Mshasha wane
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 231
- 595
Kama mtu yupo dodoma na kaitwa hizo kada tutafutane ili tupige msuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wingi huo wa watu walioitwa sina shaka yakuwa ukiingia na simu ni sawa,nakumbuka kuna usaili mmojawapo tuliitwa watu karibia elfu 2 tukafanyia pale udom,ukumbi ukawa mdogo basi ikawalazimu tukae kwa kubanana yaani ilipelekea baadhi ya watu kuingia na simu na wala hawakuonekana,so inawezekana pia kuingia na simu ujanja wako tuDah ukikutwa na cmu si Msala uo
Never, sijawahi ona. Soma practical knowledge ya ulichoitiwa.Kwani UTUMISHI written zao zinakuwaga aptitude tests ama?
Yako wapi?Haya majina yametoka peaneni Tips hizo mtoke wengi
Kwenye ajira portalYako wapi?
Unaenda?Kwenye ajira portal
Hapana mimi ni mwajiriwa tayariUnaenda?
HABARIKama tittle ya thread inavojieleza, wale wote tunaotazamia kwenda kupambana kwenye interview ya mamlaka ya mapato Tanzania kwa kada za customs officer II na tax management officer II naomba tupitie apa tupeane tips, techniques,na possible questions za written paper katika usahili uo
Naomba kuwasilisha
#stay blessed guys
#merci
kaka naomba uni add tena kwenye hili group nilipoteza simu nadhani mpaka leo lipo 0715715385HABARI
Tutakuwa na gari (costa) go and return (DSM TO DODOMA ) kwawanaokwenda kufanya interview Dodoma tarehe 7/08/2021, tutatoka uku Ijumaa na kurudi baada ya kumaliza interview Jumamosi/jumapili. Karibu Twende pamoja na turudi pamoja kwa TSH 30,000/= kwa kila mmoja.
JIUNGE HAPA KWENYE GROUP
Usafiri Ni uhakika, Tutachua Kosta moja watu 28 -30)
SHARTI LAZIMA IDADI ITIMIE , ILI KUFANIKISHA SAFARI HII. GARI IPO KINONDONI BIAFRA
Shombe hivi upo kweli dahHzi Ajira kumbe mpka Leo bado hawajatoa watu... Ni kitambo sana hizi Toka mwezi March nakumbuka
Naona mkeka wa TRA hautoki ule wa 23 AprilHzi Ajira kumbe mpka Leo bado hawajatoa watu... Ni kitambo sana hizi Toka mwezi March nakumbuka