Tunaoisubiri Apple iPhone 12 pro tukutane hapa

Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
27,123
39,337
Habarini wadau wa tech

Nimesoma habari mbali mbali kumhusu huyu mwamba iPhone 12 pro ni hatari

Binafsi ni fan wa apple kindaki ndaki! Iphone haijawahi kuniangusha na sijawahi jutia kutumia apple kwakweli!

Niliisubiri samsung note 20 haijanivutia nimeona nielekeze nguvu kwa iphone 12 pro max huku upande wa android Samsung S10 plus itakua ikinipa backup

Tunaomsubiri huyu mwamba tukutane hapa

apple-iphone-12-pro-max-r2-1.jpg
 
Nimependa body design yake, ila kama Rumors ni za kweli basi upande wa battery watakua wamezingua sanaa,
Miaka hii bado unacheza na battery below 3000mAh?
Suala sio ukubwa wa battery ila ni simu inavyotengenezwa kuwa efficient kwenye power usage.

Ila kama battery ndogo nina uhakika display haitakuwa advanced sana.
 
Ape wanazinguaga sana battery
Ni tatizo, Japo wanajitahidi katika power optimazation mfano Iphone 11 Pro Max ana 3969mAh ila ina kimbiza mpka simu za 5000mAh..

Ila hawapaswi kulewa, 3000mAh huwezi weka kwenye simu yenye 120Hz reflesh rate na 5G ni kisangaa, No wonder kuna uwezekano hizi features zisiwepo au iwepo kawnye iphone 12 Pro Max tuu.
 
kama itakuwa na body design hii basi itakuwa simu ya pili ya apple kuwa na design nzuri zaidi baada ya iphone 5, 5s,5se.

huo utopolo wake mwingine ndio humfanya anapitwa kwenye design mara zote na samsung.
 
Back
Top Bottom