Tunaoisubiri Apple iPhone 12 pro tukutane hapa

Tunaoisubiri Apple iPhone 12 pro tukutane hapa

Kwanini hawezi kuja na kioo chenye hio refresh rate? Unajua kama Apple hana kiwanda cha kutengeza displays bali ananunua tu? halafu uko India, ni assembling tu, parts zinatoka kwengine.
Acha tusubilie ila naona wachina wana kimbia sana kwenye technology sasa uko mpaka mpaka zaidi ya 100
 
Mi nawasubiria vibaka tu wafanye yao waniletee ninunue bei cheeeeeee......sitaki stress
 
Laki 9 unaweza ukanunua hata iphone 8 plus.

Ila unakuta mtu ameshupaza shingo anakimbilia Tecno.
Nilishangaa sana!! Simu ya bei hyo hata display ya maana haina achilia mbali water resistant
 
Inategemea na processor inayokuja nayo mkuu

Kwamba wenyewe wana processor yenye Nm ngapi....

Processor itasaidia nn iwapo brightness iko full....?

Kwenye nokia point 1 series ie 2.1, 3.1,5.1, 7.1 ,8.1 hizo namba za juu zote zina processor nzuri ila asikwambie mtu 2.1 inakaa na chaj kuliko zote hizo ingawa NM zake kwenye processor ni 28nm

Mi kama simu haijafika 4000mah siitaki hata
 
I cant buy a phone that will cost anything above 400k but i have a 3milion bicycle,,
 
Mje na Chip zenu za Tecno.
IMG_20200916_094826.jpg
 
Mbona hii ios14 kama haina cha ziada aisee, yani kweli nimekaa mwaka mzima kusubiria update mpya alafu wanaleta utopolo huu
 
Mbona hii ios14 kama haina cha ziada aisee, yani kweli nimekaa mwaka mzima kusubiria update mpya alafu wanaleta utopolo huu

mbona unanikatisha tamaa mkuu,nimekuja nijue nikiupdate napata majaro gani kumbe mmmmh.

ngoja tusubiri review za iship island
 
Nilitegemea improvement toka A13 lakini sikutegemea improvement kubwa kama hii ya A14 isee . Jamaa wametisha sana. Apple inc wako very serious na biashara yao
Hiyo ni 5nm chip.
 
Back
Top Bottom