Tunamtafuta mfadhili atujengee msikiti

Tunamtafuta mfadhili atujengee msikiti

Tatizo la JIRANI zetu Kiimani wanataka kuishi maisha ya enzi za Mitume.
Anzeni kutoa michango kila mkutanapo kwa kila msikiti na mhifadhi Bank hiyo michango itawajengea misikiti bora, Vituo vya Afya na Shule na hata uboreshaji wa mahitaji mengine kwa jamii inayowazunguka.
Siku hizi fedha ndo kila kitu kuna kulipia mambo mbalimbali sio kama enzi za mtume.
 
Hao vijana wangekuwa mikoa ambayo kila mtu ni mtafutaji wangeamka usingizini sio wakae wanasubiri tende na halua za Matajiri
 
Hao vijana wenu waruhusuni waje kanisani!
 
Hili suala si kuleta humu! Acheni uvivu wa fikra.
 
Back
Top Bottom