Tunamshauli nini rafiki yetu...!

Tunamshauli nini rafiki yetu...!

kuna rafiki yangu wakiume ameoa tena kwa ndoa kuna jambo linamsumbua...jamaa anaishi arusha pia ni mfanya kazi tena kazi yke ni yakwaida lkn kinachomsumbua niakina dada kwani anasema AMEKUTANA NA AKINA DADA WENGI LKN ZAIDI YA WATANO WAMEKUWA WAKITOA SIFA NYINGI KWAKE mf;we nimrefu,unamacho mazuri,nimpole,mcheshi,mtanashati...mara ya mwisho anasema alivyokuwa akipishana na mmoja kati ya hao akina dada alianza kucheka akamuuliza kulikoni yule dada akajibu Daaah kweli mkeo anapata tabu sana,jamaa akamwambia kivipi yule dada akasema aaah basi tu! Jamaa akaamua kuja kuniomba ushauli binafsi nimeamua niwashilikishe tumshauli kwa pamoja au mnaonaje...!

Mkuu hapa alikuwa anaomba ushauri wa nini? Maana ninavyofahamu, kama anasifiwa hana uwezo wa kumzuia mtu kumsifia. Kikubwa ni kutokuintertain hizo sifa na kuacha kujilegeza kwa wadada, vinginevyo atamsaliti mkewe!
 
binafsi naamini tunanafasi yakushauliana yaliyo mema kwani hakuna binadamu aliyekamilika...Amini unapotoa ushauli mzuri unaoweza kumwokoa mtu au unaoweza kumpa mtu ufanisi utakuwa umetimiza wajibu wako kwa jamii yko!kila kijana au kila mdau wajukwaa hili lzma ujue mchango wako au mawazo yko ni darasa tosha kwajamii Inayotuzunguka...nawapenda nyoooooooote mliomshauli na mtakaoendelea kumhauli rafiki yangu kwani mawazo yenu yatamjenga kujiamini nakuweza kufanya maamuzi sahihi.....!
 
1. kutamaniwa (no big deal)
2. kuwatamani (this is an issue to deal with)

we binafsi for instance, umeshatamaniwa na wangapi? huwa unakuna kichwa na kuhangaika jinsi ya kufanya, si unaignore? mwambie amshukuru Mungu kwa kuwa kivutio cha utalii alafu awaignore hao...otherwise watamuua!

huyo itakuwa baadhi ya wanaomfuata wamemvutia na anakuuliza ili ajustify "'kuwaridhisha" (i'm being honest with what I think of the issue), aisee mwambie akidandia dandia hajui hata wana historia zipi, narudia tena watamuua!
 
Mwambie kwa mtindo huo wa kupapatika anaposifiwa Ndoa yake itamshinda muda si mrefu..!
 
kuna rafiki yangu wakiume ameoa tena kwa ndoa kuna jambo linamsumbua...jamaa anaishi arusha pia ni mfanya kazi tena kazi yke ni yakwaida lkn kinachomsumbua niakina dada kwani anasema AMEKUTANA NA AKINA DADA WENGI LKN ZAIDI YA WATANO WAMEKUWA WAKITOA SIFA NYINGI KWAKE mf;we nimrefu,unamacho mazuri,nimpole,mcheshi,mtanashati...mara ya mwisho anasema alivyokuwa akipishana na mmoja kati ya hao akina dada alianza kucheka akamuuliza kulikoni yule dada akajibu Daaah kweli mkeo anapata tabu sana,jamaa akamwambia kivipi yule dada akasema aaah basi tu! Jamaa akaamua kuja kuniomba ushauli binafsi nimeamua niwashilikishe tumshauli kwa pamoja au mnaonaje...!
Mwambie aweke vizuri vijipesa vyake kwani ananukia ki-ATM. Ole wake akilewa na hiyo misifa ya kiuchunaji.
 
Asanteni marafiki wote kwa ushauli wenu mzuri kwani binafsi naamini utakuwa nguzo muhimu kwa rafiki yetu kufanya maamuzi sahihi...wadau wajukwaa hili tunapaswa kuelewa au kukumbushana kuwa michango na mawazo tunayotoa yanamsaada mkubwa kwa jamii Inayotuzunguka!kufanya maamuzi sijambo dogo linahitaji hekima na busara lasivyo unaweza kuharibu na kusambalatisha familia au mahusiano yako...nimefarijika kwa mawazo yenu mazuri nawapenda wote!
 
kwel wanaume warefu walojengeka miili wanavutia mno na competion ni kubwa kwa mashostito kwan hawako wengi wenye sifa hizo

nikweli lkn wanawajibu wakujiheshimu na kulinda afya za wenzi au wapendwa wao...
 
Uzuri wa mtu hauko nje,uko ndani..KAMA UZURI CHAKULA basi aache wamle..
Sifa ya mwanaume msimamo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom