adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 15,632
- 34,127
Intelligent businessman Mzee wa panga unaijua hii ?Tafuta nyingine inaitwa swordsman
Intelligent businessman Mzee wa panga unaijua hii ?Tafuta nyingine inaitwa swordsman
Shetani wa kwanza niko hapa kukupa majaribu😃😅😅Kinakuchekesha nini sasa? Unataka tu tushindwe ili uendelee kutucheka. Safari hii tumedhamiria na hatushindwi hata mbususu imeng'enyuliwe laivu wala hatutishiki 💪💪💪💪🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Mtatoboa endeleeni kupambanaDua zako muhimu
😂😂😂😂😂Acha mbwembwe oa kijana
Nimesha icheki, ni single movie kali pia. Jang hyuk huyo.Intelligent businessman Mzee wa panga unaijua hii ?
HongeraMbona mmechelewa sana, mimi nna mwaka wa 2 na nusu siijui ipoje nahisi ntakua nshasahau ipo wapi.
Asante mkuu mbona simpo sanaHongera
Punguza taarab nyingiMbona mmechelewa sana, mimi nna mwaka wa 2 na nusu siijui ipoje nahisi ntakua nshasahau ipo wapi.
Mwanzo nilishindwa,jana nimeanza tena tuombeaneAsante mkuu mbona simpo sana
Wengi n waongo waongo hii challenge si rahisi n vile hatuwezi kuthibitisha uhalisia.Mwanzo nilishindwa,jana nimeanza tena tuombeane
Ewe kenge maji kaa kimya unaniharibia nipo mawindoni.Punguza taarab nyingi
Mipasho mingi, Kama sangoma wa kihindiEwe kenge maji kaa kimya unaniharibia nipo mawindoni.
Dogo utapotea.Mipasho mingi, Kama sangoma wa kihindi
Jichanganye uishie kupostiwa na miahumaaaDogo utapotea.