Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,761
- 5,038
Kutoka kwa page ya Tech Advisor hizi ndio simu bora zaidi kwa mwaka 2022
1. iPhone 13 pro (iPhone bora zaidi) $999 at Amazon
PROS
Ina display yenye 120Hz refresh rate
Ina kamera kali sana
Ina uwezo wa hali ya juu
Inatunza cchaji vizuri
CONS
Cinematography Mode na HDR algorithm zinapaswa kufanyiwa kazi
Ina bei ghali sana
2. Samsung Galaxy S22 Ultra (Simu bora zaidi inayotumia Android OS) $1015.87 at Amazon
PROS
Ina kamera kali sana
Display yake ina ubora wa hali ya juu
Design yake inavutia sana
CONS
Ni nene, nzito na kubwa sana
Ina bei ghali
Inachaji taratibu
3. iPhone 13 (Ipo vizuri kwenye sekta nyingi) $829 at Apple
PROS
Ina uwezo mkubwa sana
Kamera yake ni kali
Inatunza chaji
Ina thamani kubwa
CONS
Ina display yenye 60Hz refresh rate
Haina telephoto camera
Inachaji taratibu
4.Google Pixel 6A $449 at Amazon
PROS
Ina uwezo mkubwa sana
Inatunza chaji
Ina kamera nzuri
CONS
Ina display yenye 60Hz refresh rate
Inachaji taratibu
Plastiki yake ya nyuma inakwaruzika kirahisi
5. Google Pixel 6 pro (Best user experience)
PROS
Ina display yenye 120Hz refresh rate
Ina kamera kali sana
Ina software nzuri sana
Inatunza chaji
CONS
Ndio simu ya Google Pixel kubwa, nene na nzito zaidi
Fast charging yake ni ya ovyo
6. Opo Find X5 Pro (Kamera bomba sana)
PROS
Ina display ya high quality
Ina kamera kali
Ina muundo wa kipekee
CONS
Haina perioscopic zoom
Ina bei ghali
7. OnePlus 10 Pro (Inatunza chaji balaa) $779 at Amazon
PROS
Ina chaji kwa haraka sana kwa kutumia way a wake wa 80W
Inadumu kwa muda mrefu
Ina specifications kubwa
CONS
Kamera yake haiwezi kubalance ubora wa picha vizuri
Haina IP Rating
8. Vivo X80 Pro $969 at AliExpress
PROS
Kamera yake ina uwezo mkubwa sana wa kuchukua picha
Inachaji fasta iwe kwa waya au wireless
Inatunza chaji
CONS
Muundo wake wa kamera ni m'baya
Haina Gorilla glass
Software yake sio nzuri sana
9. Samsung Galaxy Z Flip 3 (Ndio simu bora zaidi ambayo ni foldable)
PROS
Ina muundo wa kifahari wa kujikunja
Ni water resistant
Ina bei ya kawaida
CONS
Haina telephoto camera
Ukaaji wake wa chaji sio mzuri sana
Sio ngumu, ingependeza kama ingekuwa ngumu zaidi
10. Xiaomi 12 Pro (Great for Multimedia)
PROS
Ina muundo mzuri sana
Ina display yenye ubora wa hali ya juu
Ina kamera kali sana... ni moto wa kuotea mbali
Ina fast 120W charger
CONS
Haitunzi chaji ipasavyo
Haina IP Rating
Ndio hizo hapo wa kuu. Tena kuna hio brand no 10 yaani XIAOMI hii kampuni inakua kwa kasi sana.. Nina imani ipo siku watatoa world's best phone... Au nyie mnaonaje wakuu?