Tunataka kile usichokuwa nacho

Tunataka kile usichokuwa nacho

Maneno safi sana... nikiachika safari hii ntakutafuta kwa darasa la jioni!!!
 
Wanawake hawajui wanachotaka bali wanajua walichokitaka. Wanaume wanajua wanachotaka ila hukiacha na kutafuta wasichokitaka.
 
Mademu hawajuagi nini wanataka, kile unachohisi ukimpa kitamfanya akupende daima ipo siku utashangaa na dunia atapokugeuka ukawa fwala na mbaya zaidi kukusaliti juu.
Wanawake ni viumbe wa hovyo sana kuwahi kutokea ulimwenguni. Mazee tusipoteze muda kuwekeza kwa mapenzi na hawa wadudu. Hawaridhikagi hataaa umpe dunia.
ha hahaha mkuu jua huwezi kuturidhisha we play your party basi mengine tuachie wenyewe,.. kusalitiwa ni changamoto za maisha tu
 
Kuna wanawake wanapenda kuji position as if wao ni Lulu.

Yaani ni kitu cha thamani sana cha kushindaniwa, utadhani wamekuwa kombe la dunia au Olympic golden medal.
Ni wanawake hao hao utawasikia wanaweka vigezo sijui ukitaka kuwa na mimi lazima uwe na vitu fulani au fanya hivi na vile la sivyo hunipati,......BULLSHIT!!!!.......kwani umekuwa oxygen kwamba ukikosemana maisha hayaendi?
Cha ajabu wanawake wa hivyo si wanawake halisi bali ni vivuli vyenye jinsia ya kike, kwenye maisha vichwa vyao havina kazi nyingine zaidi ya kutundikia rasta.........ni wabovu kupita kiasi kwenye karibu kila kitu.
Wapo wanawake wanaoji position kama kawaida lakini wapo smart sana, yaani hakuna idara utampata na cha kumkosoa............kwa bahati mbaya wanawake smart wapo wachache.
 
nakubaliana na wewe .. lakini ndiyo utakuta wanaume mnakimbizana na hao ambao hawapo smart .. ha haha nacheka sababu kuna jamaa mmoja anademu wake mkali anajielewa kiukweli ni mwanamke wa kuheshimu lakini ukionahao mademu anaangaika nao ni huruma wanamchuna tu akiishiwa anarudi kwa demu wake kama fala wanaume ninyi si vizuri
 
Like attracts like!
 
Kwani mkuu @misschagga mumeo ulimpataje?
Akifikisika je utamkimbia?
 
Unahitaji maombi mpendwa, baada ya maisha ya usista du, kitakachofuata utakutana Na mjanja wa town atakupiga mimba and then unakuwa single mother...
 
Back
Top Bottom