka Zanzibar na urojo sijui wa kwa babu nani mpaka external pale anamletea demu urojo na hapo analala na mzigo hapati… baada ya miezi kufukuzia demu akaiingia kingi akaliwa wacha jamaa akate hakuna cha urojo wala ice cream..
Mbona alipigwa chini kwa nini siku hizi uniletei urojo na ice cream hapo watu wa nje watalaumu mbona kamuacha mademu hawajui wanataka nini? kumbe jamaa haleti tena urojo na ice cream.. tufanye yale tunayoweza kuendeleza,,..
Muonekano mzuri mwanaume kama huna pesaa mmhh sijui inakuwaje Mario hawa ni wengi… hahahaha hata jogoo kabla ya kugonga huwa anawaitia vimtetea vivyakula vyakula wakati wanadonoa yeye ndiyo anakamata mmoja anapiga .. sasa wewe kama huna vitu vya kuita mademu duh utakuwa unaachika kila uchao na mwonekano wako huo,,…
Kwa maelezo hayo hapo juu tunatakiwa kukubaliana na mabadiliko binadamu haturidhiki na huwezi kuturidhisha ,, binadamu tuna hulka ya kutafuta kile ambacho hatuna na si kile ulichonacho.. ila jambo jema kujifunza kurekebisha kile ulichonacho tayari sababu vile unavyovitafuta probably havipo.
“Absence makes the heart grow fonder”
haina nouma we nitumie hiyo pesa ya mafuta kwanzaKuku wa kienyeji saafi hiyo, wine chupa mbili asee nitasimamia saana kucha, lazima tukosane mkuu
ha haha mkuu eti inaota nyingine kikweli ni kwamba papu mpya ni mpya tu hata kama imetumika na wanaume 200 kama hujaitumia lazima nikushike maskio.. nyie akili zenu zinaongozwa na kichwa cha chini ha hahahaha.... nimeongeza siku kwa kweliUlivoandika hapa utasema papuchi yako ikitumiwa inaota nyingine, hukute maziwa yameshakuwa ndala, kuna kitu kinaitwa value for money yaani uishi men miaka 3 aishiwe pesa uende kwa mwengine mwenye pesa akununue kwa pesa ile ile, nonsense
Hiyo umepata na hiyo gari yako utatumia hata week hivihaina nouma we nitumie hiyo pesa ya mafuta kwanza
Hiyo umepata na hiyo gari yako utatumia hata week hivi
Yah mkuu ujue wanawake ni viumbe wa ajabu sana yaani anaporuhusu njia ya haja kubwa yake itanuliwe aangalii madhara yake, ye anaangalia pesa tu, sasa hajui mwenzake mwanaume akipata pesa tena ataendelea na ufirauni wake, wakati ye alivyoharibiwa ndio anakufa hivyo hivyo.ha haha mkuu eti inaota nyingine kikweli ni kwamba papu mpya ni mpya tu hata kama imetumika na wanaume 200 kama hujaitumia lazima nikushike maskio.. nyie akili zenu zinaongozwa na kichwa cha chini ha hahahaha.... nimeongeza siku kwa kweli
Hongera saana umehamia kwenye 4*4 mkuu hahahaengine kubwa sa hivi ipo wewe
ha hahaha asante mkuuHongera saana umehamia kwenye 4*4 mkuu hahaha
ha hahaha watoto wazuri mie mtoto ni mtoto tu anipe wenye akilimimi kwa kweli muonekano mzr napenda hapo, uzuri kuzitafuta tutatafuta wote. mie hii ya mwanaume pesa sura tutavumia akhuuu asije niharibia watoto bure nikakosa wakwe.
looooh awe m cute na akili awe nayo.ha hahaha watoto wazuri mie mtoto ni mtoto tu anipe wenye akili
mjanja mwanaume ila mkuu usijaliYah mkuu ujue wanawake ni viumbe wa ajabu sana yaani anaporuhusu njia ya haja kubwa yake itanuliwe aangalii madhara yake, ye anaangalia pesa tu, sasa hajui mwenzake mwanaume akipata pesa tena ataendelea na ufirauni wake, wakati ye alivyoharibiwa ndio anakufa hivyo hivyo.
Hapo nani mjanja?
Sio Ligi mkuu ila turisuhusu kizazi cha wanawake wanaojali sana pesa wakati wana elimu, wana mikono ma wana miguu, kuna binti mmoja hapa mtaani graduates alimaliza sasa akapata men Nigger flani hivi full offer, kuna siku jamaa akaja na wenzake wakamfanyia "threesome" kwa malipo ya dolla 2000, huwezi amani jamaa walimchana m. k. u. n. d. u yule dada hadi leo yupo tu nyumbani anauguzwa na mama yake, full time pampsasimjanja mwanaume ila mkuu usijali
mmh jamani mpe pole .. si vizuri kutaka pesa hujaifanyia kazi ... nimekuelewa mkuuSio Ligi mkuu ila turisuhusu kizazi cha wanawake wanaojali sana pesa wakati wana elimu, wana mikono ma wana miguu, kuna binti mmoja hapa mtaani graduates alimaliza sasa akapata men Nigger flani hivi full offer, kuna siku jamaa akaja na wenzake wakamfanyia "threesome" kwa malipo ya dolla 2000, huwezi amani jamaa walimchana m. k. u. n. d. u yule dada hadi leo yupo tu nyumbani anauguzwa na mama yake, full time pampsasi
Hata mi nimekuelewa mkuu.......... Ujue nashangaaga sana mkuu unakuta mwanamke anajisifia........ Mr fulani kaja na LEXUS, amenitoa out tumekunywa, tumeenda lodge ya 100K, nimemchuna kweli........... anarudishwa nyumbani matundu yote ya mwili kasoro pua m. b. o. o imeingizwa anapewa 50, 000/=............ Sasa hapo nani kachunwa?mmh jamani mpe pole .. si vizuri kutaka pesa hujaifanyia kazi ... nimekuelewa mkuu
hahaha kachunwa demu sema hapati direct impact kama wewe unavyotoa pesa yakoHata mi nimekuelewa mkuu.......... Ujue nashangaaga sana mkuu unakuta mwanamke anajisifia........ Mr fulani kaja na LEXUS, amenitoa out tumekunywa, tumeenda lodge ya 100K, nimemchuna kweli........... anarudishwa nyumbani matundu yote ya mwili kasoro pua m. b. o. o imeingizwa anapewa 50, 000/=............ Sasa hapo nani kachunwa?
Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app