Tunaofatilia Sultan tukutane hapa

Tunaofatilia Sultan tukutane hapa

Hivi Kwanini watawala wanaishi kwa hofu sana!?
So Sad! Mfalme Suleiman kamuua Waziri mkuu na mkuu wake wa majeshi!Ibrahim Pasha!!! Na jaribu kufikiri mateso wapinzani hapa Tanzania. Ni mambo ya ajabu yalikuwa yakifanyika karine nyingi nyuma, mfano ya Sultan Suleiman mtawala wa Ottoman empire alitawala sehemu kubwa Ulaya ikiwemo Ufaransa.
 
sultan haina maadili maana huwezi kuitazama ukiwa na wanao, ni aibu tupu
 
sultan haina maadili maana huwezi kuitazama ukiwa na wanao, ni aibu tupu
Huna hakika na usemalo, mapenzi yako asilimia ndogo sana,wanaonyesha mapenzi kwa familia, na maadili Islam, mavazi staha.Sehemu kubwa ni utawala na maisha kasiri la mfalme
 
Kabisa alikuwa na lugha za hekima kiuongozi. Nidhamu kwa mfalme ,alijitambua sana.
Ibrahim pasha alikuwa na hekima na busara za kiuongozi.ameuwawa kw uchochez wa mke wa suleimani.lkn huyu sultana mke wa suleiman pia alimuuwa mama ake na ibrahimu.na ameuwa wengi ktk kasri hilo.lkn yoote haya yanatokea kw sbbu ya ujinga na upofu wa mfalme suleiman.
 
Shida yenu mnaitizama hii tamthilia kwa jicho la tamthilia wakati haya ni maisha ya kweli yalitokea ndio ivyo ilikuwa
Mie nadhani mfalme atakuwa na wakati mgumu sana kiutawala. Pia nilitamani Kiongozi muhimu mfano mkuu,aone ajifunze kuhusu kuheshimu wasaidizi wake na raia wenzake, Ibrahimu aliipenda familia yake, .
Rejea ya Lissu, Balozi Canada Kidata, kesi za dhuluma,Akwilina .....
 
Shida yenu mnaitizama hii tamthilia kwa jicho la tamthilia wakati haya ni maisha ya kweli yalitokea ndio ivyo ilikuwa

Kabisa kamanda, ila kuna vitu flani wamekosea sana,yani hawakufuata kama ilivyo...mfano kuacha nywele wazi, na isitoshe mwezi mtukufu wa ramadhan umeingia wanakaa vichwa wazi...pia mashehzadi kuwachukua vijakazi na kuzaanao bila kuoana kihalali,Sultan suleiman naye hivyo hivyo, hilo nalo ni tatizo...kwenye ufalme wa suleiman/Ottoman haya mambo ya kijinga hayakuwepo kabisa.
 
Ila unawezaje kuwaua Waume wa Dada Zako kisa madaraka au matumizi mabaya ya madaraka tu?
Kwani angempiga chini U-Waziri Mkuu ingekuaje?
Angempeleka hata Jikoni akakae na Kina Urojo apike.
 
Ila unawezaje kuwaua Waume wa Dada Zako kisa madaraka au matumizi mabaya ya madaraka tu?
Kwani angempiga chini U-Waziri Mkuu ingekuaje?
Angempeleka hata Jikoni akakae na Kina Urojo apike.
Inasemekana ni true story ilitokea hivyo, Sultana Hurett Mke wa Mfalme alikuwa na chuki kubwa na waziri mkuu Ibrahimu Pasha ,hivyo alijaribu fitina nyingi akosane na Mfalme Suleiman. Nadhani alichangia sana kuanguka kwa himaya hiyo ya Ottoman.
 
So sad...
 
Back
Top Bottom