miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
- Thread starter
- #41
ha haha kwani we hupendi pesa?Hapa umewakilisha wachaga
ha haha kwani we hupendi pesa?Hapa umewakilisha wachaga
Ukikosa pesa,sura utaridhika nayo.ha hahaha ngoja nikukimbie sababu nisije nasa pabovu

mume wangu ni story ndefu ...Kwani mkuu @misschagga mumeo ulimpataje?
Akifilisika je utamkimbia?
Ndio mi ndo like kabila linalo taka cheo hata kama mshara mdogoha haha kwani we hupendi pesa?
sura hata mbuzi anayoUkikosa pesa,sura utaridhika nayo.![]()
Atakuwa amefanya uzembe kiwango cha lami.Unahitaji maombi mpendwa, baada ya maisha ya usista du, kitakachofuata utakutana Na mjanja wa town atakupiga mimba and then unakuwa single mother...
kusikia hivyo moyo unanienda mbio....................................................na ndivyo tunavyoishi
dada usiniombee mabaya wewe.... halafu jua atateseka mtoto ...........mwenzio maisha tu haya tumechagua mabaya ila ndiyo hivyo tenaUnahitaji maombi mpendwa, baada ya maisha ya usista du, kitakachofuata utakutana Na mjanja wa town atakupiga mimba and then unakuwa single mother...
bora ukubaliane na ukweli kuliko kukataa ukweli na kuishi katika uongokusikia hivyo moyo unanienda mbio....................................................
Aiseesura hata mbuzi anayo

ha hahah eti cheo ?Ndio mi ndo like kabila linalo taka cheo hata kama mshara mdogo
unaweza kuotewa muda wowoteMapenzi ni kama kamali au mchezo wa ku- bet.
Tafadhali mpenzi, hiyo ni dawa yangu peke yangu.dawa yenu ninayo
ukweli mwingine mchungu................ndo mana siku hizi kuoana ni nadra ila kuzalishana ndo kwingi.......................................bora ukubaliane na ukweli kuliko kukataa ukweli na kuishi katika uongo
halafu huko kuzalishana tunawageuza chuma uleteukweli mwingine mchungu................ndo mana siku hizi kuoana ni nadra ila kuzalishana ndo kwingi.......................................
siwezi kuwa mzembe hivyoAtakuwa amefanya uzembe kiwango cha lami.
kabisaNi kweli kila mtu hutamani kile asichokuwa nacho na akishakuwa nacho atatamani kile kisichokuwepo.
Cha msingi ni kuridhika na kile ulichonacho as you cant have it all. Penda na thamini cha kwako.
Ndo ukweli huo dadangu we ulizia popote eti akina ndanyelakakomu wanapenda nnha hahah eti cheo ?