Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli

Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli

Licha ya mapungufu yote ya kibinadamu ambayo kila mtu anayo lakini magufuli alikuwa anao uwezo binafsi wa uelewa wa mambo,suala la misimamo mara nyingi ni hulka za kila mwanadamu yeyote hivyo kama ni mapungufu yapo katika uongozi wake bhasi yalisababishwa na watanzania waliopewa mamlaka ambao leo wanatuambia walikuwa wanaogopa kumwambia kisa watapoteza nafasi zao sasa ndio mtajua tuna viongozi wa namna gani!
 
Mbona hamna la kushauri Zaid ya mihemuko tu,Mimi nishatoa ushauri Hapo juu.Toa na wewe nn kifanyike
Cha kufanya kwanza ukubali kuwa marehemu magufuli alikuwa na mabaya yake mengi kuliko mazuri machache na wewe ni mnufaika wa uonevu unyanyasaji wake kwa watanzania mbalimbali
 
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu, uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.

Nawasilisha

Great Men Are Like Rubber Corks: The More You Submerge Them, The More They Emerge!

JAMES DUNYO WRITES...✍🏾

Dears, the senators thought killing Julius Caesar will put an end to him and everything he stood for. But it rather started a chain of events that consolidated his legacy. Among other things, the universal calendar we all use today was created by Julius Caesar, with July named in his honour. The Caesarian section was named after him and many kingdoms named their rulers after him; Tsar for Russia, Kaiser for Germany, etc.

Friends, the Athenian authorities too did the same thing to the wise man Socrates. They thought killing him would have silenced him forever. Today, no one studies Philosophy without having to meet the great man, Socrates. You see???

The Jewish authorities too thought killing Jesus would have silenced him and erased his memory forever. When it backfired, they knew instead of water, they had rather poured gasoline on fire. Today, in every city, town and village on earth, the mere mention of this name, Jesus, strikes terror in proud arrogant hearts, and sends hands clapping, knees bowing and tongues confessing!

Such great men as these are like plastic/rubber corks. The more people try submerging them, the more they emerge afloat on the water. The more they are suppressed, the more they impress. It is a waste of time to attempt to sink what is destined to float. Great men may be destroyed; but their legacies shine on like stars in the evening sky!
©J.DUNYO... 2021
 
Licha ya mapungufu yote ya kibinadamu ambayo kila mtu anayo lakini magufuli alikuwa anao uwezo binafsi wa uelewa wa mambo,suala la misimamo mara nyingi ni hulka za kila mwanadamu yeyote hivyo kama ni mapungufu yapo katika uongozi wake bhasi yalisababishwa na watanzania waliopewa mamlaka ambao leo wanatuambia walikuwa wanaogopa kumwambia kisa watapoteza nafasi zao sasa ndio mtajua tuna viongozi wa namna gani!
Alikuwa na mazuri yake kidogo kulinganisha na mabaya yake ambayo ni mengi sana
 
Waondoe kabisa,hata mi naona Tena isirudshwe hata Senti ili tu mrudhike.mshaurini mama Hilo pia
Wewe ni mnufaika wa uonevu unyanyasaji wake wote na wewe rudisha pesa za wafanyabiashara mlizokuwa mkizipora
 
Sukuma ndani Sukuma majizi yote ya Awamu ya Tano...
Wasukuma utaheshimu tu muda si mrefu wale ni matajiri wako nchi hii, usukumani kumenoga hata kama JPM katangulia mbele za haki. Mkoani kwako navyojua baada ya kahawa uliyoikata kata kwa hasira ya wadudu huna kingine.Subiri ufungishwe tera
 
Mimi si mnafiki Kama nyinyi mloongea miaka nenda rudi nchi Haina ndege,nchi Haina umeme wa uhakika,nchi Haina Reli ,viwanda haviendelei kwa ajili ya umeme,foleni zijengwe flyover.
Hapo Nani mnafiki,maana sisi tumepembania mliyoyatamani miaka nenda rudi.
Ndo Mana mnaitwaga wachumia tumbo nyinyi
Vyote vimejengwa michakato mikataba ilianzia kwa kikwete na pesa ni za walipa kodi zinatumika siyo pesa binafsi tokea mfukoni mwa marehemu magufuli, uchumia Tumbo unao wewe uliyetetea uonevu uovu mateso yenu
 
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu, uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.

Nawasilisha
fisadi tu yule ile mahakama ya mafisadi angeingizwa yeye
 
Kumbe wewe ndio Veronica France kule Facebook?

Hii habari umeitoa kwenye page yako kule alafu tunakujua wewe sio mwanamke bali ni crypian musiba

Kwanini unaonekana kuumia sana CAG kutoa ripoti jinsi mambo yalivyo?

Nashauri mamlaka zikuchunguze na uchukuliwe hatua haraka sana!
 
Wasukuma utaheshimu tu muda si mrefu wale ni matajiri wako nchi hii, usukumani kumenoga hata kama JPM katangulia mbele za haki. Mkoani kwako navyojua baada ya kahawa uliyoikata kata kwa hasira ya wadudu huna kingine.Subiri ufungishwe tera
Hii ina uhusiano gani na ufisadi wa marehemu magufuli? Kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? Kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji uovu kwa wapinzani na wafanyabiashara?
 
Alikuwa na mazuri yake kidogo kulinganisha na mabaya yake ambayo ni mengi sana
Sio kweli ! Kazi aliyoifanya magufuli katika nchi hii haiwezi kulinganishwa na ukosoaji unaofanyika haya maripoti yalikuwepo yataendelea kuwepo na ukitaka kuona hilo tuanze kuhesabu hapa nitajie baya nikutajie zuri tuone nani ataishiwa.
 
Zimepigwa zikaenda wapi, je ulifika chato alipokuwa anaishi mshua je unaweza kulinganisha hata tu na speaker?
Mtetezi wa wanyonge kumbe unyonge ilikuwa zuga zuga apate kuwaibia kiwepesi
 
Sio kweli ! Kazi aliyoifanya magufuli katika nchi hii haiwezi kulinganishwa na ukosoaji unaofanyika haya maripoti yalikuwepo yataendelea kuwepo na ukitaka kuona hilo tuanze kuhesabu hapa nitajie baya nikutajie zuri tuone nani ataishiwa.
Mazuri ni kidogo sana na hayo mazuri mengi yamejaa ufisadi kwa mjibu wa CAG
 
Katik
Vyote vimejengwa michakato mikataba ilianzia kwa kikwete na pesa ni za walipa kodi zinatumika siyo pesa binafsi tokea mfukoni mwa marehemu magufuli, uchumia Tumbo unao wewe uliyetetea uonevu uovu mateso yenu

Mazuri ni kidogo sana na hayo mazuri mengi yamejaa ufisadi kwa mjibu wa CAG
Nimekuambia tuanze batle taja baya nitaje zuri tuone nani ataishiwa.
 
CAG: CHADEMA ILITUMIA MILIONI 377 NJE YA BAJETI

- Ukaguzi umebaini Tsh. 100,000,000 zilitumika kwa shughuli ambazo hazikuwepo kwenye bajeti

- Chama kilinunua Magari 5 kwa 227,430,000 na kutumia 50,000,000 kununua nyumba ya Ofisi Kanda ya Serengeti

Soma News Alert: - Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mwaka wa Fedha 2019/2020
CAG akinusa CCM makao makuu wenyeviti wote na makatibu wakuu kuanzia kipindi cha mwinyi mkapa kikwete na magufuli watakwenda jela, pesa za CCM zinapigwa vibaya lakini hakuna CAG wa kuthubutu kuwakagua
 
Mumegeuka mbuni hamutaki kuambiwa ukweli ili kuboresha ufanisi wa hiyo miradi munayoisema?
Hawataki kuelewa lengo ni pamoja na maboresho ili viwe na tija, na kutakiwa vitu vifanyike kwa kuzingatia sheria za nchi, siyo kufuatana na mtukufu alivyopata maono.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom