Tunamshauli nini rafiki yetu...!

pazzy

Senior Member
Feb 5, 2012
194
60
kuna rafiki yangu wakiume ameoa tena kwa ndoa kuna jambo linamsumbua...jamaa anaishi arusha pia ni mfanya kazi tena kazi yke ni yakwaida lkn kinachomsumbua niakina dada kwani anasema AMEKUTANA NA AKINA DADA WENGI LKN ZAIDI YA WATANO WAMEKUWA WAKITOA SIFA NYINGI KWAKE mf;we nimrefu,unamacho mazuri,nimpole,mcheshi,mtanashati...mara ya mwisho anasema alivyokuwa akipishana na mmoja kati ya hao akina dada alianza kucheka akamuuliza kulikoni yule dada akajibu Daaah kweli mkeo anapata tabu sana,jamaa akamwambia kivipi yule dada akasema aaah basi tu! Jamaa akaamua kuja kuniomba ushauli binafsi nimeamua niwashilikishe tumshauli kwa pamoja au mnaonaje...!
 
Ushindani wa Kugombea jimbo, na kutetea jimbo ndo usumbufu wa huyo bidada! Abiria Chunga Mzigo Wako VS Tutabanana Hapahapa. Mwenyewe nina mpango wa kuanza kuchukua wanaume sura ya kazi, hivi vihendsome kaaaz kweli kweli! Prehaaaa, preshaaa,
 
hapana tusitoe hukumu au maamuzi ya jumla...binafsi nilimwambia anapaswa kuwa mwangalifu nawatu wanao mtamani kwani kabla hawajamtamani yeye wameshatamani wangapi!anajibu wakujiheshimu na kuthamini afya yake na ya familia yake kwa ujumla kwa akifanya mamuzi kwa kusukumwa na tamaaza kimwili atajuta sana baadae.
 
kuna rafiki yangu wakiume ameoa tena kwa ndoa kuna jambo linamsumbua...jamaa anaishi arusha pia ni mfanya kazi tena kazi yke ni yakwaida lkn kinachomsumbua niakina dada kwani anasema AMEKUTANA NA AKINA DADA WENGI LKN ZAIDI YA WATANO WAMEKUWA WAKITOA SIFA NYINGI KWAKE mf;we nimrefu,unamacho mazuri,nimpole,mcheshi,mtanashati...mara ya mwisho anasema alivyokuwa akipishana na mmoja kati ya hao akina dada alianza kucheka akamuuliza kulikoni yule dada akajibu Daaah kweli mkeo anapata tabu sana,jamaa akamwambia kivipi yule dada akasema aaah basi tu! Jamaa akaamua kuja kuniomba ushauli binafsi nimeamua niwashilikishe tumshauli kwa pamoja au mnaonaje...!

mwambie huyo kijana wako aache kujishtukia. Kusifiwa kidogo tu anaweweseka, akitongozwa sio atazimia kabisa.
 
kwel wanaume warefu walojengeka miili wanavutia mno na competion ni kubwa kwa mashostito kwan hawako wengi wenye sifa hizo
 
Anaweza awe mrefu, hb lkn akawa si lolote wala chochote kunako sita kwa sita, sifa ya mwanaume iko 6x6 si sura
 
kuna rafiki yangu wakiume ameoa tena kwa ndoa kuna jambo linamsumbua...jamaa anaishi arusha pia ni mfanya kazi tena kazi yke ni yakwaida lkn kinachomsumbua niakina dada kwani anasema AMEKUTANA NA AKINA DADA WENGI LKN ZAIDI YA WATANO WAMEKUWA WAKITOA SIFA NYINGI KWAKE mf;we nimrefu,unamacho mazuri,nimpole,mcheshi,mtanashati...mara ya mwisho anasema alivyokuwa akipishana na mmoja kati ya hao akina dada alianza kucheka akamuuliza kulikoni yule dada akajibu Daaah kweli mkeo anapata tabu sana,jamaa akamwambia kivipi yule dada akasema aaah basi tu! Jamaa akaamua kuja kuniomba ushauli binafsi nimeamua niwashilikishe tumshauli kwa pamoja au mnaonaje...!

mwambie awatimizie wadada haja za mioyo yao.......
 
Kwani yeye msimamo wake uko wapi? Inabidi awe na stand yake na rules to guide him

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
tutakuwa hatujamtendea haki lkn amini ni hb wa ukweli...!
being hb inatofautiana form mtu na mtu,hivyo kama hamna picha,huyo rafiki yako atakuwa na matatizo mwenyewe.halafu huyo jamaa asijishtukie, hicho ni kitu cha kawaida na isitosha hao wanaomfata wanajua udhaifu wake na wanauhakika mwishi wa siku watafanikiwa,mwambie ukubwa sio kuoa tu bali kuwa na msimamo.
 
Hao wamemzimia wanashndwa kujistet lolz..
Aachane nao na vjicfa vyao,wamehic ndo gia nzur ya kumuingza kwny lain.

Mwambie amuangalie alomuweka ndan na cyo viruka njia.
C unajua w.ke wazuri wazuri wameolewa, wamebaki madunga embe wanaangaika..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom