Ngoja niseme tu hii liwalo na liwe.
Wanaume hamjijui kuwa hamna uwezo wa kumtimizia mwanamke zaidi ya mmoja. Kama ukiifanya kazi yako kisawasawa ujue mwanamke mmoja haumuwezi seuze wawili?. Namaanisha mkeo kutokuwa na hamu ya sex na wewe inaweza ikawa kufeli kwako kwenye maandalizi. Kwa sababu ukimuandaa sawasawa then haipaswi kuwa na shida. Nani asikie kuki wa kuchoma ananukia, na ubwabwa wa nazi una njegere za kutupia, na maharagwe ya nazi yametulia na majani ya maboga yenye karanga na udenda usimshuke? Mwanamke anakutamani kwa maandalizi banaa. Wewe utamtamani kwa kanga moko na kauli basiii!
Huyo anapanga zamu bila official announcement kuwa ana small hausi. Anaogopa surprise na kujulikana kashindwa mechi. Anaogopa kugonganisha mechi hapo. Hana lolote. Na hajajijua wake wawili hawawezi. Muambie shosti ampe likizo ya miezi mitatu manake hata ligi hazifululizani bwana. Akimtoa akilini mbona hasumbuki. Akikoroma hapo pembeni atamuona kama mwanae.
Ila wanaume wake zenu wanawastahi. Mitala hamuiwezi endapo mtawajibika kwa wake zenu ipasavyo bwana.
Nalogoff
Pokea like mkuu naona kitufe cha like hakuna. Yaani umeongea pointNgoja niseme tu hii liwalo na liwe.

Vipi kwako kupanga ratiba ni sawa?
Hayo ya ratiba ngoja niwaachie baba na mama! Bado sijafika huko!
Nilikuja kuelezwa hili na dada mmoja ambae nieafiki yangu kama na mimi nalijua hili
Ni kwamba huyu dada mume wake amemuambia kuwa kuanzia jana hawatakuwa wanakutana kimwili bila ya kuwa na ratiba maalum,yaani kama vile ambavyo wanaweza kupanga ratiba ya chakula yaani leo tunakula ngararimu na ijumaa tutakula kiburu basi itakuwa hivyo na kwenye suala la unjumba
Dada huyu ameniambia kuwa hali hiyo haipendi na kwa kuwa ananiheshimu ameamua kuniambia hayo ili kama na mimi nakubaliana nalo ama la
Ki ukweli mimi nilimuambia jambo hilo sidhani kama linafaa kwa kuwa kwa mtazamo wangu wa harakaharaka ni kwamba kulipanga kutalifanya liwe linabore hivi
Kitendo cha kujua kesho nitakula kiburu kunakifanya chakula hicho kipoteze ule "utam" wake wa asili
Nilimueleza umuhimu wa kuliongelea hilo suala kwa upole na mumewe na ajitahidi sana kutokuonesha hasira kwani anahisi mumewe amekuwa na nyumba ndogo
Sasa hebu niambieni nyie mnalionaje suala hili la kupanga ratiba je ni jema au halifai?
Nisingependa tumjadili huyo jamaa kwakuwa sio lengo langu kuleta mada hapa
Lengo langu ni kujaribu kulitazama hili suala la kupanga ratiba ya unyumba kama linafaa ama halifai!
Karibuni nyote......!!!!!!!
Uko sahihi kabisa Imeandikwa " mke hana mamlaka juu ya mwli wake isipokuwa mumewe vile vile na mume hana mamlaka juu ya mwili wake ispokuwa mkewe , msinyimane isipokuwa kama mmekuybaliana ili mfunge" hapa maana yake babu akijinyoosha tu bibi lazima na aseme karibu .... Na bibi pia akijisikia kukunwa tu na aseme babu njoo basi hutakiwi kubisha ni kutimiza huo wajibu HUYO MPANGA RATIBA AACHE TABIA HIYO MARA MOJA !!!!...
Hebu tupe uzoefu zaidi
Utam unaongezekaje?
Ukijua haikuondolei mzuka kama anavyodai Heaven on earth ?
Nilishapangiwa sana hiyo ratiba;
Pamoja na kupangiwa ratiba kila ikifika siku
unakuta jamaa analalamika kuchoka kama siyo
kuumwa kichwa au malaria;
Na siku uliyochoka mpaka hutamani mtu akuguse hata bega ndio inaangukia kwenye ratiba mwee!!
Ndoa nyingine hizi!!
Kwani kuna ubaya gani kupanga ka ratiba bana?
Ukijua leo ni siku ya mechi si ndio mzuka unapanda?
Halafu kule mbona sikuoni?????
Kwa hiyo unapiga chabo siyo?
anaweza akasema halafu ikamletea mushikeliSasa si aseme tu kama ratiba inamboa?
Kwanini uzunguuke wakati majibu unayo?
Mh!
Unajuaje?
Haha haaa mkuu mi nataka kuwa tulizo la wasio na wenzi ila SIYO WAJANE.si unajua sharing of resource bosi wangu asa aliye-responsible kumpa haki hataki so I have no choice than to act as a substitute.
Nilishapangiwa sana hiyo ratiba;
Pamoja na kupangiwa ratiba kila ikifika siku
unakuta jamaa analalamika kuchoka kama siyo
kuumwa kichwa au malaria;