Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli

Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli

🤣🤣🤣ko unataka usimame na Marehemu??!!!haya msimamishe basi ili tuone maajabu ya karne😆😆😆
 
Waondoe kabisa,hata mi naona Tena isirudshwe hata Senti ili tu mrudhike.mshaurini mama Hilo pia
MATAGA wenzio wanakuchora jinsi ulivyopandwa pressure kutaka kusimama na hayati, na kwanza kalala. Ufanye yote mawili kulala na kusimama
 
UPUUZI MTUPU! Nani asimame na dhalimu? 😳😳
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara?...Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga....Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie, ... Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

#Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu,uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.
Nawasilisna
 
Hivi mataga bado hamuamini kilichitokea?!,kweli usimtegemee binadam
 
Mnatusumbua na mathread yasiyo na kichwa wala miguu humu.Manfurahisha nafsi zenu na ukweli mnaujua
 
Mi naona mkienda kulala nae kaburini kabisa ndio mtatisha zaidi.
 
Kwamba stendi Haina manufaa😄😄
Bomoeni turudi ubungo.

Kwamba mradi wa bwawa la umeme hauna manufaa,uacheni na tufugie samaki.

Kwamba Reli ya umeme haikupaswa kuanza basi sitisheni na muifukie.

Kwamba ndege Zina hasara,uzeni tu msiongee Sana.
Kwamba daraja la ubungo si kitu,livunjeni tupite chini.

Kwamba umeme mpaka vijijini Ni geresha na nguzo za umeme Ni ufisadi,tuone nguzo ondoeni umeme mpaka vijijini.

Kwamba meli mpya Ni ufisadi basi vunjeni tufanye screpa vyuma vyake.

Kwamba daraja la salender si kitu,sitisheni na vunjeni haraka Hilo daraja myeyushe vyuma tutengeneze masufuria ya ubwabwa.

Kwamba ongezeko la dhahanati hakuna kitu,pigeni minada hizo zahanati zigeuzwe migahawa ya chakula.

Kwamba madini yanatoroshwa mererani,vunjeni ukuta na muwapangie majukumu mengine JKT.

Kwamba Bandari ya bagamoyo muhimu,basi ingieni mikataba wa miaka99 na msiangalie sharti hata chembe.

Kwamba elimu bure SI kitu,rudisheni ada tu watu walipe.

Kwamba wafanyabiashar na wawekezaji wasiotaka kulipa Kodi warudi,ondoeni kabisa Kodi waje wajitanue.

Kwamba mwendokasi na Barabara zinazojengwa Ni ufisadi,basi zisitishwe Mara moja.

Kwamba COVID-19 eti nn vile???
Na Kila tutachoona JPM kakifanya tukigeuze tu Kwan nn banaa,SI kaendaaaaa!

Yetu macho siye,JPM bado sijaona Kama wewe,CHUMA halisi Cha mwafrika.
Baada ya SOKOINE Sasa historia imemuandika JPM,wazalendo halisi walioondoka ingali bado nchi inawahitaji.
Wewe kijana naona unajitekenya halafu unajamba mwenyewe. So sad.
 
Ngoma bado mbichi hii jikazeni wafiwa ....mbona mnahaha bado mapema..yaani mchezee Kodi zetu halafu tuwachekee tu.
Shangaa na wewe, ile ripoti sidhani kama amepitia hata heading aende akaisome pale kwenye mashirika ya umma kwanza.
 
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara?...Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga....Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie, ... Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

#Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu,uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.
Nawasilisna
Hasira
 
Unafki ukitamalaki, hupofusha fikra. Kitu ambacho hukijui kuwa huna nafasi tena! Alaaniwe amtumainie mwanadamu..
 
UPUUZI MTUPU! Nani asimame na dhalimu? 😳😳
Mimi si wewe,mbona mzigo napiga Mimi wewe unatoa mihemko.

Wewe nenda muungane na wenzio mkasaini mikataba ya kujenga bandari ya bagamoyo.
Then aloanzisha JPM futeni kabisa
 
Bahati mbaya hata wa kumuuzia anaweza asipatikane, labda kwa bei ya hasara.
Mbona simple tu mshaurini mama auze hizo ndege mgawane hela zisiendelee kututia hasara.
 
Imepenya hiyo
Katiba imetusaidia kufuatilia fedha zetu zinavyotumika na tija yake kwa kutuwekea CAG, leo anaweka wazi kasoro za miradi ya kimkakati inayotumia matrilioni yetu tunasema hafai anatumika

AFRIKA TUMEROGWA?
 
Unafki ukitamalaki, hupofusha fikra. Kitu ambacho hukijui kuwa huna nafasi tena! Alaaniwe amtumainie mwanadamu..
Mimi si mnafiki Kama nyinyi mloongea miaka nenda rudi nchi Haina ndege,nchi Haina umeme wa uhakika,nchi Haina Reli ,viwanda haviendelei kwa ajili ya umeme,foleni zijengwe flyover.
Hapo Nani mnafiki,maana sisi tumepembania mliyoyatamani miaka nenda rudi.
Ndo Mana mnaitwaga wachumia tumbo nyinyi
 
Back
Top Bottom