Msaada: Kwa yeyote mwenye past papers za interviews za nafazi za Tax Management Officer - TRA

MBOSA boy

Member
Sep 2, 2021
47
31
Kama kuna mtu yeyote humu anazo past papers walizofanya kwenye interview za TRA hasa TAX MANAGEMENT OFFICERS zilizopita anitumie au aziweke hapa.plz
 
Zile pepa huruhusiwi kutoka nazo wala kupiga picha...labda tu maswali mtu ayaandike hapa kama anayakumbuka
 
Kama kuna mtu yeyote humu anazo past papers walizofanya kwenye interview za TRA hasa TAX MANAGEMENT OFFICERS zilizopita anitumie au aziweke hapa.plz
Asa umeanza msuli leo,mpaka uje kuitwa interview si utakua ushasahau mkuu?
 
Hii ndio zao la elimu yetu, tumesoma kukariri maswali na majibu mpaka kwenye usahili wa kazi tunataka kuklariri maswali na majibu.
 
Haya ndio maelezo tosha ya what’s wrong with our country and education system in general.

time ikirudi nyuma nirudie shule sitoangaika kabisa, ntakuwa narelax kuna maisha muhimu zaid ya kukariri bullshits na kujibu some random questions
 
Kama kuna mtu yeyote humu anazo past papers walizofanya kwenye interview za TRA hasa TAX MANAGEMENT OFFICERS zilizopita anitumie au aziweke hapa.plz

Mkuu watafute watu au mtu ambaye anajua mambo ya kodi upige nae story akupe ulewa wa mambo muhimu kuhusu kodi na TRA

Ukielewa vyema hutohitaji kukariri maswali na majibu! Lakini hakuna ubaya kujua maswali yanayo ulizw mara kwa mara kwenye usaili wao!
 
Asante boss
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom