Hahah si unamuona pia kwa avatar yangu?
Namuona jamaa ni verry funny, nilimkubali sana kwenye deep rooted teeeHahah si unamuona pia kwa avatar yangu?
Siyo lazima mkuu, we unaweza kuendeleaKuna haja Gani yakua wakiume hapo,






Sana ana kauchizi ndani yake, sidhani kama kuna movie yake ambayo sijaitazama. Ukitaka kumuenjoy angalia zile za poriniNamuona jamaa ni verry funny, nilimkubali sana kwenye deep rooted teee
Yeah ni kweli, asanteHongereni sana lakini lazima muweke kitu mbadala if real you want last long...
Ongezeni IBADA HAPO
Hahah bado hujadhamirianilisema niache nyeto imekaa week mbili jana kupata wi-fi tu ikawa shidaa![]()
Sijajua Kama wewe ni muha, ila kwa mtazamo wangu una ka asili ka kubishana mkuu.Kuna haja Gani yakua wakiume hapo,
Jama sidhani kama Kuna drama yeyote amewahi kuwa seriaz mwanzo mwisho bila kauchizi kake.Sana ana kauchizi ndani yake, sidhani kama kuna movie yake ambayo sijaitazama. Ukitaka kumuenjoy angalia zile za porini
Acha mbwembwe oa kijanaSijajua Kama wewe ni muha, ila kwa mtazamo wangu una ka asili ka kubishana mkuu.
semen retention Ina faida kubwa sana, kuanzia kuboresha afya ya Mwili, akili na roho yako.
Kukuepusha na magonjwa ya kimwili Kama gono, hiv, kuupa pumziko mwili ili ufanye recover.
ngono si kimwili bali na kiroho pia, so kuto kuunganisha mwili hovyo hovyo ni zawadi tosha Sana.
dah mzee ndio tume fikia huku?, we mwenyewe huja oa lakini?Acha mbwembwe oa kijana
Tuko pamojaAsante, vipi wewe hatusafiri pamoja?
Tafuta nyingine inaitwa swordsmanJama sidhani kama Kuna drama yeyote amewahi kuwa seriaz mwanzo mwisho bila kauchizi kake.
Za Porini zake nimecheki , Deep rooted tree , Slave Hunter na Shine or Go Crazy sasa nipo na My County.
Kuna nyingine Kali ambayo sijaicheki unayoijua ?
Kinakuchekesha nini sasa? Unataka tu tushindwe ili uendelee kutucheka. Safari hii tumedhamiria na hatushindwi hata mbususu imeng'enyuliwe kama kurasa za kitabu laivu mbele yetu wala hatutishiki 💪💪💪💪🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️SawA