Tunaoisubiri Apple iPhone 12 pro tukutane hapa

Tunaoisubiri Apple iPhone 12 pro tukutane hapa

iOS 14.1 naona Shazam imekuwa built in kwenye iOS, nenda assistive touch customize utaweza ku access shazam with one click hata kama huja install Shazam kwenye cm . Pia new note naiona imekuwa added kwenye assistive touch shortcut, naona more useful shortcuts zinakuja . Binafsi ni mtumiaji wa assistive touch sana hii ni habari njema Kwa Apple users. This is what makes Apple Apple

Note: iOS 14 unaweza double au triple tap nyuma ya iPhone ikapiga screenshot au kitu chochote utakacho i assign (hii feature siyo Kwa iPhone zote)
.View attachment 1580975

Hizo features zote ulizosema hazipo kwenye official public ios, zipo kwenye test za ios beta versions
 
Hizo features zote ulizosema hazipo kwenye official public ios, zipo kwenye test za ios beta versions

Kama una iPhone update to iOS 14.0.1 , then nenda assistive touch sehem ya customization utaziona

wala usitumie nguvu sana ku google
 
IMG_20201007_084724.jpg
 
Back
Top Bottom