dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,855
- 61,913
😂 😂 😂 😂Ngoja nisubiri za pale Makumbusho stand.
😂 😂 😂 😂Ngoja nisubiri za pale Makumbusho stand.
Amna kipya ni kama tech imefika mwisho yaani ni mambo yale yale tu ya kuongeza shape ya sim na idadi ya tameraHabarini wadau wa tech
Nimesoma habari mbali mbali kumhusu huyu mwamba iPhone 12 pro ni hatari
Binafsi ni fan wa apple kindaki ndaki! Iphone haijawahi kuniangusha na sijawahi jutia kutumia apple kwakweli!
Niliisubiri samsung note 20 haijanivutia nimeona nielekeze nguvu kwa iphone 12 pro max huku upande wa android Samsung S10 plus itakua ikinipa backup
Tunaomsubiri huyu mwamba tukutane hapa
Ni mipango na maamuzi tu mkuu! Mfano mimi huwa na zote mbili kwa mwaka Sambamba! Yaani samsung na iPhone kwa pamoja.
Mfano now nina S10 plus na 11 pro max
Mimi kwangu apple tu mkuu, kwasasa nimekwama kwenye Iphone XUnataka ipi mkuu? Pro max au S10 plus?
Karibu nikuachie 11 pro max
Bila wao tusingesoma huu uzi Ahsante TecnoMmoja Mwenye kutumia tecno aseme neno la shukrani kwa kampuni ya Tecno kwa kutufikisha hapa tulipo sisi wanyonge
Naam Neno la shukurani limefikaBila wao tusingesoma huu uzi Ahsante Tecno
Apple hawezi kuja na hiyo refresh rate kwanza simu nyingine atatengenezea India, in short wachina wameishamzidi akili na creativity sasa hivi hana kipya tenaNi tatizo, Japo wanajitahidi katika power optimazation mfano Iphone 11 Pro Max ana 3969mAh ila ina kimbiza mpka simu za 5000mAh..
Ila hawapaswi kulewa, 3000mAh huwezi weka kwenye simu yenye 120Hz reflesh rate na 5G ni kisangaa, No wonder kuna uwezekano hizi features zisiwepo au iwepo kawnye iphone 12 Pro Max tuu.
India naona Sikuhizi makampuni makubwa yanahamishia factory zao kubwa huko..Apple hawezi kuja na hiyo refresh rate kwanza simu nyingine atatengenezea India, in short wachina wameishamzidi akili na creativity sasa hivi hana kipya tena
Hata apple tayari nafikili cheap labour inachangia.India naona Sikuhizi makampuni makubwa yanahamishia factory zao kubwa huko..
Samsung tayari.
Haha[emoji1787] hivi mnatuchuliaje watumiaji wa Tecno, nasi tulikuwa iPhone sema hatupendi showOff tumerudi zetu Tecno [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mmoja Mwenye kutumia tecno aseme neno la shukrani kwa kampuni ya Tecno kwa kutufikisha hapa tulipo sisi wanyonge
Haha[emoji1787] hivi mnatuchuliaje watumiaji wa Tecno, nasi tulikuwa iPhone sema hatupendi showOff tumerudi zetu Tecno [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app