Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli

Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli

"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu, uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.

Nawasilisha
Shukrani sana mkuu kwa kuzungumza ukweli, maana kuna watu wanadai hakuna kitu kilichofanyika wakati vingi vinaonekana kwa macho kabisa kama miundombinu tunaiona na maboresho yanaonekana sasa mi mtu akija kuniambia hakuna kilichofanyika namuona kama hayupo timamu.
Apumzike kwa Amani JPM
 
Sina muda wa kubishana na majizi
Bila shaka umeiona report ya CAG jana kuhusu chadema. Kuna mamilioni ya kodi za watanzania zimepigwa na mwenyekiti akishirikiana na genge lake, na baada ya hapo akachukua viela kidogo kununulia magari mabovu na banda 1 sijui la kufugia ng'ombe kule Arusha ili kuwapiga changa la macho mkaguzi mkuu wa serikali pamoja na wajumbee wa kamati kuu ambao hawakuwepo wakati pesa inatafunwa, wala kushirikishwa kununua hayo magari mabovu na lile banda la Arusha. Mwenyekiti kwa sasa anakula bata Dubai na familia yake, ww uko hapa ukichanika mdomo kumtetea mwenyekiti kwa bando lako ulilonunua kwa hela yako mwenyew. Kweli nimeamini "ni bora uwe mlemavu wa mwili kuliko ulemavu wa akili".
Sina muda wa kubishana na majizi
 
Bila shaka umeiona report ya CAG jana kuhusu chadema. Kuna mamilioni ya kodi za watanzania zimepigwa na mwenyekiti akishirikiana na genge lake, na baada ya hapo akachukua viela kidogo kununulia magari mabovu na banda 1 sijui la kufugia ng'ombe kule Arusha ili kuwapiga changa la macho mkaguzi mkuu wa serikali pamoja na wajumbee wa kamati kuu ambao hawakuwepo wakati pesa inatafunwa, wala hawakushirikishwa kununua hayo magari mabovu na lile banda la Arusha. Mwenyekiti kwa sasa anakula bata Dubai na familia yake, ww uko hapa ukichanika mdomo kumtetea mwenyekiti kwa bando lako ulilonunua kwa hela yako. Kweli nimeamini "ni bora uwe mlemavu wa mwili kuliko ulemavu wa akili".
Mamilioni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapa tunazungumzia mlivyo kwiiba matrillion mkatununulia mandege ambayo kimsingi hata kwenda cabada hayawezi maana mkiingia tu mmepigwa mnada.

Siyo maneno yangu bali ni kwa mujibu wa ripoti ya CAG
 
Shukrani sana mkuu kwa kuzungumza ukweli, maana kuna watu wanadai hakuna kitu kilichofanyika wakati vingi vinaonekana kwa macho kabisa kama miundombinu tunaiona na maboresho yanaonekana sasa mi mtu akija kuniambia hakuna kilichofanyika namuona kama hayupo timamu.
Apumzike kwa Amani JPM
Mbona huzungumzii mlivyo kuwa mafisadi wakubwa tangu tanzania ipate uhuru?
 
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu, uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.

Nawasilisha
Hata kama amefariki lazima tuseme ili waliopo wajifunze

1. Alikuwa mtu mwenye roho mbaya, mshenzi, muuaji na aliyependa kuona watu wenye maendeleo au waliotofautiana nae wakiteseka sana. Mfano wa haya ni kwa vile walivyowafanyia Manji, Erick Kabendera, Ben saanane, Rwabaje, Mama yake Erick Kabendera, Mdude Nyangali, Zacharia na watu wengine wengi

2. Alikuwa mtu Mbinafsi sana, aliyependa sifa zote zirudi kwake. Alipenda kusifiwa, kuonekana yeye ni bora kuliko wenzake. Hata kwenye hotuba zake alipenda kujionesha ni yeye zaidi na wala sio wenzake. Rejea hotuba alizokuwa akisema bila yeye miradi haitofanikiwa. Aliwapa vyeo bila aibu watu waliokuwa wakimsifu yeye binafsi. Mf. Katambi, Sabaya, kafulila, Mrema, Babu

3. Alikuwa mkabila na mbaguzi wa kikanda aliyetukuka. Kwenye awamu yake alijaza watu wa kanda ya ziwa hasa wasukuma na mapandikizi wenzake kutoka Rwanda na Burundi kwenye nafasi nyeti serikalini. Bashiru, Kakoko, Doto James na wengineo wengi ni mifano michache tu. Hawa watu walikuwa hawagusiki na waliweza kufanya lolote lile kwa jina lake na yeye hakusema lolote. Hawa watu waliweza hata kuwadharau waziwazi Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na wala hawakujali mfumo wa utendaji serikalini. Waliweza kupiga simu au kupita moja Kwa moja ikulu hadi kwa Magufuli bila kupita kwa waziri, waziri mkuu au hata Makamu wa Rais.

4. Kwa kujua kwake kuwa ni kweli aliharibu uchumi wa nchi kwa sera zake mbaya, aliwekeza sana kwenye propaganda za kujitangaza sana kupitia vyombo vya Habari ili kuwa brainwash watu wasiofikiri vizuri. Tv zote, magazeti, blogu na hata viongozi wa dini aliwatumia kumtangaza yeye muda wote na kumsifu yeye muda wote ili aonekane ni Bora kuliko wenzake. Ofisi za Taifa zilifanywa kutengeneza data za uongo ili aonekane anafanya vizuri kumbe nchi ilikuwa inaenda pabaya sana. Rejea taarifa aliyotoaga kuwa ATCL inapata faida ya bil 28.

5. Aliwadharau sana wenzake. Na alifanya kila jitihada wenzake waonekane watu wasiofaa ( hasa viongozi waliopita). Aliishi nao kiunafiki akiwatumia vijana wake Kama Msiba, Sabaya , Makonda na Aly Happi kuwatukana na kuwatisha ili aharibu taswira yao kwa jamii na ajitengeneze kuwa ni Bora kuliko wao.

6. Alianzisha mambo ili kuwakomoa watu waliokuwa tofauti nae. As Kofi niwemugizi, Aidan Eyakuze, Yusuph Manji ni wachache kwenye hii list, walianza kuhojiwa uraia, wakanyang’anywa passport na kupewa kesi mbalimbali ili kukomolewa kutokana na kutofautiana nae.

7. Kwa sera zake mbovu, aliharibu kwa kiasi kikubwa uchumi hivyo kupelekea kuwepo tatizo kubwa la ajira . Ili kujiokoa na Tatizo hili Kwa kuwapumbaza watanzania wajinga alianzisha utaratibu wa kujifanya kuwa karibu na Mama lishe na bodaboda huku akisema kuwa wanaruhusiwa kufanya Biashara popote pale. Alifanya hili Kwa sababu alijua kabisa kuwa ameharibu uchumi wa Tanzania na amesababisha watu wengi kukosa ajira. Kuepuka lawama akataka kuifanya nchi nzima kuwa nchi ya wachuuzi huku akiharibu mipango miji na kusababisha walipa kodi wapungue kwa kasi.

8. Kutokana na kuwa na sera mbovu za kiuchumi huku akiiba Mali za watanzania Kwa kigezo cha uzalendo, akiogopa kupinduliwa na jeshi na wasaidizi wake, aliamua kufuatilia maongezi ya wasaidizi wake wote akiwemo Makamu wa Raisi , Mawaziri na viongozi wa Ccm. Alikuwa hadi meseji zao anasoma na alivyo mshamba alikiri hadharani kuwa anafuatilia mawasiliano ya watu. Alianzisha pia utaratibu wa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kuwa nae popote pale anapokuwepo. Huu utaratibu ulikuja kuonekana katika awamu ya 5 tu maana Kwa awamu ya 1 hadi ya 4 haikuwai kutokea wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na spika na Jaji mkuu kuambatana na Rais popote pale anapokuwa.

9. Alikuwa muuaji
Niliwai bishia watu wengi kwenye hili ila nilikuja kuthibitisha alipokuja tamka hadharani kuwa huwezi kuwa msaliti alafu uka survive na baada ya hotuba yake iyo Tundu Lissu alikuja kushambuliwa kwa Risasi 38 huku 16 zikiingia mwilini wake.

10. Alijiona ni Bora kuliko mtu yeyote yule na alitaka neno lake ndo liwe mwisho. Alisema hadharani kuwa hashauriki na kila mtu aliyekuwa akimshauri alimchukulia kama adui yake. Siku za mwisho za uhai wake alitofautiana na kupingana Hadi na viongozi wa dini wa kanisa katoliki ambao waliamua kushauri nchi kuchukua hatua tofauti dhidi ya corona.

Mungu fundi sana! Alale anapostahili mwendazake.
 
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu, uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.

Nawasilisha
Simameni tu haina shida
 
UNASIMAMA NAYE WAPI?? 🤣🤣🤣 KUZIMU??? acheni kuendelea kuabudu "MAHOKA"

Mimi nasimama na SAMIA SULUHU HASSAN ambaye umeanza kuleta Furaha kwa watanzania waliokuwa wamefungwa "KONGWA" la Unyonge.

Poleni MATAGA.

MATHA =MAKE TANZANIA HAPPY AGAIN.😂😂😂🤣🤣🤣
 
Sasa jamani kama stendi ya Magufuli inaleta foleni hiyo si plan ya muda mrefu na Magu kaikuta jamani? Na nyie sasa mmezidi hata kama hatuna elimu wote lakini tunazo akili za kuzaliwa tafuteni mbinu ya kupunguza hiyo foleni!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.
Xhuwezi
Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu, uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.

Nawasilisha
Huwezi kusimama na aliyelala, labda ulale kama yeye
 
Uo

Uozzo wa magufuli ndio kwanza unachipuka mtaona machafu nyie subirini.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Ajabu Sana Mwaka Huu Raisi wa Ccm anapingwa na Ccm wenyewe [emoji3]

Roho inawauma mamaee meza imepinduka system ime change wanaokwenda kupewa ulaji wa keki ya Taifa Ni wengine Ni wakati wenu wakusurubiwa kwa msalaba wa Moto Sasa
 
Kwamba stendi Haina manufaa😄😄
Bomoeni turudi ubungo.

Kwamba mradi wa bwawa la umeme hauna manufaa,uacheni na tufugie samaki.

Kwamba Reli ya umeme haikupaswa kuanza basi sitisheni na muifukie.

Kwamba ndege Zina hasara,uzeni tu msiongee Sana.
Kwamba daraja la ubungo si kitu,livunjeni tupite chini.

Kwamba umeme mpaka vijijini Ni geresha na nguzo za umeme Ni ufisadi,tuone nguzo ondoeni umeme mpaka vijijini.

Kwamba meli mpya Ni ufisadi basi vunjeni tufanye screpa vyuma vyake.

Kwamba daraja la salender si kitu,sitisheni na vunjeni haraka Hilo daraja myeyushe vyuma tutengeneze masufuria ya ubwabwa.

Kwamba ongezeko la dhahanati hakuna kitu,pigeni minada hizo zahanati zigeuzwe migahawa ya chakula.

Kwamba madini yanatoroshwa mererani,vunjeni ukuta na muwapangie majukumu mengine JKT.

Kwamba Bandari ya bagamoyo muhimu,basi ingieni mikataba wa miaka99 na msiangalie sharti hata chembe.

Kwamba elimu bure SI kitu,rudisheni ada tu watu walipe.

Kwamba wafanyabiashar na wawekezaji wasiotaka kulipa Kodi warudi,ondoeni kabisa Kodi waje wajitanue.

Kwamba mwendokasi na Barabara zinazojengwa Ni ufisadi,basi zisitishwe Mara moja.

Kwamba COVID-19 eti nn vile???
Na Kila tutachoona JPM kakifanya tukigeuze tu Kwan nn banaa,SI kaendaaaaa!

Yetu macho siye,JPM bado sijaona Kama wewe,CHUMA halisi Cha mwafrika.
Baada ya SOKOINE Sasa historia imemuandika JPM,wazalendo halisi walioondoka ingali bado nchi inawahitaji.
Hiyo miradi ya awamu zilizopita,

dogo vipi una kiwewe Cha kuondokewa na mungu wenu?
 
Jengeni na kanisa kabisa mumuabudu.Sisi tuna mshukuru Mungu
 
JPM ameacha watu hawaamini kinachoendelea..

Mkuu kuwa mpole,,, kilichoandikwa kwenye report sio kipya vile wapinzani walikuwa wanayaongea haya kila mara wanapopata nafasi,,, ila kwakua sasa yamesemwa na CAG basi inaonekana yalikuwepo toka enzi hizo ila sasa ni kama yamekuwa wazi zaidi..

Mlimtoa Prof Assad,, mkamuweka kibaraka wenu mkijua ataficha heheheeh naona sasa amewageuka na kuwapa makavu..

MATAGa tulieni dawa iwaingie.
 
Ujinga na upigaji ukirudi wanyonge tutatinga kama nyuki kuwangoa wahuni wote tukisindikizwa na walinda katiba kama walivyotusindikiza kumuaga marehemu.hatuwezi kukubali mke wa tatu apelekeshwe na wahuni kuuza Nchi kwa kisingizio cha maendeleo.
Wakati wa EPA, meremeta, deep green, Escrow Hao walinda Katiba walikuwa wapi?
 
Back
Top Bottom