Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli

Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli

Ujinga na upigaji ukirudi wanyonge tutatinga kama nyuki kuwangoa wahuni wote tukisindikizwa na walinda katiba kama walivyotusindikiza kumuaga marehemu.hatuwezi kukubali mke wa tatu apelekeshwe na wahuni kuuza Nchi kwa kisingizio cha maendeleo.
 
Binadamu Huzaliwa ,huishi na Kisha kufa.
Ajabu wewe unayefurahi kifo Cha mwingine utafikiri utaishi milele
Nan amekwambia kuwa mm naamini sitokufa?!,muache ujinga na upumbavu mlitemegea mwendazake mkiamini yy ni mungumtu hatokufa
 
Chato wanasemaje? Zile safari za ATCL kuja huko bado zinaendelea? Ule mradi wa kujenga uwanja mkubwa wa mpira huko nausubiri kwa hamu.
 
Wanyonge walioongelewa ndo sisi ukijiona haupo Hilo kundi temana nalo tuachie wenyewe tunajua
Unapokula kichwa mradi wa umeme kutoka bwawa la Nyerere ambao umefikia 50% itabidi watuambie umeme tutatoa wapi?.

Unapokula kichwa serikali kuhamia Dodoma na kusema ni hasara itabidi wajieleze.

Unapokula kichwa reli ya kisasa ambayo inakaribia Makutupora itabidi wajieleze kwa watanzania hiyo Tanzania ya viwanda itawexekana vipi.

Unapokula kichwa ujenzi wa meli mpya kwenye maziwa makuu itabidi watueleze watatusafirisha na nini?


Wanapokula kichwa ndege zetu itabidi tuwawekee video za kina Heche ,Lema,Lisu wakitukana serikali iliyoshindwa kununua ndege

Watakaposema wachimbaji wadogo, bodaboda na mama ntilie wafukuzwe itabidi watueleze wanafanya haya kwa faida ya nani?

Watakapoamua zahanati na hospitali zote zilizojengwa na Magufuli zifungwe ,itabidi watueleze tutaenda kutibiwa wapi?

Watakaposema wamefuta elimu bure itabidi watueleze kodi zetu zinafanya kazi gani?

Watakaposema lazima watanzania millioni 60 wachanjwe, itabidi watueleze wao mpaka sasa
hawajachanjwa
Nyungu hawajapiga,
Hawajajifungia ndani wanaenda kazini kila siku
Mbona hawajafa na corona sasa??

*Watakaohoji haya maelezo siyo Magufuli wala watoto wa Magufuli ni watanzania.

Anayedhani itakuwa rahisi kuuwa legacy ya Magufuli atakutana na nguvu ya uma.
*
Muda utaongea .
 
RIP JPM
20210409_151116.jpg
 
Umeandika kama mtu ambaye hana uwezo wakutumia akili zake sawa sawa.inaonekana unapenda zaidi kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli.Hayo yote yanayosemwa sasa nchi ingekua na uhuru wakutoa mawazo kipindi cha jiwe watu wangesema na hizo riport zingejadiliwa kwa uhuru ila kwa vile jiwe alitaka nyie vichwa panzi msikie ya upande mmoja tu na madudu mengine msiyajue ndo mnaopata kiwewe sasa hivi baada ya yeye kuondoka na watu kuwa huru kusema.acheni kujifanya nchi ilikua ya asali na maziwa wakati kila mahali umaskini na madudu vilitamalaki.Tumia akili zako vizuri sio kutuandikia mihemko hapa.
 
Ushauri wako nn sasa
Nashauri tuziachie mamlaka husika zifanyie kazi yaliyobainishwa na CAG.. mfano sasa ripoti imefika bungeni.. itajadiliwa na Bunge na maamuzi yatafanyika, ripoti pia imekabidhiwa serikalini maamuzi yatafanyika kuboresha penye shida n.k n.k lakini tukianza kumshambulia mtu ambaye katiba inasema haingiliwi na mhimili wowote wskati wa kufanya majukumu yake ya ukaguzi tunakuwa tunaonekana viumbe wa ajabu sana Duniani!
 
Akili za Ajabu sana hizi !!!

Kwahio sababu nimefanya matatu ni ruksa kuharibu manne ?, Pili haya mambo yanaletelezwa na miradi ya fulani (fulani ana miradi kaw sheria ipi) ?

Huwezi kuwa na akili kuliko wote na jambo kama miradi inabidi lishirikishe wadau na kuwa transparent ili kuona faida na madhara..., tatizo la kuleta miradi yako siku ukiondoka unaondoka nayo (hata issue ya kufanya mambo bila utaratibu ni ufisadi) na tabia hii haifai...
 
Vunjeni vunjeni banaa, what's so special for you!

Kisha mkimaliza niende kuchimbua kaburi lake mkamning'inize kwenye kamba mmalize hasira zenu za kipuuzi
Mkuu uko sawasawa au kuna shida inakukabili? Mbona unaongea wakati mwingine bila kutumia hekima japo kiduchu? Mwache mzee apumzike na wache watu waseme yote mema na mabaya yake.
 
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu, uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.

Nawasilisha
Kama ninyi mnasimama nae hata kwenye kifo lakini hamkutaka kuzikwa nae basi fanyeni nyie yote hayo unayotaka sisi tufanye ambayo hatukuona wala hatuoni faida ya mamiradi hayo.
 
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu, uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.

Nawasilisha
Mazuri yanaendelea na utawala wa mama samia bila kuacha kizuri hata kimoja na mabaya yake uyataje ili watu waendelee kuyakataa, kumbuka marehemu magufuli na yeye hakuwa Mzalendo miradi yote mikubwa aliwapa kampuni rafiki zake ndugu zake na kampuni zake binafsi, na pesa zote zikawa zinazunguka zinamrudia yeye kwa njia haramu za kishetani na makinikia aliendelea kupeleka nje kwa Siri kubwa , aliwapora matajiri pesa zao kwenye mabenk na hata BOT waliagizwa kupora pesa za watu zinazotumwa tokea nje mpaka ikafikia watu wengi kuogopa kutuma pesa Tanzania, ununuzi wa Ndege kuna 10% zake ingawa CAG kaogopa kusemea hilo kwa kuona haya kumuumbua zaidi, alimtuma Bashite kwenda Clouls Radio na Bunduki kufanya fujo na baadae Bashite kumtumia Le mutuz kumwekea Sumu Ruge kwenye kinywaji akaenda kufia South Africa, Le mutuz sasa na yeye anaumwa malipo ni hapa hapa Duniani, Bashite cyprian Musiba Jerry muro Heri kisanduku na nyaulingo walikwenda Dodoma kumshambulia Tundu lisu, na nyaulingo tayari mungu alimwadhibu kule Bagamoyo kwa kupata ajali kubwa akavunjika miguu yote kawa kiwete, wengine Bashite na waliosalia nao bado changamoto zinaendelea kwao zaidi, marehemu anayo mabaya mengi ikiwemo kuwabambikia kesi kesi uonevu uovu unyanyasaji kwa wapinzani kuwapora ushindi kwenye chaguzi mbalimbali, kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge na maovu mengineyo mengi ikiwemo kujimilikisha madini na pesa zote zilizokuwa zikikamatwa viwanja vya Ndege, Bandarini, mipakani nk, marehemu alikuwa na mazuri yake kidogo sana kulinganisha na mabaya yake, Kwenye Bandari ya Bagamoyo aliwadanganya watanzania kuwa mikataba ya Wachina ni mibaya wakati hakuwahi kuiweka wazi hiyo mikataba watanzania wote waione wajue mbichi na mbivu, Hakuwa muwazi alipenda propaganda zaidi kuliko ukweli wenyewe.
 
Kwamba stendi Haina manufaa😄😄
Bomoeni turudi ubungo.

Kwamba mradi wa bwawa la umeme hauna manufaa,uacheni na tufugie samaki.

Kwamba Reli ya umeme haikupaswa kuanza basi sitisheni na muifukie.

Kwamba ndege Zina hasara,uzeni tu msiongee Sana.
Kwamba daraja la ubungo si kitu,livunjeni tupite chini.

Kwamba umeme mpaka vijijini Ni geresha na nguzo za umeme Ni ufisadi,tuone nguzo ondoeni umeme mpaka vijijini.

Kwamba meli mpya Ni ufisadi basi vunjeni tufanye screpa vyuma vyake.

Kwamba daraja la salender si kitu,sitisheni na vunjeni haraka Hilo daraja myeyushe vyuma tutengeneze masufuria ya ubwabwa.

Kwamba ongezeko la dhahanati hakuna kitu,pigeni minada hizo zahanati zigeuzwe migahawa ya chakula.

Kwamba madini yanatoroshwa mererani,vunjeni ukuta na muwapangie majukumu mengine JKT.

Kwamba Bandari ya bagamoyo muhimu,basi ingieni mikataba wa miaka99 na msiangalie sharti hata chembe.

Kwamba elimu bure SI kitu,rudisheni ada tu watu walipe.

Kwamba wafanyabiashar na wawekezaji wasiotaka kulipa Kodi warudi,ondoeni kabisa Kodi waje wajitanue.

Kwamba mwendokasi na Barabara zinazojengwa Ni ufisadi,basi zisitishwe Mara moja.

Kwamba COVID-19 eti nn vile???
Na Kila tutachoona JPM kakifanya tukigeuze tu Kwan nn banaa,SI kaendaaaaa!

Yetu macho siye,JPM bado sijaona Kama wewe,CHUMA halisi Cha mwafrika.
Baada ya SOKOINE Sasa historia imemuandika JPM,wazalendo halisi walioondoka ingali bado nchi inawahitaji.
Hizo ni ilani ya CCM au alikuwa akijifanyia mwenyewe?
 
Mnaingiza vidole makalioni Kisha mnanusa siyo,nyinyi wapinzani ndo wanafiki hamjawahi tokea nchini.In short nyinyi Ni wanasaccos na mmetuharibia Sana kaskazini kuonekana Kama Ni genge la wanasiasa wachumia tumbo
Wewe mbweha ndiyo mchumia Tumbo ulikuwa mnufaika wa uonevu uovu mateso yote ya magufuli dhidi ya matajiri wapinzani na watanzania wengineo wengi waliopotezwa na nyinyi mliojiita watu wasiojulikana
 
Nipo hapa ngusero naendelea kumuenzi mtu mzalendo kupata mshuhudia nchini
Uzalendo ni kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? Uzalendo ni task force kuwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara kufunga Account zao? Uzalendo ni kupora ushindi kwenye chaguzi zote?
 
Binafsi yangu siwezi kumpa lawama marehemu Kwa haya yanayoendelea.
Bali wasaidizi wake.
 
Back
Top Bottom