Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli

Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli

Marehemu magufuli alitumia propaganda, mikwara kutumia Sheria mbaya ya uhujumu uchumi kuwakomoa watu apate kuwapora mali zao pesa zao kwa njia haramu za kishetani
 
Pamoja sana. Siyo rahisi kivile kufuta mema mengi JPM aliyolifanyia taifa hili.
Mabaya ni mengi zaidi kuliko mazuri na hata hayo mazuri ambayo wewe ni mnufaika wake yana ufisadi ndani yake
 
Mtoa mada ni mtoto wa Jiwe aliyepewa kazi kishkaji huko morogoro.....anaona baba yake anaendea haki baada ya madudu yake kuchimbuliwa
 
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu, uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.

Nawasilisha
Kwanini mnakuwa wakali mnaposikia mapungudu ya baadhi ya miradi ya Magufuli?

Kama kila kitu lilikuwa sawa,kwa nini Magufuli alitaka kufanya kazi gizani? Kwa nini aliminya ushuru wa vyombo vya habari?

Kwa kuwa Magufuli alizuia wananchi kuisema serikali wakati wa utawala wake,waacheni sasa waseme upande mwingine wa serikali ya Magufuli ambao ulikuwa hausemwi!

Ukweli huwa haufichwi! Hata ukitumia mbinu za kiwango chochote, kuna siku na wakati ukweli utadhihirika!
 
Afu Mimi si msukuma na nawaheshimu Kama waTZ wengine,siku zote mtu asiye na hoja huangukia kwenye hoja mfu na matusi yasiyo ya direct
Hakuna mtu rahisi kumfahami kama msukuma....Sasa unajifivha wapi wakat unaonekana kabisa ww msukuma?
 
Tutatajana tu naanza na Mbowe na LEMA walihusika kula rudhuku ya Chadema mpaka kujinunulia magari kwa pesa za chama kwa mujibu wa Assad
Hahahah msukuma ww una akili kama za kuku...wizi wa Jiwe huuoni unakomaa na Mbowe .....Sukjma gang kwisha kazi
 
Marehemu magufuli alitumia propaganda, mikwara kutumia Sheria mbaya ya uhujumu uchumi kuwakomoa watu apate kuwapora mali zao pesa zao kwa njia haramu za kishetani
Mimi niko wilaya ya Nkasi. Kijijini kwetu tuna kituo cha afya ambacho tangu mwaka 1980, hakikuwa na dakitari wala chumba cha kuhifadhia maiti hadi mwaka 2019. Sasa tunavyo. Kwa hiyo sina budi kusema nimenufaika na awamu ya 5.
 
Kodi za watanzania ndo zimejenga hicho kituo cha afya na sio mwendazake.
 
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu, uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.

Nawasilisha

Mkuu haingii akilini Shirika la Ndege lililokufa enzi na enzi lifufuliwe 2016 to 2018 then ianze kuoparete mwishoni mwa 2018. Halafu hapo hapo ilete hasara ya miaka mitano mfululizo. Wakati shirika la ndege imeanza kuoparate mwishoni mwa 2018 to 2020. Leo hii CAG aaminishe umma kuwa shirika imeendeshwa kwa hasara ndani ya miaka 5 mfululizo.

Wenye akili wataelewa, bali wasiyo na Akili watashangilia.
 
Mnasimamaje na Mtu aliye Lala? Rareni naye mbere kwa mbere! (Samahani sijasoma content ya huu uzi, nimesoma kichwa cha somo tu!)😂
 
Kwamba stendi Haina manufaa😄😄
Bomoeni turudi ubungo.

Kwamba mradi wa bwawa la umeme hauna manufaa,uacheni na tufugie samaki.

Kwamba Reli ya umeme haikupaswa kuanza basi sitisheni na muifukie.

Kwamba ndege Zina hasara,uzeni tu msiongee Sana.
Kwamba daraja la ubungo si kitu,livunjeni tupite chini.

Kwamba umeme mpaka vijijini Ni geresha na nguzo za umeme Ni ufisadi,tuone nguzo ondoeni umeme mpaka vijijini.

Kwamba meli mpya Ni ufisadi basi vunjeni tufanye screpa vyuma vyake.

Kwamba daraja la salender si kitu,sitisheni na vunjeni haraka Hilo daraja myeyushe vyuma tutengeneze masufuria ya ubwabwa.

Kwamba ongezeko la dhahanati hakuna kitu,pigeni minada hizo zahanati zigeuzwe migahawa ya chakula.

Kwamba madini yanatoroshwa mererani,vunjeni ukuta na muwapangie majukumu mengine JKT.

Kwamba Bandari ya bagamoyo muhimu,basi ingieni mikataba wa miaka99 na msiangalie sharti hata chembe.

Kwamba elimu bure SI kitu,rudisheni ada tu watu walipe.

Kwamba wafanyabiashar na wawekezaji wasiotaka kulipa Kodi warudi,ondoeni kabisa Kodi waje wajitanue.

Kwamba mwendokasi na Barabara zinazojengwa Ni ufisadi,basi zisitishwe Mara moja.

Kwamba COVID-19 eti nn vile???
Na Kila tutachoona JPM kakifanya tukigeuze tu Kwan nn banaa,SI kaendaaaaa!

Yetu macho siye,JPM bado sijaona Kama wewe,CHUMA halisi Cha mwafrika.
Baada ya SOKOINE Sasa historia imemuandika JPM,wazalendo halisi walioondoka ingali bado nchi inawahitaji.
Kama ndege hazina umehimu waziuze kama chuma chakavu halafu tutapanda KQ, South African Airways, Rwandair na Uganda Airlines! Kweli kufa uzomewe
 
Mimi nina uhakika bora hata hao wanyonge.....ukute wewe unachomiliki ni hicho ki tecno tena ulipewa na demu wako. Vinginevyo wewe ni masikini wa kutupa.
Wewe mpumbavu na Takataka la wasimbe wa CCM sikia, wanyonge ni maskini wa kutupwa wasio na uhakika na hata na mlo wa siku moja,hao ndo role model wa CCM mbwa wewe,na CCM inapenda sana umaskini kenge wewe,ndo maana upo hivyo ulivyo kwa sababu ya CCM jinga wewe
 
Mnasimamaje na Mtu aliye Lala? Rareni naye mbere kwa mbere! (Samahani sijasoma content ya huu uzi, nimesoma kichwa cha somo tu!)[emoji23]
Mataga bana,yaani yamerundikana humu purposely kumtetea Marehemu, Kama wanampenda wamfukue awaongoze mbwa hawa
 
Mkuu haingii akilini Shirika la Ndege lililokufa enzi na enzi lifufuliwe 2016 to 2018 then ianze kuoparete mwishoni mwa 2018. Halafu hapo hapo ilete hasara ya miaka mitano mfululizo. Wakati shirika la ndege imeanza kuoparate mwishoni mwa 2018 to 2020. Leo hii CAG aaminishe umma kuwa shirika imeendeshwa kwa hasara ndani ya miaka 5 mfululizo.

Wenye akili wataelewa, bali wasiyo na Akili watashangilia.
Kwa hiyo CAG katumwa na CHADEMA?
*** sake....
 
Mimi niko wilaya ya Nkasi. Kijijini kwetu tuna kituo cha afya ambacho tangu mwaka 1980, hakikuwa na dakitari wala chumba cha kuhifadhia maiti hadi mwaka 2019. Sasa tunavyo. Kwa hiyo sina budi kusema nimenufaika na awamu ya 5.
Acha uongo wewe,kwa hiyo upo hapo unasubiri kufa ili maiti yako ikae humo Mochware uzidi kufaidika?
 
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu, uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.

Nawasilisha
Da ndg umeweka vyema sana, aisee sikuwahi kujua unafiki wa binadamu kama uko kwa grade hii, wafanye haya yote maana yeye alipeleka nchi pabaya!!!

Soon and very soon, we will see the difference!!! He will be really missed!!!!
 
Back
Top Bottom