Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli

Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli

"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu, uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.

Nawasilisha
Achana na hilo jambazi Ndugu..
Afterall he is dead.
 
Marehemu magufuli alikuwa na mabaya yake mengi lakini wanufaika wa utawala wake hawataki kukubali ukweli wameamua kujitoa fahamu kumtetea pasipo kujali chochote
 
Watanzania walio wengi hasa viongozi ni bendera, hii ni tofauti na magufuri yeye akisimamia msimamo alikuwa abadiliki na ndio maana ya
Mie nakomaa na mabaya ambayo ni mengi wewe taja mazuri nikujibu kwa mabaya yake
Anza wewe taja baya nikujibu unatakiwa ufafanue ubaya wa ulichokitaja.
 
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu, uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.

Nawasilisha
Yeye mwenyewe Magufuri alikuta miradi mingi imejengwa na watangulizi wake, aliibomoa hiyo miradi?
 
Endelea kusimama ukichoka utakaa mwenyew
 
Kumbe wewe ndio Veronica France kule Facebook?

Hii habari umeitoa kwenye page yako kule alafu tunakujua wewe sio mwanamke bali ni crypian musiba

Kwanini unaonekana kuumia sana CAG kutoa ripoti jinsi mambo yalivyo?

Nashauri mamlaka zikuchunguze na uchukuliwe hatua haraka sana!
Huyo ni wale wasiojulikana sasa mungu kamuumbua wambie huko Facebook wote wamjue haraka apate adhabu yake mapema
 
Anaandikaga ujinga sana utadhani marehemu alizikwa tumboni kwake
 
Yeye mwenyewe Magufuri alikuta miradi mingi imejengwa na watangulizi wake, aliibomoa hiyo miradi?
Hata daraja za ubungo na Tazara zilianza kujengwa kipindi cha kikwete yeye kazikuta kamalizia na kujipa sifa kuwa yeye ndiyo kazijenga wakati mikataba yote ilitiwa sahihi na kikwete na pesa iliyotumika ni pesa za walipa kodi siyo Hisani za CCM wala pesa binafsi za marehemu magufuli
 
Uchafu tupa kuleee tuliye naye ni mama msafi hana makandokando
Kwa maana hiyo uchaguzi ukiitishwa leo, kesho au mwaka 2025, Lisu hatokuwa na chake maana atakosa hoja au sera za kumkabili huyu mama msafi au sio? Mama oyeee
 
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu, uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.

Nawasilisha
Wewe acha kuleta hasira hapa, Magufuli alikuwa ni jambazi sugu,mwizi na muuaji katili,Rais Samia katoka CHADEMA? Ni Rais wa CCM hiyo hiyo ya Magufuli,ndo maana Samia akiwa Makamu wa Rais alitaka kujiuzulu mara mbili kwa sababu ya Tabia za uonevu na wizi za Magufuli,mzee Mwinyi na Mkapa wakawa wanamsihi aache kujiuzulu kwa sababu CCM ingepasuka.
Leo kawa Rais, Report ya CAG imeumbua madudu yote,kumbe walinunua ndege za mwaka 1978,na zingine hadi sasa ni mbovu,ndo maana aliminya Uhuru wa Habari ili kuficha madudu yake,yakaanzishwa magazeti ya kipumbavu kumsifia Magufuli,magazeti yanayakosoa yote yakafungiwa.
Yaani miradi yote hiyo ni mbinu za kuiba Pesa akiwa amejificha kwenye kivuli cha Uzalendo, hatuna la kumkumbuka Magufuli labda nyie Buku 7 wa Lumumba,sasa Tafuteni kazi mfanye Buku 7 hamtapewa Tena
 
Hoja zipo nyingi sana, Doto yupo na wale wote walioshiriki ununuzi wa Ndege kwenye ufisadi mkubwa wapo, task force waliokuwa wakiwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara kienyeji kwa uonevu wapo hai, watendaji watekelezaji maovu ya magufuli wote wapo hai akiwemo Bashite na yule DC wa wilaya ya Hai na wenzao wapo
 
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu, uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.

Nawasilisha
Naona member mtiifu wa chato gang umepaniki sana. Usijali ndio kwanza tunaanza dawa itakuingia vizuri tu. Hapa tunatest mitambo.
 
Kwamba stendi Haina manufaa[emoji1][emoji1]
Bomoeni turudi ubungo.

Kwamba mradi wa bwawa la umeme hauna manufaa,uacheni na tufugie samaki.

Kwamba Reli ya umeme haikupaswa kuanza basi sitisheni na muifukie.

Kwamba ndege Zina hasara,uzeni tu msiongee Sana.
Kwamba daraja la ubungo si kitu,livunjeni tupite chini.

Kwamba umeme mpaka vijijini Ni geresha na nguzo za umeme Ni ufisadi,tuone nguzo ondoeni umeme mpaka vijijini.

Kwamba meli mpya Ni ufisadi basi vunjeni tufanye screpa vyuma vyake.

Kwamba daraja la salender si kitu,sitisheni na vunjeni haraka Hilo daraja myeyushe vyuma tutengeneze masufuria ya ubwabwa.

Kwamba ongezeko la dhahanati hakuna kitu,pigeni minada hizo zahanati zigeuzwe migahawa ya chakula.

Kwamba madini yanatoroshwa mererani,vunjeni ukuta na muwapangie majukumu mengine JKT.

Kwamba Bandari ya bagamoyo muhimu,basi ingieni mikataba wa miaka99 na msiangalie sharti hata chembe.

Kwamba elimu bure SI kitu,rudisheni ada tu watu walipe.

Kwamba wafanyabiashar na wawekezaji wasiotaka kulipa Kodi warudi,ondoeni kabisa Kodi waje wajitanue.

Kwamba mwendokasi na Barabara zinazojengwa Ni ufisadi,basi zisitishwe Mara moja.

Kwamba COVID-19 eti nn vile???
Na Kila tutachoona JPM kakifanya tukigeuze tu Kwan nn banaa,SI kaendaaaaa!

Yetu macho siye,JPM bado sijaona Kama wewe,CHUMA halisi Cha mwafrika.
Baada ya SOKOINE Sasa historia imemuandika JPM,wazalendo halisi walioondoka ingali bado nchi inawahitaji.
Eti Chuma halisi, MUNGU ni fundi sana,mfukueni kama ni Chuma aendelee,hao wafanyabiashara waliokimbilia nchi jirani huko hakuna Kodi? Dunia nzima Kodi ipo Tanzania Tu?*kwa hiyo waliamua kukimbia ili wakwepe Kodi?
Yaani wakiwa Kenya na Zambia hawakulipa Kodi huko?
Tumia hata akili za kitoto kufikiri
 
Wewe acha kuleta hasira hapa, Magufuli alikuwa ni jambazi sugu,mwizi na muuaji katili,Rais Samia katoka CHADEMA? Ni Rais wa CCM hiyo hiyo ya Magufuli,ndo maana Samia akiwa Makamu wa Rais alitaka kujiuzulu mara mbili kwa sababu ya Tabia za uonevu na wizi za Magufuli,mzee Mwinyi na Mkapa wakawa wanamsihi aache kujiuzulu kwa sababu CCM ingepasuka.
Leo kawa Rais, Report ya CAG imeumbua madudu yote,kumbe walinunua ndege za mwaka 1978,na zingine hadi sasa ni mbovu,ndo maana aliminya Uhuru wa Habari ili kuficha madudu yake,yakaanzishwa magazeti ya kipumbavu kumsifia Magufuli,magazeti yanayakosoa yote yakafungiwa.
Yaani miradi yote hiyo ni mbinu za kuiba Pesa akiwa amejificha kwenye kivuli cha Uzalendo, hatuna la kumkumbuka Magufuli labda nyie Buku 7 wa Lumumba,sasa Tafuteni kazi mfanye Buku 7 hamtapewa Tena
Ununuzi wa Ndege alichukua pesa cash 10% kuvuruga mikataba ya madini akichukua cash na akaendelea kuuza makinikia nje kwa Siri , kila sehemu alichukua pesa hakuwa mzalendo alikuwa mchwa fisadi Hatari kupata kutokea Duniani
 
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu, uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.

Nawasilisha
Pamoja sana. Siyo rahisi kivile kufuta mema mengi JPM aliyolifanyia taifa hili.
 
Back
Top Bottom