Tunaoisubiri Apple iPhone 12 pro tukutane hapa

Kwa upande wa software development hamna kitu walichofanya, alafu hata vitu ambavyo wanasema wameviongezea kwenye iOS 14 hamna kipya wala hamna kinachovutia. Yani kikubwa kipya ni new widgets na arrangament ya apps.....yani kukaa mwaka mzima na kuja kufanya eti simu ukipigwa isijae screen nzima (new non-intrusive incoming phone call notification UI) ndio kitu cha kuongelea hadharani!! Ivi Android wanatuonaje!?

Tangu Steve Jobs amefariki yani apple hawana invention yoyote ya kusisimua kwa upande wa software development
 
Sasa bicycle ya 3M ndo unaona hela sana?
Kichwa chako ni kizito sana ...wewe ni miongoni mwa watu ambao thinking capacity yao ni ndogo sana....

Kama niliweza hivo nashindwa nini nunua vi iPhone vyenu

Ukisoma pale ulicoment utagundua kuna kitu kinaitwa passion ..

By the way naomba unitajie model ingne ambayo inazidi hapo labda naweza ipenda pia
 
Kwenye ubora wako kabisa napendaga tu post zako niko naisubiri 11 pro max ukichukua 12 pro
 
Kwa upande wa software development hamna kitu walichofanya, alafu hata vitu ambavyo wanasema wameviongezea kwenye iOS 14 hamna kipya wala hamna kinachovutia. Yani kikubwa kipya ni new widgets na arrangament ya apps.....yani kukaa mwaka mzima na kuja kufanya eti simu ukipigwa isijae screen nzima (new non-intrusive incoming phone call notification UI) ndio kitu cha kuongelea hadharani!! Ivi Android wanatuonaje!?

Tangu Steve Jobs amefariki yani apple hawana invention yoyote ya kusisimua kwa upande wa software development

Mabadiliko ni hayo hapo.

mbona unanikatisha tamaa mkuu,nimekuja nijue nikiupdate napata majaro gani kumbe mmmmh.

ngoja tusubiri review za iship island

Nina siku kadhaa baada ya ku upgrade , kitu kill Kilichonivutia zaidi ni widget (ziko smart sana na zina study usage na matumizi na kukumbusha kufanya jambo flan Kwa muda flan) best widget in any smartphone so far, intelligent widget na hapa developer nategemea watafanya mambo ya maana baada ya muda flan na nimeona whatsap tayari washafanya jambo, tafuta review ya whatsap in iOS 14 utaona mabadiriko makubwa

Picture in Picture Pia ingawa YouTube app haisapoti Kwa mtumiaji wa kawaida Labda utumie browser, speed sija notice chochote labda ni Kwa sababu iPhones are always very fast ..

Suala la app kama whatsap insta na app nyingine kupewa access control over photo gallery nimelipenda sana , unaweza chagua whatsap i access folder moja tu kwenye photos au i acces photos zote, hii iko cool sana inaepusha mambo mengi sana

Another cool thing ni kujua app inayotumia mic au camera hata kama ina run background au iko hidden , sasa kuna ki notification kuonesha kwamba hii app ipo inatumia camera au ina record sauti, Again privacy at its best

App Store is also re designed
Bado naitumia tumia ntaleta feedback baadae kidogo

Tatizo watu wanataka upgrade ije na na gimmick au design mpya mpya za juu juu,mapicha picha au icon kucheza cheza au ku badilika badilika, niwaambie iOS siyo wallpaper au launcher os kama android. Haina mambo ya kitoto toto. Kila kitu kipo Kwa manufaa flan siyo ku brush brush watu .
 
nafurahi tu mkuu kukuona unafurahia widgets, long time
 
Mmoja Mwenye kutumia tecno aseme neno la shukrani kwa kampuni ya Tecno kwa kutufikisha hapa tulipo sisi wanyonge

[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] fala sana
 
Hakuna kitu kilinishinda kama kuwa na simu mbili, hata iwe smart phone na torch bado kwangu ni mzigo, mimi simu moja tu msrtphone basi.
Tunafanana aisee,
nataman ningepata hata smartfon inayotumia laini 4.

Simu mbili zinanishinda kabisa
 
Daah watu bado mnahangaika na haya masimu ya bei ghali?afu hela hamna...nina samsung A10s, jimenunua kwa TZS 310,000/= sijaona tofauti wala kero, siwezi kununua simu ya milioni 2, nimeshawahi ila haitakaa itokee tena, laptop, ipad sawa ila siyo simu
 
Wewe hela utakuwa huna bado unaangaika na lisimu la 310,000 mimi natumia kitochi apa cha 15,000, nyumba na viwanja ndo mambo yangu.
Hapo vipi
 
[emoji2][emoji2][emoji2]punguzeni ukali wa maneno.

binafsi Mungu ndiye anajua kitu ningenunua ningekuwa na hela,[emoji23][emoji23][emoji23]
 
iOS 14.0.1 naona Shazam imekuwa built in kwenye iOS, nenda assistive touch customize utaweza ku access shazam with one click hata kama huja install Shazam kwenye cm . Pia new note naiona imekuwa added kwenye assistive touch shortcut, naona more useful shortcuts zinakuja . Binafsi ni mtumiaji wa assistive touch sana hii ni habari njema Kwa Apple users. This is what makes Apple Apple

Note: iOS 14 unaweza double au triple tap nyuma ya iPhone ikapiga screenshot au kitu chochote utakacho i assign (hii feature siyo Kwa iPhone zote)
.View attachment 1580975
 
Back
Top Bottom