mimi niachie s10 plusKaribu nikuachie 11 pro max
mimi niachie s10 plusKaribu nikuachie 11 pro max
Usicomment kama kichaa.Note 20 utra kawachakaza vibaya sana naona sasa mnatapatapa kukimbilia kutoa 12 pro wakat hiyo 11 pro hata hazijawaisha hamu hahhaah Samsung Baba Laoo
Unataka ipi mkuu? Pro max au S10 plus?
Note 20 ultra kazingua kwenye version ya exynos 990 performance yake haimatch snapdragon 865+ kuanzia kwenye benchmarks...thermal throttling mpaka gaming...ni kama simu 2 tofauti zinazouzwa same price ya $1300.Note 20 utra kawachakaza vibaya sana naona sasa mnatapatapa kukimbilia kutoa 12 pro wakat hiyo 11 pro hata hazijawaisha hamu hahhaah Samsung Baba Laoo
Huko sahihi chipset wanayotumia exynos 990 imepitwa performance 20% kwa snapdragon 865 hapo usiingize Bionic A13 ambayo ni ligi nyengine...mbaya zaidi wanauza same price simu zao wakati perfomance zinatofautiana.Ila kwa mwaka huu watu wengi wameponda sana Chip ya Samsung 20 na Note 20.
Walichoniudhi ni kua simu za chipset ya Snapdragon zinauzwa marekani tu halafu watu wengine Duniani tunauziwa hizo poor quality chipset za Samsung.Huko sahihi chipset wanayotumia exynos 990 imepitwa performance 20% kwa snapdragon 865 hapo usiingize Bionic A13 ambayo ni ligi nyengine...mbaya zaidi wanauza same price simu zao wakati perfomance zinatofautiana.
Walichoniudhi ni kua simu za chipset ya Snapdragon zinauzwa marekani tu halafu watu wengine Duniani tunauziwa hizo poor quality chipset za Samsung.
Yaani kama vile sisi wengine Duniani hatustahili vitu vizuri iaipokua Marekani. Samsung wana mambo ya hovyo sana.
Nikajua wamejifunza kosa kwenye s20, wamelirudia kwenye note 20..
Huko sahihi chipset wanayotumia exynos 990 imepitwa performance 20% kwa snapdragon 865 hapo usiingize Bionic A13 ambayo ni ligi nyengine...mbaya zaidi wanauza same price simu zao wakati perfomance zinatofautiana.
Ni Soc nzuri kwa simu za midrange na ni special pia kwa gamers wanaotumia mideanges naona infinix zero 8 na tecno camon 16 premier hatimae wamejitahidi mwaka huu kumbuka pia mwaka jana redmi note pro ilitumia hii SocMkuu unaizungumziaje Mediatek helio G90T ?
Anaweza battle?
Nimeikuta hiyo Camon 16 mahali eti laki 9!! Nilistuka sana na watu wananunua hyo cheap product kwa hela ambayo unaweza pata flagship nzuri ya 2019!!Ni Soc nzuri kwa simu za midrange na ni special pia kwa gamers wanaotumia mideanges naona infinix zero 8 na tecno camon 16 premier hatimae wamejitahidi mwaka huu kumbuka pia mwaka jana redmi note pro ilitumia hii Soc
Nimeikuta hiyo Camon 16 mahali eti laki 9!! Nilistuka sana na watu wananunua hyo cheap product kwa hela ambayo unaweza pata flagship nzuri ya 2019!!
Wanakimbilia kutoa 12 pro? We mgeni kwenye hizi ishu? Hivi hujui kama Apple katika kila mwaka wana release simu mara moja? sasa ukisema wanatapatapa utaonekana kama ni joke tu.Note 20 utra kawachakaza vibaya sana naona sasa mnatapatapa kukimbilia kutoa 12 pro wakat hiyo 11 pro hata hazijawaisha hamu hahhaah Samsung Baba Laoo
Kwanini hawezi kuja na kioo chenye hio refresh rate? Unajua kama Apple hana kiwanda cha kutengeza displays bali ananunua tu? halafu uko India, ni assembling tu, parts zinatoka kwengine.Apple hawezi kuja na hiyo refresh rate kwanza simu nyingine atatengenezea India, in short wachina wameishamzidi akili na creativity sasa hivi hana kipya tena