Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli

Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli

"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu, uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.

Nawasilisha
Alipigana bila akili,
 
Kwamba stendi Haina manufaa😄😄
Bomoeni turudi ubungo.

Kwamba mradi wa bwawa la umeme hauna manufaa,uacheni na tufugie samaki.

Kwamba Reli ya umeme haikupaswa kuanza basi sitisheni na muifukie.

Kwamba ndege Zina hasara,uzeni tu msiongee Sana.
Kwamba daraja la ubungo si kitu,livunjeni tupite chini.

Kwamba umeme mpaka vijijini Ni geresha na nguzo za umeme Ni ufisadi,tuone nguzo ondoeni umeme mpaka vijijini.

Kwamba meli mpya Ni ufisadi basi vunjeni tufanye screpa vyuma vyake.

Kwamba daraja la salender si kitu,sitisheni na vunjeni haraka Hilo daraja myeyushe vyuma tutengeneze masufuria ya ubwabwa.

Kwamba ongezeko la dhahanati hakuna kitu,pigeni minada hizo zahanati zigeuzwe migahawa ya chakula.

Kwamba madini yanatoroshwa mererani,vunjeni ukuta na muwapangie majukumu mengine JKT.

Kwamba Bandari ya bagamoyo muhimu,basi ingieni mikataba wa miaka99 na msiangalie sharti hata chembe.

Kwamba elimu bure SI kitu,rudisheni ada tu watu walipe.

Kwamba wafanyabiashar na wawekezaji wasiotaka kulipa Kodi warudi,ondoeni kabisa Kodi waje wajitanue.

Kwamba mwendokasi na Barabara zinazojengwa Ni ufisadi,basi zisitishwe Mara moja.

Kwamba COVID-19 eti nn vile???
Na Kila tutachoona JPM kakifanya tukigeuze tu Kwan nn banaa,SI kaendaaaaa!

Yetu macho siye,JPM bado sijaona Kama wewe,CHUMA halisi Cha mwafrika.
Baada ya SOKOINE Sasa historia imemuandika JPM,wazalendo halisi walioondoka ingali bado nchi inawahitaji.

yanayoendelea yananifanya niumie zaidi na kifo chake!
 
Mimi nitasimama na JPM siku zote, katika hali yoyote ile.
Kweli hata Mawaziri mliosimamia hiyo miradi wakati wa JPM, leo na mnashindwa kumtetea, kwa sababu tu hayupo Duniani?
Leo mnathubutu kukashfu na kutaka kuifuta miradi yote ya JPM, kweli?
Kama ninyi Mawaziri mlioteuliwa na JPM na mkasimamia utekelezaji wa miradi hiyo kabisa kumtetea na kuitetea hiyo miradi, Mungu atainuia Mawe ili kumtetea JPM.
Baada ya hapo, subirini LAANA kuu itakayowaka juu yenu. Hapo ndipo mtakajua kuwa, Mungu huwa hadhihakiwi.
 
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu, uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.

Nawasilisha
Jiue, mfuate , umkumbatie mbusiane
 
malizia SISI MATAGA.
 
Kwa kweli nimeusoma uzi kwa hisia kali sana jpm atabaki kuwa jpm mzalendo wa kweli!
 
Watu usiowadhania wanajitoa ufahamu mchana kweupe mbele ya macho yetu wote! Kweli! si kwa unafiki huu!
Watu wamemwelewa vibaya mama! Wamemwelewa kuwa mama yuko kinyume na miradi iliyokuwa inasisitizwacna Magufuli! Kwa hiyo ili kumfurahisha lazima kila mmoja aponde miradi hiyo!! Lakini mama alijibu swali la msingi hadharani: Mini kitakachofuata? Alisema kitakachofuata ni kukamilisha miradi yote aliyoianzisha Dr Magufuli! Mama umewasikia hao wasaidizi wako! Piga chini wrote! Njia nzuri ni kulivunja baraza lote la mawaziri na kuanza upya! Vinginevyo kama unavyowaona Leo wakijitenga na yote aliyokuwa anaamini Dr Magufuli na kuyasimamia pia uwe na uhakika siku moja watajitenga nawe! Washughulikie mapema!!
 
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu, uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.

Nawasilisha
Yaani kikundi hiki cha wachache ndiyo kinatufanya sisi kama vile hatuishi Tanzania.
 
Nyie watu, mwogopeni Mungu!! Unafiki haujawahi kumsaidia MTU! Hata machozi hayajakauka kwenye nyuso za watanzania walio wengi, Leo hii mnamvua nguo mliyekuwa mnamsifu kama shujaa Wa Afrika (achilia mbali Tanzania), halafu mnadhani Mungu hawaoni na Watanzania hawawaoni!! Mnatukatisha tamaa!! Huyu propesa " mwongo" alikuwa wapi kushauri kuwa umeme wa maji utatuchelewesha maendeleo!! Tutumie umeme Wa gesi!! Hiyo gesi nani asiyejua ni ya wenyewe! Hata hivyo ni nani aliyesema ukiwa na umeme Wa maji ni marufuku kutengeneza umeme Wa gesi! Mataifa ya nje yatatushangaa sana!! Iweni na staha basi hata kidogo!
Sisemi kuwa hakuwa na makosa kabisa, lakini yeye ni binadamu, ni nani asiye na makosa? Hivi propesa "mwongo" unaweza kuthubutu kukaa katika mizani moja na Dr Magufuli mbele ya watanzania?
 
Huwezi kusimama na marehemu sema unalala na marehemu, ukishamaliza kunywa sumu au jitundike Ufe huo Ndio uzalendo na huko Ndio kuwa nae.

Ukishafanya hivyo na yeye akishampiga majungu malaika mkuu Gabriel huko kwa God na Kutwaa uongozi kama alivyotamani atakupatia uteuzi
 
Nitajitolea kubomoa lile soko la Ndugai pale Idodomya.
 
MBONA MNATETEA JIZI

MAREHEMU MAGUFULI ALIKUA MWIZI
 
Back
Top Bottom