kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 6,564
- 12,652
Shombe mambo vipi boss?Hzi Ajira kumbe mpka Leo bado hawajatoa watu... Ni kitambo sana hizi Toka mwezi March nakumbuka
Shombe mambo vipi boss?Hzi Ajira kumbe mpka Leo bado hawajatoa watu... Ni kitambo sana hizi Toka mwezi March nakumbuka
Nipo mkuu, sema Utumishi mwaka huu naona wamekuwa overwhelmed.. yaan watu waliomba Ajira Hadi kuitwa Interview ni zaidi ya miezi mi4 😁😁😁.Shombe hivi upo kweli dah
Fresh mkuu, huu mwezi July unaokuja ni mwezi wa interview utumishi, wale wa TRA wajiandae from now.Shombe mambo vipi boss?