UmbwaJichanganye uishie kupostiwa na miahumaaa
Haji manaraUmbwa
Tunaifanya hadi lini???Hahah tumeanza mei mosi mkuu ili iwe kama alama ya kuanzia
Sema mda huu nimedhamiriaWengi n waongo waongo hii challenge si rahisi n vile hatuwezi kuthibitisha uhali
Huwa tunasema hivyo piaSema mda huu nimedhamiria
Tatoa majibu hapaHuwa tunasema hivyo pia
Samahani mkuu wewe endelea kula bata, labda ungemleta shemeji yetu hapa tuanze naye. Ni semen retention specifically kwa wanaumeTunaifanya hadi lini???
Noted mkuu, ulichoongea ni fact. Japo kwangu jf ni sawa na kimya kimya tuUkitaka kuanza anza tu kimya kimya,ukisema unakuwa umetangaza vita upande mwingine,hivyo utashangaa unajikuta kwenye mazingira ambayo lazima usex.
Nimejaribu mara kadhaa so najua ugumu unatokeaga wapi, ila nikuambie kitu sometimes tunajiendekeza tuHuwa tunasema hivyo pia
Karibu mkuu, kujaribu mara kwa mara ndo mwanzo wa kufanikiwaMwanzo nilishindwa,jana nimeanza tena tuombeane
Asante sana, hakika hakuna kukata tamaaKaribu mkuu, kujaribu mara kwa mara ndo mwanzo wa kufanikiwa
Nyeto n kujiendekeza ila kulomba n ngumu sana na kipindi hiki ndio pisi zinakuja hadi kunyooshea blauzi gheton zikiwa zmefunga kanga tu 😂Nimejaribu mara kadhaa so najua ugumu unatokeaga wapi, ila nikuambie kitu sometimes tunajiendekeza tu
Jinsia yangu unaijua?Samahani mkuu wewe endelea kula bata, labda ungemleta shemeji yetu hapa tuanze naye. Ni semen retention specifically kwa wanaume
siijui jinsia yako, ila sitaki kuamini wewe ni mwanaume kwa nyuzi zako na comments zako ninazoziona tangu nijiunge jf. I'm sorry siwezi kubali kama ww ni wa kiumeJinsia yangu unaijua?
Mkuu, Mbona unakata tamaa mapema sanasifiki mbali
Ni Bora ungeanza kimyakimyaRasmi leo naanza hii challenge, dua zenu wakuu. Wanaotaka kwenda pamoja nami tuungane hapa
No sex,
No masturbation,
No porn.
Here we go.
Picha haihusiani na uzi