Na ogopa sana indirect impact anayopata huyo mwanamke, ....... ingekuwa wanachuna kweli kama munavoongopeana wakina wema sepetu, sijui wolper wangekuwa wanatembelea ma VX na kumiliki sheli hapa mjini lakini huwezi amini hata ma bank teller graduates wa mwaka juzi wanawazidi kipato......... Washauri wenzako wafanye kazi,tena kwa awamu hii watajifunza practically kwa lazima.hahaha kachunwa demu sema hapati direct impact kama wewe unavyotoa pesa yako
Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app