Msaada: Tusome notice gani kujiandaa na interview ya trade officer 2

LINGWAMBA

JF-Expert Member
Sep 30, 2023
419
946
Kama kichwa cha habari kinavyosema kama kuna mtu amewahi kufanya interview ya trade officer 2 naomba kujua notice gani za kusoma ili nianze kujiandaa maana nimepoteza muda mwingi kujianda na interview za TRA matokeo yake customs tukatolewa maswali ya tax wakati hata hiyo tax sijawahi kuisoma.

Sasa nataka nijiandae na hiyo interview ya trade officer 2
 
Inafanyika lini,tunajua TRA kwaujumla mlifanya wiki iliyopita?6
 
Inafanyika lini,tunajua TRA kwaujumla mlifanya wiki iliyopita?6
Tra wiki iliyopita hila trade officer 2 walizitoa utumishi interview zake bado lakini sijawahi kufanya sijajua huwa wanasoma notice gani maana wanaofanya hzo trade officer wenye bachelor nnasikia huwa inatolewa research mara nyingi hila kwa diploma ndio sijajua
 
Pitia tangszo la ajira,litakuwa, linaeleza majukumu ya hiyo nafasi, sio lazima usome notice ulizopewa, chuoni, za, mwaka 47!
Kuwa, open minded! Sio, kukalili vitu,vielewe,
Miaka kadhaa, nilifanyia interview vijana wa UD, nafasi ya Electrical engineer, technicians,
Swali mojawapo, tukawapa mulitimeter, clamp meter, ammeter, voltmeter, waonyeshe jinsi ya kupima ukinzani, volt, open circuits, na watupe tofauti ya hivyo vifaa,pili tukawapa Power logger(mpaka unamaliza chuo, hutaisikia wala kuiona) utakutana nayo field, Ila Kama ulisoma vzr ukaelewa, sio kumeza madudu na kuyaweka kwenye paper Kama yalivyo kwenye theraja,na Mehta, ndani ya dk tano unaweza kuielezea vzr power logger,
Hao vijana, wengi walichemka vibaya Sana.
 
Jitahidi tu kujikumbusha yale uliyosoma chuoni pia changanya na mambo ya Economics, pia ujue taratibu za kusajili biashara na sheria mbalimbali zinazotumika kusajili biashara, sifa za biashara zinazostahili kusajiliwa kwa mujibu wa sheria za Tanzania nk.
 
Jitahidi tu kujikumbusha yale uliyosoma chuoni pia changanya na mambo ya Economics, pia ujue taratibu za kusajili biashara na sheria mbalimbali zinazotumika kusajili biashara, sifa za biashara zinazostahili kusajiliwa kwa mujibu wa sheria za Tanzania nk.
Ahsante
 
Back
Top Bottom