Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli

Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli

Uchafu wa gang la kisukuma tupa kuleee tuliye naye ni mama msafi hana makandokando
Mnaingiza vidole makalioni Kisha mnanusa siyo,nyinyi wapinzani ndo wanafiki hamjawahi tokea nchini.In short nyinyi Ni wanasaccos na mmetuharibia Sana kaskazini kuonekana Kama Ni genge la wanasiasa wachumia tumbo
 
Hiyo issue ya stand ya Magufuli kuleta foleni nayo ni mbwembwe tu, as long as stand imeshajengwa kwani haiwezekani kutafuta namna ya kuondoa hiyo foleni? kusema kweli mapambio yameimbwa sana hiyo jana, yaani watu sasa wanajidai kuiogopa foleni kama ndio mara ya kwanza foleni kuwepo dsm.
 
Mnaingiza vidole makalioni Kisha mnanusa siyo,nyinyi wapinzani ndo wanafiki hamjawahi tokea nchini.In short nyinyi Ni wanasaccos na mmetuharibia Sana kaskazini kuonekana Kama Ni genge la wanasiasa wachumia tumbo
Heri nyinyi wana SUKUMA GANG
 
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara?...Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga....Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie, ... Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

#Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu,uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.
Nawasilisna
Screenshot_20210409-054318.jpg
 
Woyooo mnasema na Marehemu? Mbona mnamtesa sana huyu mwamba?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom