Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli

Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli

We jinga kweli yaani mama yako mwenyewe mkimbizi halafu unajidai kuwa na mashaka na wengine?
Mshaanza kutaka kumkwanisha na tunajua lengo lenu ila nikuhakikishie kuwa mama yupo yupo sana hadi miaka 10.

Na hiyo miaka 10 mtateseka sana maana hamtakuwa na sehemu ya kuuza majungu yenu na kufitinisha watanzania.

Sijawahi kumuona mhaya mchovu wa akiki kama wewe, yaani mmevurugwa nyinyi waramba miguu wa jiwe.
 
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu, uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.

Nawasilisha
Mkuu naona umemmiss sana.Historia itahukumu
 
377M Chadema wamefisadi

Inanipa kusema, ufisadi sio Chama, ufisadi upo Kwenye damu za watu
Mmenunua ndege ambazo hazizalishi faida na CAG anasema hata nje ya nchi haziwezi kwenda maana zitakamatwa tu.

10% ndiyo mliyokuwa mnapigania tu kwa kununua hayo madege
 
Ni kweli mkuu unachosema.
Ujuaji umepitiliza sasa hivi kila Mtu ni Mjuaji na Mchambuzi wa Hoja. Matokeo ya Watu kukosa hekima na maarifa ya Rohoni.
Hebu ajitokeze hapa hata Mmoja wetu kwa sehem aliyopo ambae hajawahi kupiga pesa ni Nani?

Kifupi Tanzania sio Viongozi sio Wanasiasa ni tumejaa unafiki, ujuaji, na Ujinga Mwingi na tusio na shukurani. Hatujui nini tunataka wote bila kujali itikadi.

Wacha jahazi liyumbe na bado sote tutanena lugha moja mbeleni Lakini utofauti wetu utakuja kwenye Imani na Makazi tuliyoandaliwa ( hii sitoeleweka but ndo hivyo)
 
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu, uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.

Nawasilisha
Neno lake la Watanzania wanyonge wale aliowangiza bungeni kihuni wanasema linawakera hakuna mtanzania mnyonge.
 
Nimeipenda sana hii!
 
Ila Magufuli licha ya mapungufu yake lakini amefanya kazi ya kiume saana.
 
Msisimame nae tuu mnaweza mkakaa au mkalala pia...watu critic nimuhimu mwenye jamii, taifa lisilohoji ni taifa mfu!! Lazima Tuhoji,tuhoji,tuhoji hata tukifungwa,tukiteswa,tukipigwa masasi,tukitukanwa hatutochoka kuhoji!! Mwenyezi Muungu pekee ndiyo hahojiwi lkn binadamu mwenye mapungufu kwanini tusimhoji hasa tunapompa kazi??
 
Mimi nitasimama na JPM siku zote, katika hali yoyote ile.
Kweli hata Mawaziri mliosimamia hiyo miradi wakati wa JPM, leo na mnashindwa kumtetea, kwa sababu tu hayupo Duniani?
Leo mnathubutu kukashfu na kutaka kuifuta miradi yote ya JPM, kweli?
Kama ninyi Mawaziri mlioteuliwa na JPM na mkasimamia utekelezaji wa miradi hiyo kabisa kumtetea na kuitetea hiyo miradi, Mungu atainuia Mawe ili kumtetea JPM.
Baada ya hapo, subirini LAANA kuu itakayowaka juu yenu. Hapo ndipo mtakajua kuwa, Mungu huwa hadhihakiwi.
Sasa kwanini unalaani watu?! Alafu kumdhihaki mwendazake siyo kumdhihaki Mungu Wewe Lugola! Yamewakuta kwa sababu ya kuabudu wanadamu! Hivi huyo yesu wenu wa Lugola angewekeza nguvu kuunda katiba mpya yenye usimamizi imara wa rasilimali zetu, angesimamia utungaji wa sheria zenye kusimamia masilahi mapana ya nchi badala ya kusimamia mambo hayo kibabe, leo si angekua amekufa lakini sheria zinafanya kazi?! Ona sasa kafa, na kazi zake zinatenguliwa!! Wafuasi nanyi mnaleta mharisho tu humu! Kama unampenda, “rara naye mbere kwa mbere” usituletee mambo ya kusimama na aliye lala!
 
Back
Top Bottom